Wanaume wenzangu dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wenzangu dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mshume Kiyate, Oct 30, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wakuu JF.
  Wanaume wenzangu tuziangalie hizi dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti..

  1. Akirudi nyumbani hutumia dakika moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga.

  2. Mara nyingi mavazi aliyovaa siku hiyo, akishayavua hukimbilia kwenda kuyasokomeza kwenye kapu la nguo chafu au chumba cha watoto wakati si kawaida yake. Siku zote huvulia chumbani na asubuhi huzipeleka kwenye kapu.

  3. Ukimkazia macho usoni na kumuangalia, hukwepesha macho yake kwa aibu dhamira anahisi kama umejua.

  4. Hatapenda kukaa sanjari na wewe mumewe kama kawaida yenu.

  5. Kama hatasingizia kuumwa tumbo saa mbili kabla ya kurudi nyumbani, basi atafanya hivyo akishafika tu. Anaweza pia kukusumbua kwa kutaka uende kumnunulia dawa..

  Tuzinduke jamani na wake zetu
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  hizo dalili kama utazifuatilia nakuambia kutakuwa na psychological impact kwenye maisha yako!
  Ni vizuri ukamwulika mwizi haraka sana!
   
 3. T

  Tewe JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Pole mkuu inaonekana yamekukuta
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  aibu!
  bwana wee kupitiwa mbavuni ni comon siku hizi....just brace urself!!!
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Oooh Chatu! ebu usiwatishe wenzio unajua wakati mwengine ukirudi nyumbani umechoka hata kumtizama mwenzio unaona tabu.
   
 6. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Siku nyingine jenga tabia ya ku-acknowledge kazi za wenzako kwa kuweka source ya hayo maelezo. Au wewe ndiye ulieandika hayo kwenye lile gazeti la udaku?
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,322
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Hizi ni dalili. Na tiba yake ikoje? Halafu why this issue of cheating has become a big problem now? Men,what role do we play? Vinginevyo tukae kimya tu maana kulalamika sana haina maana kuna watu wanatusikiliza
   
 8. C

  Cedar Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini akimbilie kuoga? Cku hzi self contained rums za kumwaga tu!
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ukimchunguza kuku, huwezi kumla...

  Ushauri, tusihangaike kupekenyua kwani mara nyingi huwa hatuna cha kufanya baada ya kugundua.... do it if only you are perpared to leave your wife, otherwise ni kujisumbua

  afterall ukishaanza kuhangaika hivyo hata uwezo wa ku-do the needful unakufa au kupungua sana

  openness is key
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...naaam NENO juu ya mstari mzee mwenzangu! ...presha za kujitakia maisha yenyewe haya
  ya kubembelezea, aaarrrgghh!
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  we acha tu, kuna mtu kakimbilia tigo kuprint statement ya mkewe, kahonga pesa kibao, kupewa statement puh! yuko aga khan analalama, hata wewe mshkaji, hata wewe uncle?? yani kumbe hata joe alikua hajamalizana nae??, Ha!! kumbe wife ansagana na mary??? hivi kumbe neighbor nae ansalandiank... halafu anajiuliza... lakini mbona hajawahi nitendea ubaya??

  sasa hivi anakesha Bar, kazi kaacha.... yuko tena anategemea salari ya huyohuyo mamsap

  you dont need to go that way kama huna kifua.... na hata ukiwa nacho ujue ulishajiandaa kusepa, with or without findings
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mkuu mwanamke anayeonyesha dalili hizo huyo ni amacha,maveteran waliokubuhu huwapati kwa dalili hizo,washatumika ni hatari,akirudi anakauka,keshatia ndimu huko down na ukitaka utapewa vile vile tena kwa miguno kibao,usicheze na wanawake aisee.
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  muhimu ukiona mwanaume mwenzio 'anachapiwa' usimuone *****.......
  hakuna ***** wala mjanja kwenye haya mambo....
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...si ndio! halafu makali yake yanakata both ways bana...
  nimefikia mahala maishani mwangu sijisumbui tena kumchungua binaadamu...
  wengine tukiweka dalili za kusalitiwa humu, wengine wataenda tembeza vipigo kwa wake zao kumbe
  wasiwasi wao tu...

  kama bishanga alivyoandika, mwanamke wa aina hii ndio mara yake ya mwanzo huyo!
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mswati mwenyewe wamemchapia

  huwezi kujua yaliyo moyoni kwa mwenza, na mara nyingi unakuta hata huyo anayekimbiliwa ni "a lesser person" in mostcases
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwanza ana mkoba balaa una kila kitu angeweza hadi mataulo angeweka huko... viatu kama laki, perfume, mafuta, vitana, sabuni, vyupi nk.

  akirudi fresh kama asubuhi, unapewa kiss yako unatengewa chakula, unamiminiwa mvinyo, unapetiwa na unalazwa kama gogo, anavuta shuka, siku imeisha

  dont even go there.... haya mambo yako kama yalivyo
   
 17. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  even men are cheating! kwa hiyo ningoma droooo!
   
 18. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ukiyafikiria sana unaweza kufa kwa presha.
   
 19. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wakuu, kama baadhi ya wachangiaji walivyotangulia hapo juu usipende mchunguza kuku alacho, vinginevyo itakukatisha tamaa kwani hawa viumbe (wanawake) sasa hivi walishachanganyikiwa, wanagawa utadhani pipi haijalishi ni wake za wakubwa au wake za watu wa kawaida, wote mtindo mmoja. Wake wengine wa wakubwa wanaishia kuwaponza wanaume tu, kama alivyoponzwa Babu Seya!
   
 20. IGUDUNG'WA

  IGUDUNG'WA JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 1,998
  Likes Received: 887
  Trophy Points: 280
  mi sisemi maana humu ndani kuna wataalam wa kila kitu
   
Loading...