Hili tatizo haliishi

mmmh...Ushirikina mbele! Acha hizo mambo..rudi kwa mkeo.
 
Ndio shida za kuamini ujinga.
Ukifa ndio utapona.
OTIS
 
Hizo imani zako tuu chief, au unajipa excuse ya kugonga copy nje, tulia na shemeji, ukimwi upo...
 
Sina imani ya kishirikina na sijawahi kwenda kwa waganga ni issue inayonisumbua otherwise ningeenda kwa hao waganga may be wangenisaidia ni true story, nashangaa hata kuni accuse habari za waganga, kwa hiyo hili ni jukwaa la kusaidiana kiushauri au kushutumiana? Thanks kwa aliyesema niende church ni ushauri mzuri ila kum accuse mtu ni wa kishirikina wakati siyo hapo ndo sipo kabisa na sitakubali,
 
Hakuna lolote, unataka kuhalalisha vitendo vyako vichafu tu...:(

Kama unampenda mke wako, ungetafuta njia mbadala, mf. kwenda kuombewa kama kuna ushirikina wowote.
 
Imani za kihivyo shaul'lako ! Kuna siku mtaalam mganga muelekezi atajakwambia muache mkeo hapa alale kilingeni amuondoe mikosi ukamuacha, usiku mtaalam ang'ata!
 
Sina imani ya kishirikina na sijawahi kwenda kwa waganga ni issue inayonisumbua otherwise ningeenda kwa hao waganga may be wangenisaidia ni true story, nashangaa hata kuni accuse habari za waganga, kwa hiyo hili ni jukwaa la kusaidiana kiushauri au kushutumiana? Thanks kwa aliyesema niende church ni ushauri mzuri ila kum accuse mtu ni wa kishirikina wakati siyo hapo ndo sipo kabisa na sitakubali,

wewe una muda gani tangu uwe na mkeo?? Hio hali umeanza kuiona lini na ni mara ya ngapi?? Je ikitokea huyo kimada akaondoka kwa muda/akaugua, huwa unafanya nini??
 
Huenda mkeo ana spirital husband, hiyo yaweza kuwa njia ya kukukomoa! Muende wote kwa maombi na uache uzinzi! U all need derivalence!
 
Muambie mkeo alale na mtu mwingine halafu aangalie kama huyo mtu dealz zake zitakwama, then ndo tu-conclude. Otherwise, ungeenda muhimbili, unaweza kuwa na matatizo ya akili and u ar starting to see stuff!
 
Pole mkuu unalosema ni dhahiri lipo ni aina ya mikosi ambayo mkeo anayo, yapo mambo mengi yanayofanana na hilo mfano kuna watu wanaamini mazindiko kwenye nyumba. Zao na ivo mazindiko yale huwa kero na mwiba kwa wengine mfano wapangaji! Ninao mfano kuna mtu fulani ninayemfahamu alipanga nyumba moja hapo Morogoro kumbe ile nyumba imezindikwa hivyo akawa si mtu wa kufanikiwa ingawa kazi na kipato kwa ujumla viliruhusu kabisa mafanikio kwake ikiwa ni pamoja na uwezo wa kujenga, kumbe baadae nilikuja kusikia kuwa zindiko lile ni aina ya ushirikina ambao unampata mpangaji mlengwa ili kipato chake kigawiwe kwa mwenye nyumba bila mpangaji kufahamu kwa namna yoyote!
Kwa hiyo mazindiko kama hayo au yanayofanana na hayo yapo kabisa na huenda mchezo huo ukawa umefanywa na mmoja wa vimada wako kama wakala wa shetani kutaka kukugombanisha na mkeo kwa kumchukia kuwa anakuletea mikosi ya kutokupata 'deal' nk.

Ushauri
Mikosi na mikataba yote ya shetyani dawa yake pekee ni maombi na kumlilia Mungu juu ya mateso na adhabu ambayo shetani na wakala wake wanafanya.

Sikushauri kabisa kwenda kwa waganga maana hao ni mawakala pia wa shetani kinachofanyika hapo ni kupandikiza aina mpya ya mikosi ambayo itai-control mikosi ya awali kwa kuweka mikosi mipya ambayo utai-exprience baadae, mfano mikosi ya kukosa deal itazimwa na mikosi mipya ya ajali, magonjwa nk!

Kama kweli unampenda mkeo kwa dhati kutoka ndani kabisa ya moyo wako na kuamini kiapo ulichoaapa siku ile mbele ya umati wa watu basi mrudie mungu kwa kwenda kwenye maombi ambayo ndio njia pekee kabisa ya kuepukana na mikosi na mateso yote yanayoletwa na kusababishwa na shetani na mawakala wake wote!

Asante nakutakia Jumapili njema na Mungu akupe roho ya ujasiri kumfuata yeye!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom