My x is making me mad! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My x is making me mad!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by chriss brown, Jan 7, 2012.

 1. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niliachana na GF wangu tangu mwaka 2010.Jana katika pitapita zangu,nikaingie kwenye hotel flan kupata moja mbili,kuangaza kwa mbele zaid nikamuona nae kakaa na marafik zake wa kike wanakula na kunywa,nkaona si vyema kwenda kumsalimia,tukaongea sana,kama hatukuachana vile,she was ful of hapnes..najuta hata kwa nini tuliachana..Tatizo linalonitatiza,aliniambia ana mchumba mwingine,but whenever i find her anapokea calls zangu,sms anajibu vizuri tu,sometimes najifanyaga kama napotezea namtext hallow sweet,anajibu pia kimapenzi hivyo hivyo.Huwaga namuomba ushauri wa mambo mbalimbali,ananijibu,sometimes natoka nae out,just for a talk,anakuja..The problem is,tangu nikae nae au ni meet nae,simu yake haiiti wala kupigwa..nashangaa huyo mwanaume alieniambia anae ham kei?,sa nyingine mpaka najifanya kumbip kama nimekosea namba inaita tena kwa loud kabisa..Wakuu,i still love her,sijamtongoza tena,nishaurini nimfuate tena?,maana she has been so kind mpaka namshangaa,nikimuuliza how is your bf,anasema,yuko poa kabisa,is giving you hey!.She is stil beautiful,educated one,descent,but nipo mtegoni,sijui yupo na mtu kweli?need your advice please.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We nawe acha kusumbua watu.

  Jana ulianzisha thread kua una girlfriend ambae bado unampenda ila hataki kuwa na wewe. Jana hiyo hiyo mkarudiana. Jana hiyo hiyo umekutana na X wa tangu 2010 na leo hii simu zako hapokei na unamtaka.

  UNABOA SASA. . . . usipotezee watu wengine muda na thread zisizo na mwelekeo.
   
 3. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  It will never be like it was before...
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kaka ukitaka kujua uzuri wa mpenzi wako achana nae.kaka mtoto akinyea mkono haukatwi bali unaoshwa so rudi
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,838
  Likes Received: 2,000
  Trophy Points: 280
  hahaha rudi uone utakavyokula za uso...anakulia timing tu, ukijichanganya utabatizwa ule ushujaa wa Chifu Mkwawa. Soma alama za nyakati dogo, wacha mapenzi ya cheichei shangazi
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo unataka akufokee??
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kumbe unatuzingua tu
  OTIS
   
 8. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umetumwa ukoment we bibie,mbona umepandisha presha kama umeachwa!.soma pita,atakae comment mwingine.Usijifanye unafuatilia sana thread zangu.
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We ndio useme kama umetumwa kupost.
  Hamna anaeweza kunipangia nichangie au nisichangie, na ungetaka nisichangia ungeianzisha PM. Kuhusu kufuatilia hamna haja ya kufuatilia pumba, zikiwekwa kwenye maji zinaelea zenyewe.
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  haueleweki mkuu... kila kukicha unakuja na story mpya ya X wako..dahh..
  swali ni kwamba ni huyo huyo mmoja au una mia na nusu??
   
 11. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuliza munkari,nini kushoboka,kama yamemkuta ndugu yangu mpaka nijifanye third party?,2lizana mwanamke.
   
 12. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  poleni kwa yote yanayoendelea mm napita tu."never angy,never threat,reason with people"
   
 13. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  It might be you!
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  alaaaa.......kumbeeeee........
  mnatakaga muone tunalia tukiwaona......tujigaregare chini......
  au mnategemea mtuone tumechakaa kama tambara la deki.....

   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ntashobokaje na CRAP bana?
   
 16. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee binti,mambo ya uswaz,sifagilii sanaaa,unshansoma?nikitamka neno basi.Nenda outin na bf wako basi,naona una stres huku jf.stak ujinga.
   
 17. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeah,it mit b me,let me try,
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hutaki ujinga na wewe ni mjinga?
   
 19. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuteleza bana preta.
   
 20. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Kama unataka watu wasome bila ku-comment peleka gazetini kwenye barua za wasomaji> teh teh tehe
   
Loading...