Naombeni msaada wa utaalamu wa mambo ya kibaiolojia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada wa utaalamu wa mambo ya kibaiolojia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by queenkami, Jan 17, 2012.

 1. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwanza naanza kwa kuwaomba mnisamehe kwa kuleta hii kitu huku sababu najua huku sio mahala pake,ila nimelazimika kuileta huku nikitumai itakuwa rahisi kuonekana na wengi sbb nina shida sana na haya MAJIBU.Natumai MMESHANISAMEHE.
  -----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

  Naomba kwa anayejua kwa uhakika/aliyesomea mambo haya anipe ufafanuzi juu ya maswali yangu hapo chini.


  1)Tuchukulie mfano kuwa,mwanamke ambaye ni Bisexual ametoka kufanya mapenzi bila condom na mwanaume halafu baada ya kama dakika kumi hivi akiwa hajajisafisha zile manii kutoka kwa mwanaume akaendelea kufanya mapenzi ya kisagaji na mwanamke mwenzie ambaye yuko katika siku zake za kutunga mimba.

  SWALI:JE HUYU MWANAMKE ALIYEKO KATIKA SIKU ZAKE ZA KUSHIKA MIMBA ANAWEZA KUPATA UJAUZITO?

  2)Tuchukue mfano kuwa,mwanamke mwenye ujauzito wa mapacha wenye kushare yai moja(identical twins) ambaye anatarajiwa kujifungua wakati wowote yuko porini akitembea kwa miguu pekee yake porini halafu ghafla uchungu ukamshika ghafla,baada ya kuhangaika mwenyewe mwanamke huyo akafanikiwa kujifungua mtoto mmoja halafu mara tu baada ya mtoto kutoka mwanamke huyo akapoteza fahamu HAPO HAPO kitovu cha mtoto kikiwa bado hakijakatwa na akiwa bado ana mtoto mwingine yuko tumboni.

  SWALI:JE KUNA UWEZEKANO WA MTOTO ALIYEKO TUMBONI KUPONA?
  KAMA JIBU NI HAPANA:KWANINI?
  KAMA JIBU NI NDIO:MUDA GANI UNGEZIDI MTOTO HUYO ALIYEKO TUMBONI ANGEKUFA?
  B:JE KUNA SABABU ZOZOTE KUTOKANA NA MAMA KUPOTEZA FAHAMU ZINAZOWEZA KUSABABISHA UMAUTI WA MTOTO ALIYEZALIWA KWANZA?

  SWALI:JE KUTOKATWA KWA KITOVU CHA MTOTO ALIYEZALIWA KWA MUDA FULANI MAMA AKIWA AMEZIMIA KUNAWEZA KUSABABISHA TATTIZO LOLOTE KWA MTOTO HUYO ALIYEZALIWA?

  ThANKS IN ADVANCE
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  1. Nadhani uwezekano upo. . .

  2. No idea. . ngoja wataalam waje.
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm...makes one wonder wat wer u thinking mpaka haya maswali yakaja kichwani mwako
   
 4. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  asante kwa kujaribu
   
 5. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,228
  Likes Received: 10,203
  Trophy Points: 280
  Nahaya ndio majibu yako:-
  1. Bisexual mara nyingi kiungo kimoja huwa hakina nguvu, lakini ikitokea. Na kwa upande wa reproduction huwa ni kwamba Mbegu za kiume zikikutana na yai kwenye mfuko wa uterasi na ikitokea mbegu zile zika rutubisha hilo yai basi mimba itatungwa, na ikiwa mbegu zitakuwa hazina uwezo wa kurutubisha kwa hiyo yai litasubiri mpaka siku zake.
  Mbegu za kiume huwa zinaogelea kwenye majimaji ya kiume na ndio yanazifanya ziishi, kwahiyo mbengu zikitoka kwa mwanaume huwazinachukua mda mfupi tu kufa. vilevile ni vigumu sana kutunga mimba kwa njia hiyo maana mbegu hizo zitakuwa hazina nguvu ya kuingia kwenye yai. Unajua mbegu za kiume huwa zinasukumwa kama risasi kuingie mpaka kwenye uterasi ili kurutubusha yai.
  Kwa hiyo mimba haiwezi kutungwa.


