Hivi hizi couple huwa zinaendelea kuwepo after college? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hizi couple huwa zinaendelea kuwepo after college?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Jan 7, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Heshima mbele wakuu!!jaman,kwa wale mliopitia vyuo vikuu naomba mnisaidie kwa hili,hvi hzi couple tunazoziona huku vyuon,huwa znaendelea kuwepo baada ya wahusika kugraduate au ni just mbwembwe tu na kurushana roho huku vyuoni?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kurushana Roho tu vyuoni,ikifika mwaka wa mwisho wanapigana chini,kunajamaa zangu wawili hapo wamepigwa chini na mademu zao na kuchukuliwa na watu wa nje
   
 3. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Asilimia kubwa huwa zinakuwa za kukatiana kiu tu! unajua maisha ya chuoni na mtaani(baada ya kuhitimu ) ni tofauti sana mnaweza kujengeana mbingu mkiwa chuoni baada ya kuhitimu ikalipuliwa na ukata/matarajio yasiyofikika mf. kuchukua muda mrefu bila ya kuwa na shughuli ya kukuingizia kipatato (wanaume), umbali baina yenu baada ya kuhitimu, si unaelewa inawezekana wapendanao hao wanaweza wakawa wanatoka mikoa tofauti nk.

  Ukijifanya unajua kupenda chuoni inaweza ikakutokea puani/kuvunjwa moyo, baadhi ya wanachuo wanakuwa na watu wao(walikotoka) siku ya siku unapigwa chini kwa kuwa ulikuwa kidumu 2!....ndoo imejaa tele!..
   
 4. herbsman

  herbsman Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kijana linapokuja suala la distance ndo huwa mwisho wa mapenzi.hakuna love distance .trust me and be patient u wlll see it cheeerz
   
 5. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mmmh..kuendelea kwake ni maajaliwa tu ya Mungu kwakweli...kila mtu anakutana na watu wapya after college life.
   
 6. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kiukweli ni couple chache zilizoendelea.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wengine hatujafika huko koleji
   
 8. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baada ya koleji kila mtu kimpango wake piga chini vuta kitu kitaani ulichocheza nacho foliti
   
 9. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Usanii mwingi
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​nyingi huwa ni kupotezeana muda tu
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  hata zle za primary bac.
   
 12. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sio kupotezeana muda mkuu, huwa ni vital sana kwa wakati huo!! distance after college life na ukweli kwamba kila mtu nanakutana na watu wapya ndo kinachoua
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Dah!kuna couple moja nadhan inasoma pande za CASS,yan daily nakutana nayo pale hall 7,wanaonekana wanapendana sana,sa cjui kama nao after college ndo watamwagana au vp?
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  sasa koleji unakuwa nao minimum 3
  uendelee na yupi sasa?
   
 15. L

  Luluka JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mi natofautiana na wachangiaji wengine kwasababu sio couple zote zinakufa after college,zingine zinaleta ndoa.la muhimu ni true love tu
   
 16. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  we umefika wapi?
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yani primary na mahusiano juu?
   
 18. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Kaka la muhimu ni kuomba mungu tu kama una mtu wako chuoni, maana huku kwenye business world ni noma hasa kama mwanaume utachelewa kupata shughuli ya kukuingizia kipato,

  Vile vile sometimes tunawalaumu wadada bure kwamba ni wasaliti but kiukweli kuna wanaume wadogo wanakila kitu na wanawaka kweli kweli kiasi kwamba hadi wavulana wenzake tunakubali huyu ni noma sasa ndo anakutana na kadem kako after college na wewe husomeki, dada akichungulia salary slip bahat mbaya anakuta 10 million net, na mtu yupo late 20 kwa nini askikudelete fasta,
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hizo ni kwa ajili ya assignment tu ndugu..
   
 20. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Lol! usinikumbushe na lunch utawaona hao caf 2 pamoja. si lolote nying huishia hapohapo. zinazowork out labda 5% cz weng wao wakitoka hapo kwishnei!
   
Loading...