naombeni msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni msaada

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by celin, Jan 17, 2012.

 1. c

  celin Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mm nina mchumba angu ambaye tuko karibu hatua za mwisho sasa alicho nifanya jana nashindwa huelewa niko njia panda....
  ilikuwa ivi nilipiga sm usiku wa manane yaani saa 8 usiku bahati nzuri kapokea ila kila analo liongea tofauti naninavyo muuliza machale yakenicheza nikamwambia niambie unanipenda au unikiss sikaaniambia kiluga bahati nzuri wote niluga moja nikamwambia niambie kiswahili sikagoma anazuga sasa nikajakusikia sauti ya mdada anaogea" etichumbani umekimbia nini kunakunguni, alafu unaongea nanai. nipe hiyo sm" huyu mkaka alishindwa kukata sim ilipita kama dakika 2 akakatasimu nilipiga ile sm kama call30 hakupokea badae ananipigia cm anacho nieleza simuelewi. hapanimechoka na mahari kashatoa mume simtaki tena kumuona japo ananiambia tuonane je kunajipya hapo eti ;
  nisaidieni kwamawazo jamani.
   
 2. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ukiona manyoya ujue keshaliwa Celin
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Jipya gani unalotegemea kwake?

  Nwy kuonana sio kuwa nae, onana umsikilize kisha upate na nafasi ya kumwambia humhitaji tena (kama ndivyo) uso kwa uso.
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Aisee pole sana! Hiyo hata mimi ningetia wasiwasi. Ila tuliza akili na fuatilia nyendo zake, hata harusi msogeze mbele ukiendelea kumchunguza.
  Ila usi-react kwa sasa, bora umtegee mtego na kumshtukizia kwake nyumbani siku moja.
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Shtuka .....!!!!!
   
 6. L

  LOVIN17 Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anakupoteza muda wako, inaonekana sio mwaminifuta hata kidogo.
   
 7. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  jamani kwani ndoa si bado?! Funga ndoa mama muanze maisha mapya.
   
 8. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  nyie wanawake ebu tulizaneni bana....wanaume tutacheat tuu wengi wetu sasa amua uwe unabadilisha wanaume au uwe na husband na kupotezea hao vimada atakao wapitia pitia
   
 9. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  pole sana kwa yaliyokupata ila rekebisha uandishi wako ni mbovu bana.
  nenda kaongee naye usikie anachotaka kukuambia ila dalili zote zinaonyesha hapo alikuwa na mtu mwingine......kuhusu kuolewa ama laa we fuata moyo wako.....
  tahadhari; wanaume wengi ndo wapo hivyo km pia ilivyo wanawake wengi pia.
   
 10. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  na hakuna aliyemwaminifu duniani.......
   
 11. A

  Ados Senior Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nyota njema huonekana asubuhi kabla ya kuoana sio mwaminifu je mtakapokuwa mme na mke si utakuwa unalia kila siku huyo atakuumiza maisha yako yote bora utakafakari kabla ya kuivaa shela
   
 12. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Celine mdogo wangu huwa unamwomba Mungu??
  Kama huwa unaomba au kama kuna watu huwa wanakuombea au kwa matendo yako mema Mungu amekuonyesha mapeema ili kukuepusha na mabaya zaidi!
  Unajua huwa tunaambiwa tumshukuru Mungu kwa kila jambo lakini sisi huwa hatukubali! huwa tunajisahau na kutaka mapenzai yetu yatimie na si ya Mungu.
  Kama utaweza kuendelea nae ujue utakua umeamua mwenyewe kushupaza shingo yako na itakuja kuvunjika isipate dawa.
  mshukuru Mungu na uendelee kumwomba
   
 13. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145

  nakubaliana na wewe lakini ni mapema sana! hee!
  kalipa mahari hata kuoa bado akiishi nae wiki je??
  tusidanganyane bana, tunajua wanaume ni viwembe lakini wanazidiana na huyo mmmmh sijui kama anajua anachokitaka!!!
   
 14. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  pole ndugu
  nenda kaonane nae usikie anakwambia nini nawe waweza mweleza lilopo moyoni mwako
  bora ufanye maamuzi magumu mapema sio baadae aje kukwambie ''alikuwa hivyo kabla ya ndoa na ulikubali iweje unataka abadili tabia''
   
 15. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mrembo pole sana, mpaka hapo cheo chako ushakijua wala huhitaji kuuliza, kama anataka mkaonane nenda kamuone kamsikilize pumba zake akimaliza mweleze pole pole kilicho moyoni mwako wala usionge kwa jazba wala papara mueleze yamuingie,kama umemsamehe au kama umeshamtapika aangalie ustarabu wake......
   
 16. n

  ngwana ongwa doi Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii siyo kweli waaminifu wako tu but uaminifu nje ya kumcha Mungu ni ngumu,ni jambo baya sana kuoana na mtu asiye mwaminifu Zimwi la ukimwi ni ngumu kulikwepa heri kutoolewa kuliko kuolewa na mtu ambaye unajua roho yako itakuwa mkononi kila siku,na hata ukitaka kuendelea kuoana naye mkapime kwanza ngoma mengine baadaye.
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hizi lugha zenu wengine hatuelewi...................Husninyo huruhusiwi kutoa maoni hapa tafadhali
   
 18. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Dalili za mvua ni mawingu, jaribu kufanya uchunguzi wa kina kupata ukweli zaidi wa hili jambo. Isije ikawa ndo unaingia kwenye ndoa na asiye mwaminifu.
   
 19. c

  celin Member

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nisamee kwa mandiko mbovu ila nikuchanganyikiwa bwana wacha nilekebishe naona umenishitua
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  loh huna reserve figure?
   
Loading...