Nani anayepaswa kusema kuwa anapenda?

dijly4

Member
Sep 11, 2011
26
9
Jamani wanajf, hivi kweli wanawake wa kiafrika wanapenda au ndo wanashawishiwa kupenda baada ya kutongozwa?
 
Jamani wanajf, hivi kweli wanawake wa kiafrika wanapenda au ndo wanashawishiwa kupenda baada ya kutongozwa?

...Na wao wanapenda na huonyesha hivyo kwa maneno na vitendo pia.
 
wasanii hao sijapta kuona...wee tongoza ndio wanakuoenda.
kwanza sio wanapenda wanjifunza kukupenda sasa wewe ulishaonaga wapi mapenzhi ya kujifunza
 
wanapenda sawa na wanaume wanavyopenda.na tena siku hizi wanasema hakuna kuficha hisia tena.
 
Wanawake wa kiafrica wana mapenzi ya kwel kuliko nadhan hapa dunian. wakipenda wamependa. wamekujakuchakachuliwa na mijanaume mikatili na kuifanya mioyo yao kuwa migumu abit. bt wen a woman loves she love 4 ril.
 
Back
Top Bottom