Akina dada someni hili

Grader

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
445
64
'Wanaume Sura Mbaya Hutoa Mbegu Nyingi Za Kiume Wakati wa Kujamiiana'
Wanaume wasio na mvuto hutoa mbegu nyingi sana za kiume wakati wa kujamiiana kulinganisha na wanaume wenye mvuto Monday, July 13, 2009 5:09 AM
Wanawake wanaotaka kupata mimba haraka inawabidi watafute wanaume wenye sura mbaya kwani matokeo ya utafiti wa wanasayansi umeonyesha kuwa wanaume wasio na mvuto hutoa mbegu nyingi sana za kiume wakati wa kujamiiana kulinganisha na wanaume wenye mvuto.
Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume wenye sura zenye mvuto hutoa kiwango kidogo cha mbegu za kiume wakati wa kujamiiana.

Wanasayansi wanafikiria kuwa wanaume wenye sura zenye mvuto kibailojia huwa wanazihifadhi baadhi ya mbegu zao za kiume katika kila tendo la kujamiiana ili waweze kupata nafasi ya kuwatia mimba wanawake wengi zaidi.

Kwa upande wa wanaume ambao hawana mvuto wowote kwa wanawake hujua fika kwamba ni wanawake wachache watakaowakubalia kulala nao kwahiyo wanapopata nafasi humwaga mbegu zao zote za kiume walizonazo wakijua bahati inaweza isirudi mara mbili.

Utafiti huo ulifanywa na wanasayansi katika vyuo vikuu vya Oxford na University College London vyote vya Uingereza.

Wanasayansi hao walisema kuwa utafiti wao umethibitishwa katika majaribio waliyofanyiwa kuku na samaki na kwamba matokeo yatakuwa ni sawa hata kwa binadamu.

Ripoti iliyotolewa kwenye tovuti ya chuo kikuu cha UCL ilisema kuwa "Jinsi mwanaume anavyozidi kuwa na mvuto ndivyo ambavyo wanawake wengi wanavyopenda kujamiiana naye, hii inamaanisha inambidi atoe mbegu chache za kiume kwa kila mwanamke atakayekutana naye".

"Ingawa kwa kufanya hivyo hupunguza uwezo wake wa kuzalisha katika kila tendo la kujamiiana lakini huwafanya wawe na watoto wengi kwa ujumla".

"Wanaume wasio na mvuto hufanikiwa kupata wapenzi wachache ambao huwathamini sana na kwa kutoa mbegu zao zote za kiume katika kila tendo la ndoa huongeza uwezekano wao wa kupata watoto".

Utafiti huo ulisema kuwa kutokana na sababu hizo, kwa makadirio wanaume wenye mvuto huwa na uwezo mdogo wa kuzalisha kulinganisha na wanaume wasio na mvuto.
 
'Wanaume Sura Mbaya Hutoa Mbegu Nyingi Za Kiume Wakati wa Kujamiiana'
Wanaume wasio na mvuto hutoa mbegu nyingi sana za kiume wakati wa kujamiiana kulinganisha na wanaume wenye mvuto Monday, July 13, 2009 5:09 AM

Wanasayansi wanafikiria kuwa wanaume wenye sura zenye mvuto kibailojia huwa wanazihifadhi baadhi ya mbegu zao za kiume katika kila tendo la kujamiiana ili waweze kupata nafasi ya kuwatia mimba wanawake wengi zaidi.

Bahati yao wanafikiria nilidhani ni proved ati lol! Sidhani kama kuna kitu kama kuhold back ili mbegu zisitoke au mimi nakosea?
 
wa wa wa wa! mmm hizi sayansi nazo! sasa hiyo kutoa mbegu chache ni an involuntary, automatic thing ama wanaplan kuzifinya!! eh baba we!! kaaazi!
 
hey wadau duiniani kote karibuni hapa tuongee mambo ya msingi duniani tena na nchi yetu tanzania.

1. The nice men are ugly.

2. The handsome men are not nice.

3. The handsome and nice men are gay.

4. The handsome, nice and heterosexual men are married.

5. The men who are not so handsome, but are nice men, have No money.

6. The men who are not so handsome, but are nice men with money think we are only after their money.

7. The handsome men without money are after our money.

8. The handsome men, who are not so nice and somewhat heterosexual, don't think we are beautiful enough.

9. The men who think we are beautiful, that are heterosexual, somewhat nice and have money, are cowards.

10. The men who are somewhat handsome, somewhat nice and have some money and thank God are heterosexual, are shy and NEVER MAKE THE FIRST MOVE!!!!

11. The men who never make the first move, automatically lose interest in us when we take the initiative.

NOW, WHO THE HELL UNDERSTANDS MEN?


'Men are like a fine wine. They all start out like grapes, and it's our
job to stomp on them and keep them in the dark until they mature into something you'd like to have dinner with.'

ITS ONLY FOR SMART WOMEN WHO NEED A LAUGH AND TO THE GUYS WHO THINK CAN HANDLE IT!!!
 
wa wa wa wa! mmm hizi sayansi nazo! sasa hiyo kutoa mbegu chache ni an involuntary, automatic thing ama wanaplan kuzifinya!! eh baba we!! kaaazi!

Naona hapo mentally ana-save some for the next conquest.
 
...Wanasayansi hao walisema kuwa utafiti wao umethibitishwa katika majaribio waliyofanyiwa kuku na samaki na kwamba matokeo yatakuwa ni sawa hata kwa binadamu...

...pheeeeeeeeeewwww, kumbe kuna kuku na samaki wenye sura mbaya!
Ahsanteni 'watafiti!'...
 
hahhahahahahah madogo lakini mazitooo, haya mwanajamiiii 1 ukitaka mtoto katafute sura mbaya ikibidi umfunike shuka usoni ili mradi tu upate mtoto.....mhhh MWE!! ZE END OF ZE WORLD
 
agika nimeishiwa vitamkwa mie. uzuri watafiti hao wamesema wanafikiria- its not proven

.............. sijaielewa science ya kujizuia wasitoe mbegu wakati wa kilele!
 
Uzuri wa mwanamme/ mwanamke kisayansi unapimwa kwa kigezo gani? Ili kuwe na study ya kisayansi, inabidi vitu vyote vipimwe kisayansi.
 
imagine a really handsome kuku and a a really ugly samaki!! i though fish are ugly anyways......that why they are so many in the see, otherwise tungekuwa tumewamaliza kwa kuwala, Lol.

hawa sio watafiti ni "wafikiriaji"
 
sijui! lakini mimi ninafikiri kwamba,wanaume wazuri hutembea na wanawake wengi kwa siku,kwa hiyo mbegu zao hazikomai!!!!!!! eti wanaume tusaidieni
 
Back
Top Bottom