Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.9K
Posts
231.4K
Threads
7.9K
Posts
231.4K
Huyu mdogo wake na hanei wangu, huwa anapenda kufuatilia issue zangu kila kukicha. Mara kwa mara ugomvi wetu na dada yake yeye ndio chanzo au kichocheo, kosa hanei wangu akiliona dogo akilijua...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Hazikunishangaza habari hizi angalau hawa jamaa wanasema yaliyokuwe ndani ya jamii zao Brits among the 'ugliest people in the world' Last updated at 5:04 PM on 11th November 2009...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ni wazo tu ndugu zanguni msinitafune Mara nyingi tunaambiwa uwezo wa kumdhibiti mwanamme uko mikononi mwa mwanamke mwenyewe kwa maana ya mahaba, vionjo na ubunifu wake hasa katika suala zima la...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
TO MY FRIENDS WHO ARE TO MY FRIENDS WHO ARE... SINGLE

: Love is like a butterfly...

The more you chase it, the more it eludes you

, But if you just let it...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ni mahusiano na urafiki wa familia zao ndio uliopelekea yeye na mwenzi wake kuwa wife & husband mwaka mmoja na nusu sasa Mwanaume alikuwa anasoma urusi -mwanamke akiwa TZ anafanya kazi...
0 Reactions
82 Replies
9K Views
Imefikia kipindi sasa wanaume tumekuwa hatuhitajiki na wanawake kama zamani. Sasa hivi wanawake wengi wanajifanyia mambo yao wenyewe kama kulipia karo/ada za watoto, wanajingea nyumba, wananunua...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Labda kwa wale wasiofahamu niwaambie tu kwamba dhana ya mapenzi ni dhana yenye wigo mpana sana na ndio maana hutasikia hata siku moja tumepumzika kulizungumzia. Hata hivyo, tunachofanya siku zote...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
CHECK THE VERSES BELOW AND SEE HOW SMALL MISTAKES COST IN YOUR MARRAIAGE LIFE. A baker was asked to print 1 John 4 verses 18 on a wedding cake. He forgot and printed John 4 verses 18. The 1...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
wana JF mi nina swali naomba mawazo yenu.Hivi kwa nini sisi wanaume hatupendani na kujaliana wenyewe kwa wenyewe? hivi punde nilichomoka ofisini na kwenda bank ya NMB kwenya ATM nikakutana na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Haya madudu wanayofanyiwa baadhia ya wanaume na akina mama yapo kwa kila kabila, utafiti umebaini kuwa ni moja ya taaluma ya Kibantu katika kuongeza au kuthibiti chachu ya mapenzi na ambayo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
http://www.dullonet.com/cloudsfm-11-11-2009.php Wadau hebu tusaidiane mawazo katika mkasa huu, haya mambo ndo yakoje,jaribu kubofya link hapo juu,kama huipati Mods tuasaidiane its important
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna swala linanitatiza kidogo naomba wenzangu mnipe maoni yenu. Mimi na wife tunaenjoy maisha yetu ya kuwa pamoja kwa kama miaka miwili sasa tukiwa huku mwisho wa reli, Kigoma na tumebahatika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
One Whipped Boyfriend
0 Reactions
3 Replies
6K Views
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kati ya wanaume na wanawake ni wapi wanaogopa Ukimwi sana kuliko mimba na ni wapi wanaogopa mimba sana kuliko Ukimwi? Hasa kwenye mahusiano ambayo bado hayajawa kwenye mfumo wa ndoa.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
mambo vip wana JF,hivi mmeshawahi kujiuliza kama kiungo mb.. cha mwanaume kingekuwa kama ufutio wa penseli je ni wangapi wangekuwa na vifutio mpaka sasa.nawakilsha na tujadili.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mambo vipi wana JF,hivi mmeshawahi kujiuliza kama kiungo cha mwanaume kingekuwa kama kifutio je ni wangapi wangekuwa na hivyo vifutio mpaka sasa toka wabarehe.nawakilisha kwa pamoja tujadili.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna aina tofauti! Aina za tendo la ndoa Kuna wakati wanandoa hujikuta wanahitaji kuwa na tendo la ndoa ambalo ni perfect, kama tetemeko la ardhi, kama fireworks na kufika kileleni kwa mpigo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari jamani...Nadhani hapa nitapata majibu mazuri na ya maana kuhusu hili swala.....Problem ni kwamba hapa nilipo nina demu wa kigambia ambaye nilikutana nae hapa ninapoishi,kukutana...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Stay married if you want kids By Leah Ward Sears, Special to CNN November 10, 2009 9:39 a.m. EST STORY HIGHLIGHTS Leah Ward Sears: Couples unwilling to make commitment to rewarding...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…