What to do with Love??

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Love conquer everyting in this world when it arise between two opposit sex,but sometimes can face some obstacles and get lost forever.
Such barrier is like someone being to jail/inprisonment for some reasons and either a year on number of years.
In this case,an argument arise conserning dating or even get married to someone being prisoned whatever case put him/her in jail.

Red corner says:If love is there.Do not judge a person from the past.What case was or what was wrong back in those days?The only thing is start from the day you see him/her and look ahead of your future life with him/her.

Blue corner say:No no no.Stay away from this person,but if there is a need to move with this person,pls check out what case made him/her went to jail then make a move with.

These are the views from thiese sides.
Now what do you guys think?
 
Normally kama ni issue ya jail na kama mtu mwenyewe yuko serious atakwambia ukweli juu ya past yake hiyo au mimi sijakuelewa?
 
Normally kama ni issue ya jail na kama mtu mwenyewe yuko serious atakwambia ukweli juu ya past yake hiyo au mimi sijakuelewa?

Hapo mkuu ni kwamba watu whawataki kuwa karibu na mjelajela.
sasa unakuta wengine wanahoji ilikuaje ukafungwa ,kosa lipi nk..
sasa kwenye love hiyo inakujaje?
 
Mkuu wajua ni kweli Utamu wa pipi mate yako?
Inategemea ila mie nashauri bora kuwa makini! Usikimbilie commitment before hakikisharing kuwa huyu amechange (kama alikosea) na yuko clean. Kwa sababu mambo ya kina Red corner haya mara nyingi huwa si practical sana wengi hujuta baadaye na kuja na ,najuta ila niliambiwa sikusikia!

Haina tofauti na changudoa umwoe umweke ndani chance ni kubw akuwa kwa ikuwa alishazoea varieties hatoweza kuvumilia aina moja maisha yake so lilikukuta utasikia wakisema .............alitegemea nini, kumwoa yule changu!?

B aware kama ni lazima kuwa naye basi dont commit kabla ya kuwa sure
 
wewe hujui kuwa Utamu wa pipi mate yako?

ulishaonja pipi na kuisifia kisha ukampatia mwingine aina hiyo hiyo naye akabisha kuwa huo utamu sim kweli????
haaaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom