Waungwana hebu nisaidieni kwenye hili suala ambalo nimekuwa nikilifikiria kwa muda mrefu bila jibu sahihi.,ni hivi eti mke wako ni ndugu yako au ni rafiki yako?
Habari,
im calvin..aged 23 frm dar..kitaaluma mi ni mwalimu..nahitaji msichana mzuri na mkeli,ambae ataniweka waz kila ki2,ambaye hapend uongo,co mwenye fikra potofu..ambaye atanipenda jinsi...
Mimi sijaoa lakini nimesikitishwa na kitendo cha rafiki yangu mmoja ambae ana mchumba wake na wamekua ktk uchumba kwa karibia mwaka sasa, huyu rafiki yangu alishauriwa na mtu wake wa karibu ili...
Heshima mbele wakuu!ebana,juzi kati ivi niko zangu viwanja,nkakutana na mmanzi flani hvi,dezaini umbo lake ukilicheck unaweza uhisi ni binti mwenye miaka 23 na kuendelea!bac,me nikawa nimemind...
Habari zenu wana JF,
Mwaka huu nipo katika harakati za kutafuta mchumba katika mazingira ninayoishi na kwingineko, nimeona sio vibaya pia nikiweka wazi nia yangu hapa ili mwanamke yoyote...
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi...
Hivi inakuwaje binti ndo kwanza kamaliza chuo 26yrs,anaomba aolewe na mwanaume mwenye mke na watoto 2, kila siku anaahangaika kupiga simu mara nakupenda sana, nakumis sana,ukinioa namimi...
Ni aibu kwa mwanaume kutukanwa na mwanamke,either jf au fb,tuachen mambo ya kumix madem jamani.Mpaka aibu...khaaa!,hata wasichana pia.kuja jamaa katukanwa,sijui kama atafuatilia tena.
Wadau,
Nikiri kuwa mimi ni mpenzi mkubwa wa nachi nachi, mapicha ya sinema ya kihindi. Sababu kubwa ya kupenda, mbali na stori, ni yale mazingira ambayo jamaa hutujalia kuyaona(...
Habari zenu wana JF
wakuu kuna manzi ambaye nilimtongoza zamani kidogo lakini yeye alinikataa kwa kunitolea maneno machafu mno.baada ya kusikia ana mimba na aliyempa kaikataa nikamtongoza tena na...
Mara nyingi hujiuliza sana.......hivi yawaje hapa makala za ngono hushabikiwa sana mithili ya kuwa mahusiano ni ngono tupu?.....kama vile bila ya ngono hakuna mahusiano?................au yaliyomo...
Hatupendi tabu wala kupigishana kelele na wasichana sema wenyewe ndo mna tulazimisha kuongea. nyie wanawake ni watu na kutufariji na kutupeleka dunia nyingine. Lakini mnatumia mapenzi mnayotupa...
Habari ya maandalizi ya x-mas wakubwa?
Ikiwa tunaelekea kufunga mwaka, wengi tumepitia mengi ktk mahusiano yaliyotufunza namna ya kustahimili na kumudu hisia mbalix2 kwenye mahusiano. Natumai...
Ebu sikia hii, jamaa kamtongoza rafik kwa mda kama miez 6, dem kamkubalia tangu novemba..now wamekuwa wapenz ila dem hamuelew mshkaj sa iv ham2mii mesej kila siku kama zaman, inaweza pita siku...
Ndugu wana JF ni matumaini yangu kuwa aina zote za maisha au tabia zinaweza kujaribiwa na kuchwa kama hazifai lakini sio ndoa. Ndoa haijaribiwi. Ni vizuri mtu anapotaka kuingia katika kundi hili...
Nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumapili mwaka 2000, wakati huo ndio ujana wangu ulishika kasi na nilikuwa napenda kujirusha ile mbaya. Nilikuwa naishi maeneo ya Mwenge, lakini maeneo yangu ya...
habari zenu wakuu!
nina jamaa yangu anasumbuliwa na mawazo kuhusu huu mkasa!jamaa anae dem wake na hivi karibuni demu wake akasafiri kuelekea kusalimia maskani,baada kama ya siku 6 demu akampigia...
What up jf, how waz xmas? op was ok! katika heka heka za maandalizi ya xmas nkakutana na manzi m1 mkali, nkampiga somo akalielewa kama wanafunzi wanavyoelewa reproduction katika biology! ila...