Wanawake Hawapendi nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake Hawapendi nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Exaud J. Makyao, Feb 14, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........
   
 2. S

  Stanley B Member

  #2
  Mar 2, 2009
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanawake mara zote hawaeleweki wanapenda nini depend on the wind direction,so dont trouble much thinking about their interests though they differ slightly.BUT SOME of the common ones are wanapenda kuona unawajari na kuwahurumia kwa karibu zaidi ktk mambo yao.
   
 3. N

  Neemah Member

  #3
  Mar 2, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni hayo hayo wasiyoyapenda wanaume. Yabadilishe tu ili ya-fit kwenye jinsia husika.
   
 4. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Hebu nipatie na mimi labda yanaweza kunisaidia;kwasababu binafsi siwezi kujua ni yapi hayo ambayo unayamaanisha?
  Endapo utayataja basi ninakuwa na mimi nimefahamu.
   
 5. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kuolewa saaaaaaaaaaaaaaana
  Yani ukimwambia utamuoa bichwa linakua kuuuuuuubwa kweli
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160


  Kaazi kwelikweli..
   
 7. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  We iteite lya kitee nani kakuambia wanawake wanapenda kuolewa, sisi tunachopenda ni mapenzi ya kweli mtu akujali, akuheshimu na akusikilize kuolewa ni poa kama mtu anakufanyia hayo yote siyo kuolewa ya mdomoni , nitakuoa nitakuoa maneno yanaambatana na vitendo wengi ndo tunapenda we wa wapi?
   
 8. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  Ni mambo juu ya mambo, wanaume hawawafahamu wanawake na wanawake nao hawayajui ya wanaume basi ni mtafaruku, fujo songombingo mchafukoge na maelewano hafifu. Basi ndio maana BIBLE inadai wanaume wawapende wake zao na wanawake wawatii waume zao. Na hapo ndipo penye HEKIMA

  Basi ni kazi kwelikweli
   
 9. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hawapendi uchache. yaani usiwe broke, pili hawataki kusikia umechoka, akitaka we lazima umpe stahili yake. Tatu usimsifie demu mwingine . Ni hayo tu MATATU.

  mengine yoote ni mbwembwe tu.
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  - tIGO?
   
 11. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  kazi kweli kweli.
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mwanamke hapendi umwambie ukweli.........ukisema ukweli tu juu yake umemkosa.
  Mwanamke ni mtu wa kupendwa kudanganywa kama mtoto mdogo.......hapo sawa.
   
 13. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wanapenda kupendwa (mapenzi ya dhati) na kujaliwa (care).
  Wasichopenda: Kudanganywa.
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145

  AKITAKA NINI SASA?sio kweli kwamba hawataki kusikia umechoka!NAPINGA HILO.....!wanawake wanajua sana kujali na kumpa mtu courage hasa akichoka
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  UPO SAHIHI!lakini mkuu tatizo la wanawake ni kwamba hawataki kuumizwa,au kuteseka moyoni kwa jambo lolote la kimahusiano.ndio maana wanaona bora umdanganye ili ASIUMIE!

  na siku zote wanawake huwa wanapenda KUTONGOZWA MARA KWA MARA!ndo maana MAPLAY-BOY huwa wanawawin sana wanawake.so mkubwa kama utabahatika kuoa uwe unamtongoza waifu MARA KWA MARA!au vp?
   
 16. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Bazazi nafikiri yuko sawa kwa alichosema. Kwenye urafiki wowote Heshima na upendo ndiyo kitu muhimu zaidi. Mengine yanakuja automatic.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu na siku zote ukimwambia tu mwanamke ukweli wa kitu unacho taka kufanya juu yake basi unakuwa umekosea na utamuuzunisha rohoni....lakini ukimdanganya na kumlaghai kwa maneno mazuri na kumpeti peti aaaah swadakta unakuwa unakula bata tu kila siku.
  Ndo maana uongo katika mapenzi unasaidia kwa kiasi kikubwa sana.
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Swadaktaaaaaaa........
  Nyie vijana wa2 nawatukua degree ya heshima......

  .....mnajua siku hizi mapenzi yamekuwa kama cinema watu wakiangalia tamthilia wanataka kuyafanya mapenzi yao kama wanavyoona kwenye cinema....hell no....
  .....principles za mwanamke zinabaki pale pale ukiwa alosto hakutaki......ukimwambia ukweli unakula buti....that's all
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...sijafanya bado ujinga huo! Mtu nishamuweka ndani bado tu niendelee kuomba omba na kubembeleza hata vilivyo 'halali yangu'... No way bana!
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu akikunyima je utafanyaje?
  Wakati ni haki yako ya msingi upate hata kutwa mara 3.
   
Loading...