  2. Soma kwanza hiyo wakati nakuandalia majibu ya swali la pili
   
 6. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu asante kwa lengo la kunisaidia ila naona kama una tufeed kwa info usizo na uhakika nazo.
  Unafahamu kwamba hata mwanaume akipiga punyeto kwenye swiming pool then mwanamke ambaye yuko kwenye ovulation period akaingia humo anaweza kupata ujauzito?Sio lazima mbegu zirushwe kama risasi kwa kutumia uume ndio mwanamke apate mimba,yapo mazingira mengi yasiyo ya kwaida sana yanayoweza kusababisha mwanamke apate mimba.

  Vile vile mbegu za mwanaume zinaweza kusurvive hata kwa siku tatu bila kufa hivyo hata kama mwanamke alifanya tendo la ndoa leo akiwa hayuko ktk ovulation halafu akawa ktk ovulation siku tatu baadae anaweza kushika mimba.

  Pia una maanisha nini kusema bisexual kiungo kimoja hakina nguvu?Nadhani huelewi ninachozungumzia mkuu.

  Asante lakini.
   
 7. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  thanx Lizzy.
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280

  ngoja nianze kukujibu wewe kwanza maana naona umepotosha.....


  kwa kawaida mwanaume huwa na mbegu aina mbili (x na Y) na mbegu hizi ndizo huwa zenaweza kutermine mtoto gani azaliwe..(kiume au kike) mama huwa ana mbegu aina moja tu x...... x ya baba ikiingana na x ya mama basi atazaliwa mtot wa kike...na y kiungana na x tazaliwa wa kiume....


  nakuja kwenye hoja ya msingi......


  uwezo wa mbegu hizi kufa unatofautina sana....mbefu za x toka kwa baba huwa ni nzito kuogelea na sababu kubwa ni kwamba huwa zimebeba sex linked characters (circle cell, bulds, etc) na mbegu hizi sifa yake kubwa ni kwamba nzuri ni kwamba sikifikan kwenye uke huwa zinakaa kwa mda mrefu sana....masaa 72......

  mbegu za kiume zenyewe huwa ni nyepesi sana na huwa zinaongelea kwa haraka sana ..hzi huwa zinadumu kwa mda wa masaa36 ndani ya uke......kwa hiyo si kwlei kwamba mbegu hizi huwa zinakufa haraka......

  nikirudi kwenye swali la mdoa mada....


  1.....kupata mimba kwa huyu mtu itategemeana na mazingira ya pale mbegu zilipo..na yeye antumia vipi hicho kiungo kufagana hadi mbegu zifike ....kwa kifupi uwezekano wa kupata mimba ni 50/50


  2..huyu mama atakufa ......na kile kichanga kilichozaliwa kitakufa ....mtoto atakufa kwa sababu mara baada ya kuzaliwa inatakiwa mtoto ajitegemee kupata hewa....na hili litafanikiwa tu pale kitovu kitakapokatwa na na hivyo mtoto kupata uwezo wa kupumua...kutokatwa kitovu cha mtot itapelekea mama nae afe kwa sababu mama atashindwa kumtoa mtoto wa pili lakini pia kuna compication nyingi sana atazipata.....mtoto wa tumboni nae atakufa.....mda wa kitu kama hiki unategemea sana mazingira yale ambayo mama yupo.....lakini kitaalamu haizi dakika 15 hadi 20....
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hmm queenkami....fulu utata hii.
   
 10. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  2..huyu mama atakufa ......na kile kichanga kilichozaliwa kitakufa ....mtoto atakufa kwa sababu mara baada ya kuzaliwa inatakiwa mtoto ajitegemee kupata hewa....na hili litafanikiwa tu pale kitovu kitakapokatwa na na hivyo mtoto kupata uwezo wa kupumua...kutokatwa kitovu cha mtot itapelekea mama nae afe kwa sababu mama atashindwa kumtoa mtoto wa pili lakini pia kuna compication nyingi sana atazipata.....mtoto wa tumboni nae atakufa.....mda wa kitu kama hiki unategemea sana mazingira yale ambayo mama yupo.....lakini kitaalamu haizi dakika 15 hadi 20....[/QUOTE]

  Asante sana mkuu,nayaamini maelezo yako na hujui tu ni kiasi gani umenisaidia.
  Nimeelewa kwamba,mtoto atakufa sbb yakukosa hewa yake binafsi kwa sbb ya kutokatwa kitovu jambo ambalo pia litamuua mama yake na ndugu yake aliyeko tumboni.

