Wa kina Dada mkoje ?????????????????????????????

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Spendezwi na tabia ya kina dada zetu kila. wanapoona kamzimia mvulana na wanadet mkate wanakula. Lakini wakiona hakuna dalili za ndoa WANAJISHIKISHA MIMBA hivi nikwann. Hasa wanapoona kijana ana mwelekeo flani wa kimaisha (mzuri) Ni kwann hii hutokea?
 
Wapo wanaofanya hivyo..ni kwasababu walishindwa kusoma alama za nyakati hapo mwanzoni so anaamua kufanya hivyo kujijengea uaminifu kuwa ndoa itakuja tu baada ya kichanga hicho kuzaliwa,ila kuna wanaume makauzu...atamwambia tu black n white kuwa mtoto nitalea lakini kuoana hapana...

Kulazimisha ndoa kunazaa matatizo mengi ikiwemo kusalitiwa,kutelekezwa na kupigwa tu bila sababu za msingi na mengineyo...
 
Kuna wadada wengine wanaona umri umesogea sana..afanyeje? Analazimisha ndoa ili atlist aweke record kuwa aliwahi kuolewa..
 
Ndo zao bana,duuh,mimba atapata,utajulikana kwa ndugu jamaa na marafiki,halafu ukute wewe hata rafiki zako hawamjui.Bora umwambie mapema,siowi hivi karibuni,mpaka after some years.
 
Kama hutaki vyote hivyo.....hata mkate usile!! Btw, we unashindwa nini kuicover hiyo flash yako ili kuzuia virus??
 
Kuna wadada wengine wanaona umri umesogea sana..afanyeje? Analazimisha ndoa ili atlist aweke record kuwa aliwahi kuolewa..

Hii mbaya sana aisee!!! Ila kuna kitu najiuliza, je wanaume hawawezi kufanya kitu kuliepuka hilo hasa kama hawana mpango wa kumuoa mhusika??
 
Pole kwa waliokutwa na hayo japo ni kama huwa mnajitakia, we kama unajua huma mpango wa kuoana nae kwa nini unakubali mnakula mkate bila dawa?
 
abstain from sex ili kuepuka maumivu yasiyotarajiwa, simple and clear
 
We mwanaume gani usiyejua ukienda dry unatengeneza possibility za kuleta kiumbe? Hamna lolote, kama mnapenda mkate basi mjue unashibisha!
 
Huwa mnayataka wenyewe,unakuta mnamganda mtu miaka huku hakuna dalili ya ndoa,hapo hapo hamtumii condom,mnataka ukishamchakaza ndio utafute mke,alafu yy aende kwa nani,ndio maana wafanya hivyo!km hamtaki tumien kinga wakati wote!
 
Ndo muwe mnaelezana nia zenu tangu mwanzo ili kama haziendani kila mtu aondoke zake. Sio unajiweka mtegoni mwenyewe na kuanza kulalamika "ohh alijishikisha mimba" huku dada nae analalamika "kanipotezea muda". Kuwa muwazi kwa faida yako binafsi.
 
Binti anakuwa king'ang'anizi ile mbaya ndg zanguni. Na unamwambia kuwa hautegemei kuoa leo wala kesho. Anakujibu mi ntakusubiri mpaka ukiwa tayari. Akiona taaa nyekundu inawaka bac anakushawishi mara tarati mkate huo unaanzwa kumegwa kwa kuliwa. wakati huo zana hata unakumbuka si unajua tena ile kitu. nani asiyejua kati yetu. Au mnaongea ushabiki anayepinga abishe tuone kama hajawa JIWE LA CHUMVI
 
Izo ndio outcome za io kula kavu ndugu, wala hutakiwa kumlaumu huyo dada alipitiwa na utamu kama ww ulivyopitiwa. hudumia 2 mimba ndugu yangu. aftol itakuwa mlipangwa 2 uzae nae huyu. io ki2 imehapen 4 reason wala usijivue gamba.
 
Hlf ukianglia thread nyingi wanaobrowes guests ni wengi kuliko memba. Aiseee mjisajili jamani mawazo yenu yanatakiwa. Kama nilivyofanya mi mwenzenu jana. Nilikuwa kazi ni kupita tu.
 
Aahhh Obsesd ushanirushia mpira. Haya mambo ndiyo yaliyopo kwenye jamii kwa sasa so lazima tuyaweke tuyajadili kama vijana. Ok inaweza kuwa kwangu, kwako na kwa yule ila tuyafahamu kuwa ni matatizo na sio changamoto kama wanasiasa
 
Back
Top Bottom