mpigaji, bujibuji, popobawa, mchwechele, jimbi na wengine kaeni chonjo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mpigaji, bujibuji, popobawa, mchwechele, jimbi na wengine kaeni chonjo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by figganigga, Jan 14, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  wale viumbe wanao jiuza usiku wamegundua style mpya. baada ya wateja wao kuwakimbia mala kwa mala, sasa hivi wameamua kuwaajiri wamasai. kama unashindwa kulipa wamasai wanakushughulikia kwa kupigwa viboko. so wale wateja wa kule hakikisha unaenda na change kabisa la sivyo kesho yake watu watakushangaa ulivyo na ngeu mwili mzima. kuna jamaa wawili wameshughulikiwa juzi na jana. ni hayo tu washikaji. Mia
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kaaazi kweli kweli.
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  usiniambie mzee wa mia
   
 4. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Thanx kwa info.Mx
   
 5. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  wenye ndoa zetu walaaa, hayatuhusu
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mzee wa jiti, umejuaje washikaji hao juu ni wateja? Pili kwa nini na wewe tusiamini ni mteja?
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  haki ya Mungu. jamaa wamechachamaa kweli yaani ni noumer. Mia
   
 8. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  jana nilipita pale maeneo niakuta jamaa anakong'otwa. kisa kachoma but kakosa hela ya kulipa. Mia
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Yeah nimesikia kwenye uchambuzi wa magazeti ni madada poa wa temeke Sudan
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  inahusu sana mkuu. kwani wewe huwa hubadilishi mboga? Mia
   
 11. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mzee wa jiti, ukikutana na wanasheria wanaopenda ligi akasema ' umesema ulipita pale na kukuta mtu kachoma but kakosa hela ya kulipa' utalithibitishiaje jukwaa kwamba hukuwa wewe? Kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh!
   
 12. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Umejuaje figga? Na wewe pia ni mteja wa WAJASIRIAMWILI.Mia
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata kama ndiyo Ohiooooo? Mia.
   
 14. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Mkuu sio mimi. sema baada ya wale wamasai kuwauliza ndo wakasema kwa lafudhi ya kimasai "Huyu anajifanya mjanja, hataki kulipia huduma". nikashangaa. Mia
   
 15. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Ni wajasiriamwili wa wapi wamechachamaa hivyo? Wa buguruni kimboka au corner bar?
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  FN Kuna swali umeulizwa na Losambo hapo juu hujajibu ! Kwamba hao makamanda uliowataja umewajuaje kua ni wateja ?
   
 17. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,026
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Habari ya uchunguzi katika gazeti la mwananchi la leo. Hii ipo katika madanguro yaliyopo TMK. Aidha kwa siku wana uwezo wa kuingiza hadi 50 elfu ila mara nyingi ni kati ya 20 na 30 elfu. Eneo tajwa hakuna kavukavu ni mwendo wa kifanyio. Nimeupenda ubunifu wao wa kulinda maslahi yao.

  Naamini ni wakati mujarabu wa serikali kuiruhusu biashara hii kwa maendeleo ya WANAWAKE na nchi kwa ujumla kwani watalipa kodi itakayofanya mambo mengine ya maendeleo kwa nchi na wananchi wake.

  Bazazi ni Bazazi tu.
   
 18. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Kwa hii statment yako inaonyesha ni mteja mzuri wa bluetooth mkuu mia.
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hahaha mleta mada atakuwa mteja mzuri sana wa hizi huduma
   
 20. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  yaani...!! we acha tu. nakwambia mabinti wamechachamaa dhidi ya wanao wachakachua. Mia
   
Loading...