Jamani nifanye nini?

Kitty Galore

JF-Expert Member
May 24, 2011
345
100
Niliwahi kuleta thread hii hapa

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/161232-how-can-you-let-it-go.html

Huyu kiumbe amekuwa akinipigia simu kuwa hawezi kunisahau, amejitahidi ku let it go but ameshindwa (anavyodai), at the same time he is married, hivi nafanyaje mbona anazidi kunichanganyia habari namna hii?
Nilishamsahau na maisha yakasonga mbele,is he aiming to hurt me?
Nimeshablock namba zake zote lakini anatumia namba tofautitofauti kunipigia.
Hii hali naitatua vipi?
 
jifanye umeokoka na kila saa anza kumpa neno la mungu...
akipiga tu pokea kwa bashasha na uanze moja kwa moja kumpa neno...
kuwa kama wachungaji wanaosimama kwenye masoko hivi lol
 
Yaani umeamsha maruhani kichwani mwangu

Huna maamuzi katika maisha yako?
Ina maana yeye ndo akuamulie atakacho?
Mbona wanasema Mkiwezeshwa mnaweza?

Unashindwaje kuweza
Thubutu, weza, utasonga mbele.
 
kubadilisha namba siwezi, nitazuia watu wengine wa muhimu na pia ndio namba ya ofisi. Sitaweza kupoteza watu wengi kwa ajili ya mtu mmoja.
If you're not part of the solution you must be part of the problem....Kwanini usiwajulishe wote kwa sm kwamba umebadili number na hii ndo number yako mpya.

Ofisi gani ambayo haiwezi kubadili number ya simu!!

Waeleze ma boss zako kazini ukweli, sidhani kama kuna makosa...Waambie nibadilishieni number sababu ex wako anakukera sana.
 
anakupenda kwa dhati niwakati wawe kujua nini anahitaji kwako na amesahau nini kwako!ukijua yawezekana anampango mzuri na wewe!
 
Huyu kiumbe amekuwa akinipigia simu kuwa hawezi kunisahau, amejitahidi ku let it go but ameshindwa (anavyodai), at the same time he is married, hivi nafanyaje mbona anazidi kunichanganyia habari namna hii?

Huyo mwanaume yaonesha is a coward.... Ndio yawezekana anakupenda BUT jua kua ampenda mkewe zaidi na ndio maana alimuoa akamuweka ndani na bado wapo pamoja. Kumuweza mwambie mie nimepata number ya mkeo uko radhi nimpigie?


Nilishamsahau na maisha yakasonga mbele,is he aiming to hurt me?

He is selfish... In his own way yawezekana yeye hakufikirii wewe bali anafikiria tu kua na wewe ili kujifurahisha nafsi, moyo na mwili wake. Na hio selfishness ya kuto kukufikiria ndio yatupa picha kua he wants you out of lust radher than Love. Maana angekua kweli akupenda kwa dhati angetambua kua he is hurting you kukufuta.... Hasa baada ya ku let go then anakurudisha step one. Tena atakua kisha kusoma kua u-mdhaifu juu yake na huna maamuzi ya msingi kuhusiana na maswala yamhusuyo.

Nimeshablock namba zake zote lakini anatumia namba tofautitofauti kunipigia. Hii hali naitatuaipi?

Yawekekana bado wampenda na huwezi mpa maneno makali.... Lakini katika hali ilipo na the way anakufanyia ilitakiwa akikupigia usizme simu wala nini mwambie maneno makali kama niko na Mpenzi wangu hapa (chagua mwanaume yeyote apose kama boyfriend na aongee nae kwenye simu); pia hata kumwambia pleas do not call me wanichefua ukifanya hivo... Ni maneno mazito na it is not tha simple... But sometimes it is for the best.... BEST of Luck ketty....
 
Kulimaliza shauri kiutu uzima kama hilo hua watu wazima twatumia formula too simpo! Usijibu chochote kama ni simu kakupigia usipokee, msg, email, fax usimjibu automat mwisho wa siku atakata tamaa
 
mwambie akukome...akiendelea mtafute wife wake mpe story kwanianjema tu atakusaidia!!kwani wewe huna mume?

mpe mume wako number yake aongee nae kama ujaolewa ata bf wako else kazi unayo atakufanya loose ball mda c mrefu
 
Inaonekana kama bado unampenda vle ....
Nafikiri unatakiwa kufanya maamuzi magumu, kuwa straight anapokupigia simu kuwa humtaki tena, vinginevyo nyie wadada mlivyo na huruma ataendelea kukusumbua na mwishowe atakuwa akikuchezea wakati yeye ana familia yake.
concentrate na mambo yako binafsi, na fikiria kuwa na mtu atakayefanya familia na wewe, umri unakwenda huo!
 
Msemee kwa mkewe.............

saa nyingine njia za kistaarabu zikishindwa hebu tumia njia za kiuni, akikupigia ukijua ni yeye usiikate simu iache hewani, iweke kwenye droo then endelea na kazi....

kama haifai ukishajua ni yeye anza kumporomoshea mvua ya matusi

maana sioni faida ya kuumia wakati yeye akirudi kwake ana mtu wa kumliwaza

au kama vipi tafuta jibaba kwa muda wa siku kama 3 hivi awe anapokea hiyo simu ......

ila the best solution ni kuzungumza na wakuu wako ofisini ukabadili namba ya simu, halafu utawaarifu wateja wako namba mpya veeeeery simple.

akizidisha kamripoti polisi kwa sexual harassment(ila hili sina uhakika nalo labda wanasheria watasaidia)
 
Mmmmmh, mbona kama na wewe una "roho ya sitaki nataka" vile!!!!

Huyo mwanaume hakupendi na ndio maana hakukuoa wewe ila anahamu ya kuendelea kungonoka/kuzini nawe. Inabidi uamue moja tu ya kuvunja mawasiliano nae milele. Namba ya simu waweza kubadili. Ongea na wakubwa zako wape hali halisi najua watakuelewa tu. Halafu wajulishe ndugu zako na marafiki zako ya kuwa umebadili namba yako ya simu.
 
From my perspective, you need to stay away from a married man, because he doesn't have any integrity and morals. He can't have his cake and eat it too, by allowing you to stay in his life when he is a married man.

You don't want to deal with the negative consequences if you continue to stick around with him, he's off limits. He wants to have sex with you may be because he sees you as a booty call.

Halafu kwa jinsi ulivyoandika it seems you still have feelings for him.
 
From my perspective, you need to stay away from a married man, because he doesn't have any integrity and morals. He can't have his cake and eat it too, by allowing you to stay in his life when he is a married man.

You don't want to deal with the negative consequences if you continue to stick around with him, he's off limits. He wants to have sex with you may be because he sees you as a booty call.



Halafu kwa jinsi ulivyoandika it seems you still have feelings for him.

what if she likes to be a booty call?
lol
 
Kama hutaki "KWELI" awe anakupigia ni kiasi cha kumweleza bila kumung'unya maneno. Kama unachekelea tegemea hiyo hali kuendelea mpaka mkewe atakapogundua na kuwapiga biti.
 
Back
Top Bottom