Haya sio maksudi mazima wadada kututega ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya sio maksudi mazima wadada kututega ?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Judgement, Jan 1, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Naomba Jf membars nitangulize excuse kwa ninalolisemea kwani huenda lilishaletwa hapa kitambo likajadiliwa wakati mimi sijawa membar Jf, mnivumilie kwa hilo. Muda huu naifanza hii thread niko fukweni mwa Lake Victoria, nimekaa juu ya mawe, aidha mbele kwangu kuna binadamu wa rika tofautitofauti. Wengine wanaogelea, kuna wenye kuvua kwa kutupa ndoano na wengine wanazungukazunguka.


  Katika eneo hili kuna mdada (aliesababisha thread hii ije hewani) Mdada amevaa suruali ya jeans iliotoa roadmap yote ya mwili ! Inshort watu Jf almost wote mnaishi mijini na mapigo style hizi mnayajua. Aidha mdada huyu anamiliki figure 8 kama wengi walivyo. Kwa vyovyote vile kwa mwanaume RIJALI akikupitia mdada alievaa kihivi utamwangalia mara mbilimbili na kukuondolea utulivu wa akili, kama una gazeti mkonono, unaandika msg cosentration ina athirika. Nawauliza wadada wenye kuvaa hivi hapa Jf (najua hawakosi) hii sio traps mnatutega ? Kwani msipo display map za miili yenu hatutawahitaji ? Na watakao niambia ni tamaa sitowaelewa! Itakua unafiki tu! Nafsi ni mgeni kila uchao.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  utagegwa na wangapi? Na ndo fashion za vijana? Wewe shinda tamaa yako!
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,838
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  tembea umevaa miwani ya mbao.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Kijana, tatizo hapo si mvaaji, bali wewe mwangaliaji. na inaelekea haujui umefuata nini huko ulikoenda kiasi kwamba akili zako zinachotwa na hilo jinzi. Kama hiyo jinzi inakupagawisha namna hiyo, je ukienda kwenye beach ambako wanavaa bikini ndugu yangu si upatawa na mshituko wa moyo kabisa
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,616
  Likes Received: 21,246
  Trophy Points: 280
  hayo ni matatizo ya shibe...
  wewe umekula umeshiba sasa ndo unapata matatizo na wadada na wanavyo vaa
  uliza ambae kula yake ya shida akwambie.....

  ndo maana watu wa dini wanashauri watu wafunge.....

  shibe inakusumbua....

  subiri siku uko juu ya mawe uone kama kuna dada atakae kuvutia
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  We shida yako nini?
  Kama unaona ni mtego usiangalie!!!
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaa kweli ukiwa na njaa hauwazi hiyo kitu kabisa lkn ukishiba we dushelele lazima liinuke
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  labda jaribu ziwa Tanganyika
  hamna mawe huko
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Asante Kongosho ! Pakinichanganya na huko Lake Tanganyika, nitajaribu Lake Zanzibar
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Wadau hoja zenu nitazijibu 1 baada ya nyingine rite now nina kakio kasikokua rasmi na mdau mwenza wa Jf tumegongana ghafla around this site.
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  Kazi unayo, mitego itakuua wewe.
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  BT Nilitegemea kupata jibu kama lako hata hivyo ifanyie Nafsi upembuzi yakinifu inavyokua mgeni wa mambo.
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Pakuipata sasa! Pia kumbuka kionacho hua ni nafsi na macho hu'represent tu!
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Na ndiyo mana siendagi maeneo hayo mara kwa mara ni skukuu hadi skukuu.
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Napo kuyawekea macho karantini ni mtihani ! Si mdogo.
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Na nyie ndiyo wauwaji wetu! Kama si wewe basi Shosti wako, au Shost wa Shost !
   
 17. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 725
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 80
  Ibilisi huyo mkemeee .pepo mchafu tokaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 18. under_score

  under_score Senior Member

  #18
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ukiibuka na michomo dizaini hii next time jaribu na kututupia ma'snap-shots hayo jamvini hapa ili twende sawa, acha kubana muzee mukubwa!
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Yang'ofoe utupe.
   
 20. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #20
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  napita,nitakuja baadae
   
Loading...