Zawadi ya siku ya kuzaliwa

BRO LEE

JF-Expert Member
Dec 25, 2011
826
600
Hivi utajisikiaje/utachukua uamuzi gani utakapogundua kwamba rafikiyo/shogayo amemnunulia mpenzio zawadi ya nguo za ndani chupi, chupi,skintight & bra katika siku yake ya kuzaliwa, halafu zimemkaa/mwenea vizuri mno.

Nawasilisha.
 
Zisingemkaa kungekua na tatizo?

Nwy unachoweza kufanya ni kuuliza nini kimemsukuma huyo rafiki yako mpaka amnunulie mtu wako zawadi aina hiyo. Ukishajua ndo utapata chakufanyia uamuzi.
 
Zisingemkaa kungekua na tatizo?

Nwy unachoweza kufanya ni kuuliza nini kimemsukuma huyo rafiki yako mpaka amnunulie mtu wako zawadi aina hiyo. Ukishajua ndo utapata chakufanyia uamuzi.

Suala limefanyika kwa kificho wewe umesikia tetesi yaani aliyevujisha siri ni m2 wa3, aliyeambiwa na huyo m2 wako.

je unamwuliza mnunuzi au mnunuliwa?
 
rafiki mstaarabu na anayekutakia mema hujiwekea mipaka ya kiasi gani anaweza kujiingiza katika uhusiano wako na mpenzi wako
 
Suala limefanyika kwa kificho wewe umesikia tetesi yaani aliyevujisha siri ni m2 wa3, aliyeambiwa na huyo m2 wako.

je unamwuliza mnunuzi au mnunuliwa?

Kama wamefanya siri unawauliza wote, kama mwenzi wako akikwambia unamuuliza rafiki.
 
Hapo unadili na mtu wako tu ndio anayekuzunguka. Vinginevyo kungukuwa hakuna haja ya siri wala vificho.
 
Huwezi jua huyo mpezni wako alimlalamikia rafikiyo kuwa amepungukiwa na nguo za ndani...otherwise,kuna kitu hakiko sawa,chunguza vizuri kupitia hao hao marafiki....then mweke mpenzi wako sawa,muulize kulikoni....ila pia uwe macho marafiki wengine wanapenda tu kuharibu.
 
ushoga/urafiki una mipaka.........halafu zawadi zenyewe zinanunuliwa kwa siri kuna haja ya kufwatilia kwa karibu
 
Back
Top Bottom