  Mkuu naomba unisaidie kufahamu kwamba,iwapo huyu mama angefanikiwa kukata kitovu cha mtoto ndipo apoteze fahamu,JE KUNA MAZINGIRA YEYOTE AMBAYO YANGEWEZA KUSAIDIA MAMA NA MTOTO ALIYEKO TUMBONI ASIFE?.
   
 11. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  yaani we acha tu ndo mana nikaileta kwa wataalam wadadavue.
  Pole kwa msiba.
   
 12. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mkuu i salute you................................................!Si mchezo ulivyochambua daktari mwenzangu lol ...........................!
  kumbe madaktari tuko wachache humu eeeeh..............................!
   
 13. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  na wataalam si ndio sisi bibie.................................kama una swali jingine muulize Dr. father...............................!hayo nimemuachia mwanafunzi wangu Edson akusaidie....................................!halafu ww umejifunzia wapi tabia mbaya......................?
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wauguzi, wauguzi, madaktari na manesi wauguzi. .
  Taratibu jamani hayaaa. . .
  Tutaonana wabaya hayaaa. . .

  Samahani kwa uchakachuzi QK. . .FX alivyosema "kumbe madaktari tuko wachache" nikakumbuka huo wimbo wa Wagosi.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Asante queen!
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Asante sana mkuu,nayaamini maelezo yako na hujui tu ni kiasi gani umenisaidia.
  Nimeelewa kwamba,mtoto atakufa sbb yakukosa hewa yake binafsi kwa sbb ya kutokatwa kitovu jambo ambalo pia litamuua mama yake na ndugu yake aliyeko tumboni.

  Mkuu naomba unisaidie kufahamu kwamba,iwapo huyu mama angefanikiwa kukata kitovu cha mtoto ndipo apoteze fahamu,JE KUNA MAZINGIRA YEYOTE AMBAYO YANGEWEZA KUSAIDIA MAMA NA MTOTO ALIYEKO TUMBONI ASIFE?.[/QUOTE]  huko porini hakuna vifaa....yeye kama yeye asiengeweza kukikata....kakata kitovu kunahitahi utaalamu....hakukuwa na mkunga, nesi, wala daktari......lakin kama angefanikiwa kweli....hapo sasa inategemeana na uwezzo, nguvu alizonazo, mahali kilipo kitoto hicho cha kwanza kutoka.....kupoteza fahamu kisha kuzinduka kunategemeana na sababu ya kile kilichopeleka huyu mtu kupoteza fahamu........lakini pia yule mtoto aliyebaki tumboni tuko katika hali gani...anaweza kuzaa wote lakini wakati anatoa kondo la nyuma naweza kutoa damu nyingi na kupoteza maisha.....
   
 17. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Strange but.......
  Jibu la kwanza ni hli; Kama sperms za huyo mwanamume aliye jamiiana nae ni healthy basi kuna likelyhood zitakuwa introdused kwenye vaginal canal ya huyo ovulating lesbian pertner. Na sio hivo tu hata HIV, gonorrhea, trichomana, candida na host of other pathogens pia wanaweza kuwa transfered. Advise: stop doing this. It is very cruel of you.

  Jibu la pili ambalo lina multi answers. Akishazaa mtoto wa kwanza na mwanamume akizimia mtoto huyo atasurvive hata kama hata wahi kukatwa kitovu toka kwenye placenta. Na mtoto wa pili ataweza kuzaliwa salama for upto 15 minutes as long as uterine contraction zitakapoendelea na kuzaliwa. In this cenario watoto wote wawili watahitaji observation hospitalini na coverage ya antibiotica na ATS. Again a very strange situation lakini wakati niko internship Bugando nilikutana na cases kama hizo.
   
 18. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Queenkami hii umetoa toka kwenye Dr Akilimali?
   
 19. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  bado naendelea kusoma past papers zangu za biology queenkami.
  nitarudi na mie nilete maelezo yangu hapa.
  Dr. cheusie will be back.
   
 20. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  msitake kunambia kuwa jf tuko madaktari bingwa watatu tu?
   
Loading...