Kupenda kwa aina gani huku? Au ni kukomoana?

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,566
Jana (02/01/2012), nikiwa kazini, nilikuwa nayapitia magazeti na kwa bahati nzuri au mbaya nikakutana na kisa hiki kilichoandikwa na gazeti moja la Kiswahili litokalo kila siku ....

Mwanamke mmoja ambaye ni hawara wa mwanaume mmoja mwenye mke na familia yake, amemuua mwanaume huyo baada ya kumfumania mwanamume huyo akiwa na hawara mwingine kwa kumchoma na kisu mara mbili tumboni/kifuani!

Swali: 1. Hivi inakuwaje mwanamke anauwa kwa ajili ya mwanaume ambaye ni mume wa mtu? Huku ni Kupenda kwa aina gani?
2. Kama ni wivu, ni wivu wa aina gani? Ma-infed ... wa humu, hebu mtueleza huwa mna wivu kwa mahawara wenu kiasi hiki?
3. Na huyu mwanaume mwenye ndoa yake alikuwa anatafuta nini kwa mahawara zaidi ya mmoja?

Nichukue nafasi hii, kumpa pole mke wa ndoa wa mwanaume huyo aliyeuwa, kwa kuibiwa mume na wanawake wenzake wasio na huruma, kumtumia na hatimaye kumuua kabisa kwa kisu!

Wana JF wa MMU, naomba kusikia maoni haya juu ya tukio hili.

Wenu,

HorsePower
 
Inasemekana mke wa marehemu ni mgonjwa amelazwa hospitali ya kcmc. Hata hivyo hiyo siyo sababu ya kuanza kuhangaika na wanawake wengine.

Ni bahati mbaya tu kwa marehemu kupata hawara kichaa. Haya si mapenzi; nina wasiwasi na akili ya hawara wa marehemu.
 
unajua huyu sio jamaa wa kwanza kuwa na hawara zaidi ya mmoja. it is not uncomon ila wats uncomon is a person getting killed. sasa women women who kill wana sababu zao huyu labda alikubali kuwa hawara peke yake lakini sio kuwepo hawara mwengine na ukweli ni kwamba sie hatuwezi jua mapromise gani jamaa alimpa huyu dada. so yes kuwa na hawara zaidi ya mmoja ni common ila usishangae ukipigwa.kisu
 
Kwa maoni yangu binafsi

1. yaelekea huyo hawara hajawai kukutana na mwanaume aliemridhisha tu ze maximamu yaani ameguswa kule kusipo fikika na
wanaume ambao alisha wahi kuwanao kipindi cha nyuma, sasa kitendo hicho kimemtia aina flani ya ukichaa.
 
Horse power.... Kuna watu wengine wanapenda mpaka wanakua vichaa.... Mapenzi hufanya mtu kua kicha!! Hata hivo suala kama hilo hatuzungumzii tu Mapenzi.... Ni mambo mengi mno ambayo yanaweza kua yamemsukuma huyo mwana mama kumuua mumewe. Kama unavoelewa ndoa zina mambo mengi mno. Waweza kuta forces za hio hasira ni kubwa mno ambayo ilisababishwa... ikiwa imelipimbikizwa na muendelezo wa mikasa, visa na chuki ndani ya ndoa.

Wanawake ni watu ambao tuna huruma mno... But I think ile ambayo Mungu katujaalia ya kuweza pitia experience ya kuzaa... it changes us.... Ukizaa - that is when a woman knows kua she can kill... Naomba msininukuu vibaya... But kuna experiences ambazo wamama hua twapitia na kutufanya tuwe really aggressive in matters concerning us....

Tukija katika hilo swali bado maswali ni mengi saana ili hasa kuweza judge why she killed.... Walikua wanaishi vipi? Kulikua na matatizo kati yao? (Mf. kama vile afya - chukulia mwanaume kaleta ugonjwa wa UKIMWI ndani, Ok umemsamehe na mwasema mtulie mlee watoto wamfumania.... Hapo you don't know what you will do), Manyanyaso/makandamizo/uenevu/lack of trust/lack of love..... Na mengine meeengi.

Hapo kwa kweli muuaji na marehemu ndo hasa waelewa... nini kulisukuma mpaka mwanamama akaua....
kama nimempata fresh hajauawa na mkewe hapana bali hawara tu kamfumania huyo bazazi na hawara mwingine ndio akamchoma na kisu.
back 2 mada, ni ukatili 2 na roho chachu za wa2 fulan fulan tena wanakuwa wameshindikizwa na mapepo kwa muda huo.
aisee huruma bureee, ila swala la kuwa na mahawara wa2 mmh ni common nwdays jaman hata cjui 2nakwenda wap mmh.
 
Niliwahi kuambiwa 'dhulma haidhulumiwi'
Tafakari, chukua hatua
Nimesikia wanaume wanasema ukikamata small house inaku-cheat unakasirika kuliko ukikuta mkeo anakucheat. Kwa sababu hiyo small house inachopata ni favor, wakati mke anachopata kwa mumewe ni haki yake.
 
kama nimempata fresh hajauawa na mkewe hapana bali hawara tu kamfumania huyo bazazi na hawara mwingine ndio akamchoma na kisu.
back 2 mada, ni ukatili 2 na roho chachu za wa2 fulan fulan tena wanakuwa wameshindikizwa na mapepo kwa muda huo.
aisee huruma bureee, ila swala la kuwa na mahawara wa2 mmh ni common nwdays jaman hata cjui 2nakwenda wap mmh.

Khaaa! Umeniwahi... Niko ku delete post kumbe usha ni quote? lol.....
 
Huenda huyo M'baba amekuwa anamtumia huyo hawara kwa saundi muda mrefu akiwa anamweleza mlolongo wa matatizo, ikiwa ni pamoja na kuwa Mke wangu anaumwa yuko KCMC, kwahiyo sina kitu kwasasa, na hawara akayapokea maneno hayo akiendelea kumpa penzi la mkopo, na huenda hadi kumpa hela za nauli ya kuendea kumsalimia mkewe wa ndoa!!

Sasa siku huyo hawara anamfuma jamaa yuko na kitu kingine kipya, lazima atahisu gharama imetumika...na kwa sababu hiyo anaweza kufanya lolote linalokuja kwanza akilini mwake!...

Mapenzi yanaua!
 
Horse power.... Kuna watu wengine wanapenda mpaka wanakua vichaa.... Mapenzi hufanya mtu kua kicha!! Hata hivo suala kama hilo hatuzungumzii tu Mapenzi.... Ni mambo mengi mno ambayo yanaweza kua yamemsukuma huyo mwana mama kumuua mumewe. Kama unavoelewa ndoa zina mambo mengi mno. Waweza kuta forces za hio hasira ni kubwa mno ambayo ilisababishwa... ikiwa imelipimbikizwa na muendelezo wa mikasa, visa na chuki ndani ya ndoa.

Wanawake ni watu ambao tuna huruma mno... But I think ile ambayo Mungu katujaalia ya kuweza pitia experience ya kuzaa... it changes us.... Ukizaa - that is when a woman knows kua she can kill... Naomba msininukuu vibaya... But kuna experiences ambazo wamama hua twapitia na kutufanya tuwe really aggressive in matters concerning us....

Tukija katika hilo swali bado maswali ni mengi saana ili hasa kuweza judge why she killed.... Walikua wanaishi vipi? Kulikua na matatizo kati yao? (Mf. kama vile afya - chukulia mwanaume kaleta ugonjwa wa UKIMWI ndani, Ok umemsamehe na mwasema mtulie mlee watoto wamfumania.... Hapo you don't know what you will do), Manyanyaso/makandamizo/uenevu/lack of trust/lack of love..... Na mengine meeengi.

Hapo kwa kweli muuaji na marehemu ndo hasa waelewa... nini kulisukuma mpaka mwanamama akaua....
Khaaa! Umeniwahi... Niko ku delete post kumbe usha ni quote? lol.....

Asha Dii, usingefuta comments zako, nilikupata vzr na nimejifunza kitu out of hizo comments ...
 
nadhani yule hawara aliumia sana hadi akafikia hatua ya kufanya maamuzi mazito ambayo yamegalimu roho ya mwenzi wake.. mara nyingi hasira, wivu na kisirani huambatana pamoja na hufanya watu wafanye maamuzi wasiyotarajia ambayo ni ngumu mtu kuamini kama yamefanyika
 
Usijali Obsesd.... tuko pamoja.... Bahati nzuri ulini quote Umemsikia Horse power hapa chini?

Asante Horse P.... Basi hamna kilicho haribika.... for naona usha nisoma....

Sure, Asha Dii mimi hupenda ku extract wazo kuu la mtu toka kwenye ujumbe/comments aliyoiandikia. Wazo lake na mtazamo wake juu ya jambo fulani ni kitu muhumi sana kwangu and always take comments in a +ve way. Kosa la kutoeleweka au kwenda nje ya mada sometimes kwangu halihusu ... :poa
 
@Paka Jimmy
Mapenzi hayaui
Mapenzi yananivunja mgongo - Les Wanyika

Vichaa ni wengi, wachache wako mahospitali
 
hayo sio mapenzi. Huyo tunamuita MUUAJI. hata kama asingemchoma kisu ipo siku angemuua hata kwa sumu. huyo ni sawa na yule aliye mkata kata mkewe na kutupa baadhi ya viungo chooni. Ukiona mwanamke anakutishia kukua kama vipi muwahi wewe au kimbia kabisa. hawa viumbe ni balaa. Mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom