Mrejesho:Nilivyoteswa na familia ya mume. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrejesho:Nilivyoteswa na familia ya mume.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WALIMWEUSI, Jan 17, 2012.

 1. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Habari wana MMU.
  Nilikujaga na thread mwaka jana ya Kabila la Wakurya kuwachagulia wenzi watoto wao, watu walinishambulia sana. Im sory kwa wale ambao waliona kuwa kabila lao halina hiyo tabia.

  Nilifuata ushauri wa baadhi ya watu kuwa niondoke nikaishi alone. I did that kwa kweli, nilipata nymba na kuishi kuko with my baby. We are doing okay kabisa. Tatizo ni kuwa yule niliyezaa nae aliniambia kuwa sie bado ni mume na mke na kwamba atajitahidi arekebishe kwao then tufunge ndoa kwa baraka za wazazi kwani bado ananipenda na kamwe hatokubali kuona siku moja I ammarried to another man na mwanae alelewe na baba wa kambo. Sasa toka nihame kwake,keshafika kwangu mara mbili tu, everything has changed!Yani ni kama tumeachana kabisa, na hata akipiga simu anaongea na mwanae tu, kwangu its like I never existed in his life.


  Nilijaribu kumuomba tukae tuzungumze hatma ya mapenzi yetu kama yameisha ili mimi niendelee na masiha yangu, amekuwa mgumu sana kuongelea hilo na huniambia nisubiri ipo siku tutaongea. Kwa hali hii nahisi keshapata mwanamke mwingine. Natatizika sana na ninaumia sana coz wakati naanza uhusiano nae nilikuwa nishaumizwa na mtu na alilijua hilo. Kwa nini ananifanyia hivi?

  One of his friends alinambia kuwa siku hizi jamaa haeleweki, anarudi home usiku wa manane na haipiti wiki hajapigwa kwenye pombe. Last week walimpiga hadi akatoka damu masikioni. Mbaya zaidi kasimamishwa kazi na hajaniambia. Mnishauri zaidi, mimi nafikiria kumdelete kabisa ktk moyo wangu tena mapema iwezekanavyo, lakini bado pia najiuliza what if siku moja akirudi na kusema kesharekebisha kwao nitafanyaje?

  Niko kwenye dilema jamani ukizingatia nimeishi nae 6 years na tuna mtoto. Mbaya zaidi my baby kila siku anauliza baba yuko wapi,lol ebu mnishauri wajameni natamani kuwa na amani.
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii inanikumbusha rafiki angu!! Pole mpendwa
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hayo mambo ya kunywa pombe na kupigwa ni aftermath ya kuhangaika baada ya kukaa mbali na wewe!..naaminizamani hakuwa na hizo tabia!
  Kama ukijihakikishia pasipo shaka kuwa kaweka sawa na wazazi, sioni kipingamizi, ili mradi kama ana upendo wa kweli!
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mhh! pole sana,usikilize moyo wako nini unataka,au wewe kama wewe unaona alivo kutendea ni haki? unastahili kutendewa hayo wakati wewe ulimpenda na kumuamini? mwanamme ameshafikia kulewa mpaka akapigwa baa huoni kama kuna hatari hapo? pesa ya matumizi ya mtoto analeta? je hajui kama wewe ni binadamu na unahitaji mtu wakukufariji,
  anakwambia mtaongea lini mpaka akishavunjwa mguu baa ndio aje umuuguze? fungua macho shosti mtoto wako bado mdogo na unao uwezo wakusonga mbele na maisha anaetakiwa kukulaza macho kwa sasa sio huyo mwanaume bali ni future ya mtoto wako...
   
 5. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hakuna alichoweka sawa hadi sasa, mamake alikuwepo mwezi jana na sijaona wala kusikia chochote. Na kwa anayofanya sasa mie sidhani kama anao upendo kwangu. Wapo wanaodai kuwa huenda wazazi wake wamemuendea kwa mganga (after all nilishapata habari kuwa mamake mdogo ni bingwa wa hayo mambo).
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  hebu fikiria future yako
  na ya mwanao

  ulishasonga mbele
  hebu endelea na maisha yako

  what if wazazi wakatae kumsikiliza?
  what if usubirie miaka 3 yeye kuongea na wazee wake?
  what if yeye keshasonga mbele ndo maana anampigia mwanae simu wewe hakupigii, ndo maana kaja kwako mara 2 tu?

  songa na maisha, kwa mzazi mwenzio unaweza mshauri tu aache pombe(kama atakutafuta kuomba msaada /ushauri wako)
   
 7. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Thanks Badilitabia for your advice, najitaidi kusonga mbele na kujali future ya mwanangu. Kitu kimoja namshukuru Mungu, napata amani sana with the life i am living now kwanza najuuuta ilikuwaje nilizini all those years! Lol, now ni me and my God!
   
 8. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Wewe baada ya kuondoka kwake JE kuna ndugu yeyote aliekufuata na kukushauri mkae mrekebishe mambo? kama hakuna basi waliridhika na uamuzi wako na ndio maana amekuwa mgumu kukujibu kuwa uanze maisha mengine kila mtu aanze ustaarabu mpya.bado anatatizo na ushauri na maamuzi ya ndugu zake. hivyo basi bado ni ngumu kwa mzazi mwenzako kuwabadilisha mawazo wakupende na kukubali kwenye familia yao. angalia mbele kwa sasa....hayo yote anayopitia frustrations tuu ila alizitaka yeye kwa kushindwa kuwa na maamuzi kama mwanaume na kusimamia maamuzi yake binafsi bila kutegemea kuongozwa na ndugu/wazazi
   
 9. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ndugu zake watano waelewa na wenye busara walinifuata akiwemo mjomba wake ili tuyamalize but niliona hakuna maana kama yeye hayuko tayari after all anaetakiwa kunipenda ni yeye na sio ndugu. Niliona ni bora ninyamaze hadi atakapoamua cha kufanya.
   
 10. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Binti kale ka ugonjwa ketu cha kupeana naona kanakunyemelea.Kuna mwenzako alipatwa na maswahibu kama yako na kabila hilo na hivi sasa tumeshamzika kwa ukimwi.Kuwa makini.Yote uliyapata hayana tofauti kabisa.zaidi labda mwenzako alishafunga ndoa
   
 11. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Lol, nazidi kuchoka Kubingwa, nilishacheki hako kagonjwa, namshukumu Mola nimekaepuka. Nadhani kwa satatement yako inaelekea hilo kabila noma, lol! Thanks for your advice na kwa kulewa huku na kurudi usiku kakimpata ntasaidia tu kutoa mchango wa kumrudisha akapumzike kwao maana wao ni mwiko kupumzika kwa amani nje ya mkoa wao.
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  vtajauliwa bure uache mwanao anateseka, pambana na mwanao huyo baba yk mpotezee
   
 13. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Thanks Msofe, these people are dangerous kwa kweli. Nampotezea tena kwa capital letters, siku akirudi hatoamini atakachokiona.
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,323
  Likes Received: 19,482
  Trophy Points: 280
  pigaa lapa achana naye..
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Duh, nachoamini mtu habadili tabia
  Ndo maana unatakiwa umjue mwenza wako tabia kabla
  Na ukubali kluishi naye kama alivyo.
   
 16. salito

  salito JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  tatiz6 wewe inaelekea unampenda sn huyo mzazo mwenzio,kiukwel huyo mtu hakufai tena,endelea na maisha yako!
   
 17. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hujakosea Salito, nilimpenda sana ila siku zinavyoenda anatoka moyoni mwangu taratibu.
   
Loading...