Mwaka mpya unahitaji ukurasa mpya, sio na wapenzi wapya jamani!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka mpya unahitaji ukurasa mpya, sio na wapenzi wapya jamani!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Uncle Jei Jei, Jan 1, 2012.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Tunapouanza mwaka mpya ni vizuri tukafungua ukurasa mpya wa kitabu kilekile cha mapenzi huku tukipekua nyuma na kuyarekebisha yaliyokuwa makosa, kuboresha zaidi palipoelekea kudhoofu na kutia zege yaliyokuwa mazuri! Ni ajabu tukiruhusu kuendelea na yaliyo maovu au kubadili wapenzi! Jiulize kama hiyo ndo slogan yako utabadili hadi lini?? HAPPY NEW YEAR TO ALL"" 2012 to be the best!
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sawa Uncle J J nimekuelewa...
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,578
  Trophy Points: 280
  Heri ya mwaka mpya mkuu.
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Jamani are you saying hata kama Mpenzi wako hakufai uendelee kung'ang'ania?
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kwani si tulisema tutabadili?
   
 6. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 1,050
  Likes Received: 1,076
  Trophy Points: 280
  Kwani siku hizi kuna mpenzi mpya?mbona mi naona wote used.ni mtazamo tu
   
 7. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama nilijua, mie wakwangu nilikaa naye usiku wa tarehe 31.12.11 pamoja na mambo mengine na hili lilikuwa moja ya agenda zetu - kwa uwaza wake MOLA tunategemea kuwa mambo yatakuwa tambarare.
   
 8. huzayma

  huzayma Senior Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani kama hafai unangoja hadi mwa umalizike,? si utakufa kwa kichef chefu.
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe ulimkuta bikra??jiulize wewe wangapi??mwaka mpya mambo mapya with new test!!
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  yaani unataka maumivu ya mwaka jana nije nayo mwaka huu mzuri ambao kila mtu kantakia kheri? haiwezekani. mwaka mpya na mambo mapya. Mia
   
Loading...