Mbona haniombi kitu?

Mutukwao

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
211
25
Jamani ndugu zangu ni mpenzi wangu ambaye tangia tuanze kujuana takriban miaka miwili sasa hajawa kuniomba kitu chochote hata vocha mpaka hvi sasa tunaplan ya kustart tht new life.na mimi mwenyewe sijawahi kumpa chochote kotelia mbali hata kama hajaniomba.je hapa pana tatizo katika maisha ya mahusiano?
 
ndo maana wakati mwingine wanawake hutuita wanaume eti 'watoto wakubwa'. Subiria basi atafanya maombi lili jogoo wako asipande mlima
 
hamna tatizo, two independent minds zimekutana...dumisheni uhusiano... zaidi ya yote zungumzeni kuhusu hili...yeye ndo mwenye majibu kamili as in kuna tatizo au lah....!!
 
Jamani ndugu zangu ni mpenzi wangu ambaye tangia tuanze kujuana takriban miaka miwili sasa hajawa kuniomba kitu chochote hata vocha mpaka hvi sasa tunaplan ya kustart tht new life.na mimi mwenyewe sijawahi kumpa chochote kotelia mbali hata kama hajaniomba.je hapa pana tatizo katika maisha ya mahusiano?

hata yeye bila shaka anajiuliza kwa nini humpi, anakupima tu. Mpe uone kama atakataa.
 
Jamani ndugu zangu ni mpenzi wangu ambaye tangia tuanze kujuana takriban miaka miwili sasa hajawa kuniomba kitu chochote hata vocha mpaka hvi sasa tunaplan ya kustart tht new life.na mimi mwenyewe sijawahi kumpa chochote kotelia mbali hata kama hajaniomba.je hapa pana tatizo katika maisha ya mahusiano?

...Kwani kumpa kitu mpenzi wako mpaka akuombe!? Wakati mwingi unafanya hivyo kutokana na mapenzi makubwa uliyokuwa nayo kwake.... Hebu acha mkono wa birika bana!!!! Duh!!!! :rant:
 
Sio kila mtu anaweza/penda kuomba omba. Wewe kama unaweza mpe vile unavyoona ungependa kumpa sio eti unamtegea mpaka aombe. Huko ndani ya ndoa sindo mwanzo wa kutegeana unyumba? Mmoja haombi na mwingine hatoi bila kuombwa.
 
Wewe mwanaume hujui responsibility zako,mpaka uombwe?.Mwingine anakuchora tu.Hata kama anazo,just send to her,to show love.ukijifanya mgumu na yeye hakuombi.
 
Zinduka wewe huyo mpenzi wako ana kazi au shughuli yoyote inayomwingizia kipato?
Je! anaishi kwake au kwa wazazi au ndugu?

Kama ana kipato cha ziada hapo sawa hana shida na visenti vyako anauhitaji muhogo wako zaidi.
Kama hana kazi yoyote basi shituka kuna mtu anamtimizia mahitaji kwako yuko kimapenzi zaidi, labda yule alienae hampi shughuli pevu hivyo anaipata kwako.Tafakari Chukua Hatua.
 
Huna moyo wa kutoa na amelijua hilo thats why hakuombi. Au hana tabia ya kuomba kama alivyosema freema mpe kama atakataa.....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom