paying to find true love

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
Wana jamii wenzangu nimeona hizi dating sites zinaongezeka kila leo. Katika hii mitandao mtu analipa annual fee na kiwangu kina tofautiana kutokana na member wa aina gani unataka kuwa. Kwa kawaida members wanaolipia zaidi wana pata extra features. Ninacho jiuliza mimi ni je imekua ngumu kiasi hicho kwa watu kutafuta urafiki mpaka waka lipe kwenye mitandao kumpata mtu? Nini kinacho fanya watu waka tafute wapenzi kwenye mitandao? Siyo kuwa nawa kejeli watu wanaofanya hivyo lakini ni kitu kwangu nashindwa kuelewa ndiyo maana nimeamua kuuliza wana jamii. Labda kati yetu wapo wanaotumia services hii.

Nikipata muda nita edit thread na kuweka baadhi ya hiyo mitandao hapa. Zipo pia mahsusi kwa dini au watu wa rangi fulani. Pia ukisearch hata kidogo tu kwenye mitandao utazipata.
 
Mimi JF inanitosha afadhali nichangie hapa lakini sio uko kwingine
 
after all uko kwingine nitawakuta hawa wadau?
Mwanafalsa1
Nyani Ngabu
Kibunango
Makyao
Mwanajamiione
dada yangu Nyamayao
bachelor mwenzangu Fidel, Josm
mtata YoYo

Mimi na JF tu
 
Back
Top Bottom