Serious issue

Kafuta

Senior Member
Oct 15, 2010
119
29
Natafuta mchumba kokote aliko,mie ni mwanaume umri wangu mika 31..awe na miaka chin na hiyo na kuendelea.cyo rang,cyo dini wala elimu.cyo kabila coz hatuoani ili tuje kutambika..mwenye nia thabit anipm.vigezo na mashart kuzingatiwa.
 
ni pm aisee maana huu mwaka nina nia kabisa
ila wallet iwe inasomeka kiukweli
nimechoka na shida za dunia hii
nataka kula raha kidogo
 
Natafuta mchumba kokote aliko,mie ni mwanaume umri wangu mika 31..awe na miaka chin na hiyo na kuendelea.cyo rang,cyo dini wala elimu.cyo kabila coz hatuoani ili tuje kutambika..mwenye nia thabit anipm.vigezo na mashart kuzingatiwa.

weka hivo vigezo watu waone! unawahi wapi?
 
Bwana wewe unawalakini, hujali chochote kile dini, je tabia pia utambadilisha? ebu rudi kalale kidogo halafu urudi tena.....
 
Kila la heri japo hapa sio mahala pake,
Tangazo lako lina walakin,hujaweka vigezo vyako,wala vya unayemtaka?
Je interesti yako ni kwa jf members tu?vp kwa wasomaji wasio member je?ungewawekea hata email,ni ushauri tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom