Mwenzenu Mara Moja Kwa Wiki Mbili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenzenu Mara Moja Kwa Wiki Mbili!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by OkSIR, Jul 17, 2009.

 1. O

  OkSIR Senior Member

  #1
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenzenu mara moja kwa wiki mbili!  akifurahi hawezi kulalamika![​IMG] mimi ni mwanaume mwenye miaka 32 najisikia kupenda sana tendo la ndoa niwe nifanya mara kwa mara, lakini mke wangu amekuwa hapendi kabisa.
  je, nitafanya nini ili kubadilisha hii hali kwani kwa wiki mbili tunafanya mara moja na hiyo moja ni kwa kulazimishana?

  kwanza asante kwa swali suri ambalo linasumbua wanaume wengi duniani ndani ya kuta nne za vyumba vyao.
  pili lazima ufanye analysis je, unampenda au unamtumia tu huyo mke wako?

  why?
  uzoefu unaonesha kwamba hata mwanamke asipofika kileleni bado huweza kufurahia tendo la ndoa (kuwa mwili mmoja) ikiwa tu mwanaume atakuwa mwororo (tenderness), ukaribu (closeness), anayeonesha upendo, anaye jali na mwenye mawasiliano mazuri na mke wake na mwanamke kujisikia anapata real love.​

  ukweli ni kwamba mwanaume ambaye ni mbinafsi (selfish) na hajifunzi sanaa ya mapenzi ndani ya ndoa na anamtumia mke wake kutimiza mahitaji yake ya tendo la ndoa (sex) tu hawezi kujenga hamu ya mwanamke kuhitaji huduma ya kuwa mwili mmoja.​

  labda kuwa na medical problems au matitazo ya ndani ya emotions zake (deep rooted) hasa kutokana na maisha yake ya nyuma (past life hata kabla hujamuoa) kama vile kubakwa au kudhalilishwa na mwanaume au ndugu wa karibu katika familia, hivyo kisaikolojia ameathirika.​

  bottom-line ni kwamba maisha ya kimapenzi ya wanawake wengi katika ndoa huelezea (reflect) jinsi wanaume wanavyo wahudumia katika mzunguko mzima wa maisha yao ya kila siku ya wawili waliooana.

  ni mara chache sana kukutana na wanandoa wanaohitaji ushauri wa masuala ya tendo la ndoa, kama mwanaume anampa mke wake upendo wa kweli ambao mwanamke huhitaji hata kabla ya kuingia chumbani.
  Mwanaume ambaye anajifunza sana ya mapenzi (kile mwanamke anahitaji kutoka kwa mwanaume), ambaye anamjali mwanamke, ambaye anakuwa na muda wa kutosha kumuandaa (foreplay) na anayehakikisha mwanamke anaridhika na raha ya kuwa mwili mmoja (kudumu kwa muda mrefu wakati wa kuwa mwili mmoja) na kuendelea kuwa naye hata baada ya wote kufika kileleni (siyo unaenda icu bila taarifa) huwezesha mwanamke kuvutiwa na tendo la ndoa na kujikuta anahitaji kila wakati bila kulazimishwa.​

  "acha ile mume wangu anafanya kuniandaa kwa muda unaotosha, mimi huwa napenda sana kila kitendo cha yeye kuendelea kunikumbatia na kunishikashika kwa wororo (tenderness) hata baada ya kufika kileleni"
  luciana aliongea kwa wazi kile anakipata kwa mume wake james.​


  "waaambie wanaume umuhimu wa mwanaume kumhudumia (maneno, tabia, upendo, mawasiliano) vizuri mwanamke wakati wa mchana kwani huweza kuathiri kwa kiasi kikubwa sex life
   
Loading...