Natafuta mchumba tafathali soma hii post

Simion

Member
Nov 23, 2011
8
1
Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mume wangu
sifa zangu
mimi ni msichana, nina miaka 27 nina shahada ya pili ya sheria (masters) sm 180 urefu, 70KG UZITO , MWEUPE NATURAL SIO MKOROGO.

Na hitaji mwaume ( mchumba) SIFA UMRI MIAKA 28-35 MREFU, MNENE WA WASTAN, ASIWE NA KITAMBI, ELIMU ANGALAU DASASA LA SABA ILA AWE ANAJUA MAHESABU ILI AWEZE KUSIMAMIA MIRAD YE2 ANBAYO NIMESHAIANZISHA KWANI KILA NILICHONACHO SASA NI CHAKWE2 MIMI NA yeye. AMBAO MPO SERIOUS MNI PM. Sibagui, kabla, rang wala dini.
 
Poa ngoja waje wataku pm

embu weka wazi hizo investment kama zinalipa niku PM saivi inawezekana unamaslahi! mtazamo tu dada kila la kheri kwenye mchakato wa kumpata mume/manager wako.
 
lakini huyu atakuwa na agenda yake yasiri maana kajoin JF jana na post ya kwanza ni kutafuta mchumba, au kaambia JF ni kampuni ya kukutafutia watu wachumba kama ilivyokuwa inonyeshwa kwenye ile movie ya kichina ya kiswahili? Jf is not a Chinese company to enable un married couples to meet
 
in short nina hotel kubwa pale mkoani Arusha. Inanipatia kipato kizuri sana kwani kupitia faida hiyo nimeweza kuanzisha shule ya English medium ambayo kwa sasa ina class three, pia nina duka la simu na vito vya dhamani lipo Mkoani Kilimanjaro
 
Ulisema hubagui, mbona umebagua kwenye kipengele cha umri?? Nifikirie mimi plz, ingawa umri wangu ni chini ya hapo, but sio tineja. Ni PM basi.;)
 
lakini huyu atakuwa na agenda yake yasiri maana kajoin JF jana na post ya kwanza ni kutafuta mchumba, au kaambia JF ni kampuni ya kukutafutia watu wachumba kama ilivyokuwa inonyeshwa kwenye ile movie ya kichina ya kiswahili? Jf is not a Chinese company to enable un married couples to meet

hapana mkuu unajua jf unakutana na wa2 wakila aina? So nimepapenda
 
in short nina hotel kubwa pale mkoani Arusha. Inanipatia kipato kizuri sana kwani kupitia faida hiyo nimeweza kuanzisha shule ya English medium ambayo kwa sasa ina class three, pia nina duka la simu na vito vya dhamani lipo Mkoani Kilimanjaro

Kwa hiyo unataka tukutafute kwa kuwa una investment???? Halafu mbona umetutenga wenye vitambi halafu unasema huna ubaguzi, Ulisoma lini na ukapata hizo investment zote lini kwa umri wa miaka 27? I was otherwise interested, bahati mbaya kitambi nnacho.
 
Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mume wangu
sifa zangu
mimi ni msichana, nina miaka 27 nina shahada ya pili ya sheria (masters) sm 180 urefu, 70KG UZITO , MWEUPE NATURAL SIO MKOROGO.

Na hitaji mwaume ( mchumba) SIFA UMRI MIAKA 28-35 MREFU, MNENE WA WASTAN, ASIWE NA KITAMBI, ELIMU ANGALAU DASASA LA SABA ILA AWE ANAJUA MAHESABU ILI AWEZE KUSIMAMIA MIRAD YE2 ANBAYO NIMESHAIANZISHA KWANI KILA NILICHONACHO SASA NI CHAKWE2 MIMI NA yeye. AMBAO MPO SERIOUS MNI PM. Sibagui, kabla, rang wala dini.
Mimi tayari nina mke, je unakubali kuwa mke wa pili nikupm?
 
nimesha ku pm huko utaona namba yangu ya simu,box,email add,facebook acc,tagged acc,twitter na picha zangu tatu 1 ya uttoni,2 akati kijana na ya 3 nilivo sasa
 
dada mbona unataj ahadi investiment zako,utavuna magalasa kwa mtindo huu,pole nahisi wanaume uliowahi kuwa nao wamekupa impression wanakupendea pesa na wewe ukaamini mwanaume bila pesa hapatikani...believe me mume utapata atakayekupenda kama ulivyo na sio pesa/investments zako.....ungewachuja kwanza at least hao short list applicants ndio ungewaambia kuhusu miradi yako...au uko desperate?
 
Mh!! Kazi ipo dada,utapata midoli,wachumba wa kichina(feki) uliye siku zote maishani.
 
Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mume wangu
sifa zangu
mimi ni msichana, nina miaka 27 nina shahada ya pili ya sheria (masters) sm 180 urefu, 70KG UZITO , MWEUPE NATURAL SIO MKOROGO.

Na hitaji mwaume ( mchumba) SIFA UMRI MIAKA 28-35 MREFU, MNENE WA WASTAN, ASIWE NA KITAMBI, ELIMU ANGALAU DASASA LA SABA ILA AWE ANAJUA MAHESABU ILI AWEZE KUSIMAMIA MIRAD YE2 ANBAYO NIMESHAIANZISHA KWANI KILA NILICHONACHO SASA NI CHAKWE2 MIMI NA yeye. AMBAO MPO SERIOUS MNI PM. Sibagui, kabla, rang wala dini.

There are currently 7 users browsing this thread. (4 members and 3 guests)

Heee!! ngoja nitoke kwenye hii thread nisijekutwa na watu wenye akili timamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom