Baada ya kufunga ndoa, ananikataza kutembelea JF

Mvua Ya Kiangaz

JF-Expert Member
May 24, 2011
308
144
Wadau Habarini,

Niwatakie heri ya mwaka mpya, imekuwa kitambo kidogo taingia nitangaze nia, nikapata mchumba humu JF ambae tulifunga ndoa tarehe 15.10.2011; ndoa yetu ni ya furaha na kila mmoja anaamini ndo mwisho wake wa reli kama ilivyo, tatizo la mwenzangu tangu tumetoka honeymoon amekuwa hataki nitumie hata dakika moja kutembelea jamvi unless tuwe pamoja, sijajua tatizo ni nini ingawa nahisi tayari katumbo kamevimba:

wadau, nimejaribu kumuuliza tatizo ni nini,wivu au tu ndo mambo ya kike hayo!??
 
We si ulimpata humu
Sasa anaogopa unaweza tena pata mwingine humu humu wa kumsaliti
Kaa nae na sometime mnashare pamoja kile unachotaka kufanya na la muhimu jenga uaminifu kwake kumuonyesha kuwa wewe na yeye tuu na sio zaidi ya hapo
Asikufikirie kuwa wewe hujatulia
Au mkuu una sign za kutotulia
 
Maybe anaamini kua utakutana na mwengine kama ulivo kutana nae. Jaribu kujenga trust.
Mlichumbiana muda gani? Coz I can see ulijiunga may kwaka jana, na October mkafunga ndoa.
Maybe hamjajuana vizuri, mpe muda wa kukujua zaidi.
Congratulation for your wedding.
 
RR heri ya mwaka Mpya na pole kwa kifo cha member wetu humu
Naona ni uaminifu tuu baina ya wawili hawa
Ajenge uaminifu na sio kuuonyesha tuu bali kw avitendo
Mwenzake amuamini kuwa hatarudi humu kutafuta mwingine bali yumo humu kwa ajili ya kuchangia mada na mambo mbalimbali na ndoa yake anaiheshimu
Ampe pia muda mwenzake amjue vyema na ajijengee uaminifu
 
hongera kwa kupata mchumba kupitia hapa jamvini. Pengine ana wasi wasi unaweza kupata mwingine humu wa kumsaliti. Nadhani baada ya kujua uaminifu wako anaweza kukuacha huru kuingia humu jamvini.
 
Wadau Habarini,

Niwatakie heri ya mwaka mpya, imekuwa kitambo kidogo taingia nitangaze nia, nikapata mchumba humu JF ambae tulifunga ndoa tarehe 15.10.2011; ndoa yetu ni ya furaha na kila mmoja anaamini ndo mwisho wake wa reli kama ilivyo, tatizo la mwenzangu tangu tumetoka honeymoon amekuwa hataki nitumie hata dakika moja kutembelea jamvi unless tuwe pamoja, sijajua tatizo ni nini ingawa nahisi tayari katumbo kamevimba:

wadau, nimejaribu kumuuliza tatizo ni nini,wivu au tu ndo mambo ya kike hayo!??

Unajikataza mwenyewe - wacha urongo.
 
RR heri ya mwaka Mpya na pole kwa kifo cha member wetu humu
Naona ni uaminifu tuu baina ya wawili hawa
Ajenge uaminifu na sio kuuonyesha tuu bali kw avitendo
Mwenzake amuamini kuwa hatarudi humu kutafuta mwingine bali yumo humu kwa ajili ya kuchangia mada na mambo mbalimbali na ndoa yake anaiheshimu
Ampe pia muda mwenzake amjue vyema na ajijengee uaminifu
Heri ya mwaka mpya pia MR. R, tumesha poa pande hii, tunasubiri mazishi sasa, I am ready to let go.
Ulichosema ni ukweli mtupu! Nadhani hawajajuana vizuri kwa hiyo amridhishe tu menzie hadi watakapo jenga trust ya kutosha.
 
Brother Mvua ya Kiangazi. Ingawaje hukutualika kwenye wedding yako, nachukuwa fursa hii kukupa hongera. Secondly you should know kuwa before your marriage ulikuwa independant. Lakini baada ya wedding umeshakuwa wa watu. You belong. Wellcome to the club. Ushauri ni bora uanze mapema kumpacify kwa kujenga trust. Lakini latter waweza kuwa a slave of your marriage.
It seems you love to travel, but hate to arrive.
 
hii ID yako haijui? maana unaweza usipige parizi si tayar umesia mbegu!!!
 
Nilijua tu lazima utakuwa ulimtoa humu humu...anajua utaendeleza ku check check totoz hapa
 
Back
Top Bottom