Jamani wana jf msaidieni rafiki yangu !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani wana jf msaidieni rafiki yangu !!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MWAMUNU, Jan 3, 2012.

 1. MWAMUNU

  MWAMUNU JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 661
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jamani kwanza hongereni kwa kuuvuka mwaka kwa wale waliobahatika.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ukisikia kushika mkia wa paka na kuuliza wapi makalio ya paka ndo hiii sasa...lol
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Mshauri akubali mkwewe ambane na koleo na yeye.
  Tena sio kidole cha mkono bali kidole tumbo.

  Wizi mtupu
   
 4. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 1,050
  Likes Received: 1,076
  Trophy Points: 280
  Hii story ya kutunga inaendelea au ndo imeishia hapa?
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mji mwingine umbali wa nusu saa kwa miguu??
  Umbali wa nusu saa akaona kazi kurudia gari kesho yake?
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Eti kutongoza mtu amekula kitu hapo
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni huo moyo kuenda mbio tu? Muambie aende kwa cardiologist.
   
 8. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  huh! yan jamaa ana wivu nouma, hapo mkewe katongozwa 2 moyo unamdunda wangemega kbs je?
  mmh cjui moyo wake ungesimama kbs.
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ina maana......hii ID yako ni spesheli kwa uzi huu tuu.....?

   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  hapa mbona kamaliza kila kitu? Ushauri upi anataka kama alishakutana na dowezi wakaongea kisha akamwambia atimue? Kama ameshasamehe mi sina ushauri ila afahamu kuwa alikuwa anaibiwa maneno mengine yote ya humo yalikuwa ya utetezi.
  Inawezekana huyo mke wa jamaa alimpigia na kumwambia dowezi kuwa alijiteteaje na yeye ajitete vivyo hivyo ili kutengeneza costistency kwenye mazungumzo na kuondoa doubt kwa aliyeibiwa. Nachukia matendo ya namna hii ila sijui kwa nini watu wanaendekeza ...
   
 11. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwanza huyo rafiki yako mjinga, vipi mtu unampiga mke wako aisay dunia hii kuna mambo.

  Afu kama mke wake amevua chupi atasema kavua??

  Ndo mana siku zote usikimbilia kufikiria baya, kabla ya kutumia akili.

  Wanasema wenye akili, ukisha anza kumfikiria mke wako anafanya mabaya basi ndoa haita dumu.
   
 12. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mim nilidhani mama kaingiza kidume chumbani,yaan kuongea na simu ndio mtu agonge geti mtu asisikie hadi watu waruke ukuta.
  anyway, time heals everything,hana haja ya kulipa kisasi kinaweza kumfikisha pabaya,yeye atulie tu atakuja kusahau.
  Ila dowezi anasema mama alikua na msimamo,sasa na hii naisubiri kwa hamu hiyo siku inaingiaje ingiaje ktk hii movie.
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 584
  Trophy Points: 280
  bishanga yuko wapi?

  aisee huyo keshaliwa, haiwezekani jamaa ajue kuwa saa 4 usiku mwenye mali hayupo na akapiga simu na kuongea mda wote huo.
   
Loading...