Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna wamama wengi tumekuwa kimya sana na wengi wamekuwa kimya sababu awataki kujua jukumu lao...baibo inasema wanawake watawalinda mumewe wewe kama mke umemlindaje mumeo??ujawahi kukesha hata...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Mi nahitaji mchumba kutoka Rwanda. Awe na sifa zifuatazo 1. Mcha Mungu 2. Anafahamu Kinyarwanda na lugha nyingine yoyote inaruhusiwa ingawa Kinyarwanda kitapewa kipaumbele. 3. Miaka 21-23...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Na Mwandishi wetu KATIKA gazeti la Uwazi, toleo la wiki iliyopita tulitoa habari za mtoto Mustafa Ally, 12, (pichani), mkazi wa Mtoni Mtongani, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
He's got his knickers in a twist: Brazilian councillor proposes law demanding brides wear underwear when they marry Some brides believe their marriages will last longer if they go knicker-less at...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nionavyo mimi ni busara tutumie jukwaa hili kuelimishana mambo ya msingi ya maisha badala ya mizahaa na mambo yasiyo ya kujengana,tuzungumze mambo ya kiroho na mwili pia ili mradi msomaji ajegwe...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu wa Jukwaa, Heri ya Mwaka Mpya 2012. Kuna Mwanaume ambaye ametokea kunipenda sana, nami nampenda sana ingawa hatujafikia hatua ya mahusiano ya kimwili. Napenda kumwita A. Kinachonitatiza...
0 Reactions
188 Replies
13K Views
  • Poll Poll
.jpg"]...nisaidieni mawazo wanandugu. Baina ya kipato na familia kwa mtazamo wako, kipi unakipa uzito mkubwa kuliko kingine?... ...kabla wenye muono 'tofauti' hamjanitoa jicho, kipato namaanisha...
6 Reactions
91 Replies
8K Views
Hivi kwa nini pete ya ndoa inavaliwa mkono wa kushoto, mkono wa kulia inakuwaje?
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani habari, Mie ni kijana mwenzenu nipo kwenye ndoa mwaka wa 2 sasa , lakini sometimes nashindwa kumuelewa wifi yenu/shemeji yenu sijui tatizo ni nini. Mimi nina bahati mbaya moja kwenye...
0 Reactions
179 Replies
12K Views
Dear ---, I can't find the words to describe how I feel about you that I have not already written. I have expressed my love for you and my desire for you and my burning passion...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau na anaendelea kukupenda!!! ... UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mpenzi wangu nampenda saana na tumedumu miaka miwili. Kasoro yake ni moja tu, mvivu sana wa kufikiria wala kujishughulisha kimaisha wala hana kabisa kufikiria mbele. Nimfanyeje abadilike kabla...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Hili neno au hii habari inasemwa sana mitaani, kwamba mwanaume atakaemvunja bikira mwanamke husika. Inasemwa mwanamke huyo hatomsahau milele! Na hata ipite miaka mingapi na yuko katika mahusiano...
0 Reactions
69 Replies
15K Views
HOW TO MAKE LOVE WITH A WOMAN ( KWA WALIO OA TUU) One of the biggest problems men face is knowing how to make love to a woman! Unfortunately what commonly happens is men get their sexual advice...
4 Reactions
54 Replies
6K Views
Wana JF, Heri ya mwaka mpya 2012. Wakristo wanaamini katika ndoa ya mke mmoja mme mmoja. Waislam wanaamini katika ndoa ya wake wengi yaani mme mmoja wake wengi (wasiozidi wanne), hizi zote ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Taarifa hii niliikuta inaishia lakini nilibahatika kupata kujua kilichotokea,ila sikujua eneo unyama huu,kuna mwanamke amemnyonga mwanae baada ya baba wa mtoto huyo kumkataa huyo mtoto kuwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mkasa huu ulinipata Mwaka 1999, nakumbuka nilikuwa katika kuhangaika kutafuta kibarua, nilijikuta nikiwa kwenye ofisi moja ya jamaa yake kaka. Nilifika hapo baada ya kaka yangu kuzungumza na huyo...
6 Reactions
84 Replies
15K Views
Je nikweli ukitoka nje ya ndoa yako basi nawewe ujue kuna wanaotoka na mkeo/mumeo??Kama nihivyo basi wanawake ndo wakulaumiwa kwa hili kwakuwa wao ndo wanaotengeneza huu mzunguko!!
0 Reactions
20 Replies
2K Views
1.) Fine : This is the word women use to end an argument when they are right and you need to shut up. 2.) Five Minutes : If she is getting dressed, this means a half an hour. Five minutes is...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wewe kaka Benard umeoa ila mkeo anasoma chuo kimoja mkoani. Nyumba unayoishi ni apartment ambayo upande wa pili unashea na dada mmoja ambaye kama bahati mnafanya kazi pamoja na hata wakati wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom