Kuna hiki kiumbe dhaifu lakini cha ajabu hapa duniani kiitwacho Mwanaume.
Ni cha ajabu kutokana na uwezo wake wa kubadilika kufuatana na mazingira kilichomo kwa wakati husika.
Hakika hata yule...
Natafuta mchumba kokote aliko,mie ni mwanaume umri wangu mika 31..awe na miaka chin na hiyo na kuendelea.cyo rang,cyo dini wala elimu.cyo kabila coz hatuoani ili tuje kutambika..mwenye nia thabit...
Dear jf members, Have you ever had a date with a stranger (blind date)? that feeling of excitement, nervous and anxiety! lets share your experience.. How did it turn out? Was it what you expected...
Ni ucku mtulivu nimekaa kitandan mie na jamaa yangu fulan tunapga stori huku mimi nasubiri muda wa kitu cha sa 4 flan ili nijimwage na mambo yetu ya kuzungumza at cheap rate kwa tgo.
Namwambia...
Wana MMU hii sio tamthilia ya kusadikika bali ni hali halisi iliyopo mtaani kwangu ambayo nadhani si sahihi na tuendako hili laweza kuwa janga kubwa.
Mimi naishi uswahilini na mtaani kwangu kuna...
Hivi umeshawahi kuona ndoa ambapo zinafumuka ngumi kati ya ndugu wa mke na wale wa mume, humohumo kwenye nyumba ya wanandoa? Kama hujawahi, una bahati mbaya tu, kwani ni nyingi za kutosha ndoa za...
Ndugu zangu wapendwa wa Jamii Forums naomba ushauri wa mawazo kwani naumia sana. Nina mpenzi ambaye nimekaa nae kwa muda mrefu sasa toka tukiwa chuo mpaka sasa ni wafanyakazi. Mwanzo sikuwa na...
Jana (02/01/2012), nikiwa kazini, nilikuwa nayapitia magazeti na kwa bahati nzuri au mbaya nikakutana na kisa hiki kilichoandikwa na gazeti moja la Kiswahili litokalo kila siku ....
Mwanamke...
Natafuta mchumba na baadae aje awe wife..mie ni mwanaume 31yrs ft 5.5 maji ya kunde.niko mwanza. elimu yake iwe ya kawaida tu..din yeyote..kabila pia sichagui coz hatuhtaj kutambika kwenye familia...
Wakuu salamuni.
Naombeni mwongozo wenu. Mke wangu amejifungua hvi karibuni, alijifungua salama na hali yake baada ya wiki moja na nusu alikuwa safi, na taratibu akaanza kunisogelea.
Kwa sasa ni...
Naomba Jf membars nitangulize excuse kwa ninalolisemea kwani huenda lilishaletwa hapa kitambo likajadiliwa wakati mimi sijawa membar Jf, mnivumilie kwa hilo. Muda huu naifanza hii thread niko...
Katika thread mbali mbali ambazo tumechambua mwaka huu wa 2011, binafsi nimefarijika na kufaidi michango ya wadau kuhusu taasis ya ndoa. Ndoa ni taasisi ni muhimu sana na kila mmoja wetu analo...
Tunapouanza mwaka mpya ni vizuri tukafungua ukurasa mpya wa kitabu kilekile cha mapenzi huku tukipekua nyuma na kuyarekebisha yaliyokuwa makosa, kuboresha zaidi palipoelekea kudhoofu na kutia...
Wadau mimi ntaona faraja kama nitapata mpenzi mpya wakuanza naye mwaka yani 01/01/12 nakuwa naye kwa mwenye nia kama mimi pls PM! Vigezo sihitaji kwani kitendo cha kuwa JF nitosha wewe ni mjanja!
Ilikuwa ni siku ya Ijumaa ya Julai 21, 1995, Nicholas Tucker, afisa wa cheo cha juu katika jeshi la anga la nchini Uingereza akiwa na mkewe aitwae Carol, alikuwa akiendesha gari lake aina ya Ford...
Mi siamini kama kutongoza ni jambo baya.
Nikiwa lecture room,dada mmoja mwenye mvuto alivaa na kupendeza alikaa karibu nami,kiukweli sikumsikiliza tena mwalimu.
Nikajikuta mwili...