Mwanamke mkatili mataani kwetu

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Inasikitisha,mke na mume walikua wanaishi maisha yao mazuri tu.Wiki mbili zilizoisha,mke alihamisha kila kitu kwenye nyumba waliyokua wanakaa.Ilimuuma sana mwanaume kufanyiwa kitendo kile.Akawa,anasafiri na pikipiki kila siku,saa 5 au 6 usiku kuelekea mjini moshi kwenye makazi yake mengine.Jana,sasa 6 amegongwa na gari akiwa anaelekea moshi akafa,swali lakujiuliza Je mke wake aliyemtoroka atakuja kwenye mazishi?au kuleta watoto wao!
 
RIP

Kuna mmoja sijui alisafiri, alivyorudi akakuta mlango umepigwa kufuli na ndani hamna kitu.
 
Hasa asiende msiban ye ndo alieua?, unajua waligombana nini? Kama mwanaume ndo alikua mkorof? Sasa ukatili wake nini.
 
Ukweli wa mambo anaujua mume na mke, isitoshe kufa nijambo jengine ingekua harusi sawa,kama anaouwezo wa kuja kwanini asije?...
 
RIP mume,
Wanajua wao yaliyojiri ila heri tu angeondoka yeye bila kuhamisha mizigo maana hilo litakua limemganda sasa lol!
Kitand usichokilala hujui kunguni wake
 
C kazi yetu kutoa hukumu otherwise tuwe tunajua yaliyotokea kati yao mpaka huyo mama kufungasha!tumwombee marehemu ili mungu ampumzishe kwa aman.
 
RIP mume,
Wanajua wao yaliyojiri ila heri tu angeondoka yeye bila kuhamisha mizigo maana hilo litakua limemganda sasa lol!
Kitand usichokilala hujui kunguni wake

Mambo ya MKE/MUME mikiyaelewa wala hupati shida kujadili. Mimi huwa napenda watu wakae hapo uwasikilize pamoja hii ya kusikia mmoja mmoja ni hatari sana. Lawama zinatuipiwa upande mmoja.

Alale pema peponi!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom