How small mistakes cost in marriage life | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How small mistakes cost in marriage life

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kisoda2, Nov 11, 2009.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  CHECK THE VERSES BELOW AND SEE HOW SMALL MISTAKES COST IN YOUR MARRAIAGE LIFE.

  A baker was asked to print 1 John 4 verses 18 on a wedding cake. He forgot and printed John 4 verses 18.
  The 1 John 4 verses 18 reads:
  "There is no fear in love; but perfect love cast out fear: because fear has torment. He that fears is not made perfect in love".

  John 4 verses 18 reads:
  "For you have had five husbands; and he whom you now have is not your husband: in that said thou truly".

  What would you do if you were the owner especially realizing the mistake on your wedding day?


   
 2. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Be blessed and remember small mistakes are not all that small.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  The best thing about it is that no one knew what it meant, coz people never read Bibles!...So every body left for home happy without any bit of grudge!...lol!
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Anything from the bible is good,
   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  No one will notice anyway so why bother? Just enjoy the celebtarions, eat the cake including the verses.
   
 6. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,798
  Likes Received: 2,470
  Trophy Points: 280
  yaani shost nimechaka mpaka basi ila siku akigundua hapatakalika!!!!kumbe
   
 7. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ni kweli ndugu,vitu ambavyo vinaonekana ni vidogo ndio huwa vinaharibu ndoa.Si vizuri kupuuzia vimakosa vidogo vinavyoonekana ni minor.Kwa mfano unaweza kuwa unatofautiana na mwenzi wako katika TV,yeye anapenda mieleka na wewe unapenda tamthilia.Inafika kipindi inabidi u-sacrifice japo utaumia kwa ajili ya kuepuka ugomvi.Kuna vitu vingine vingi watu wanaviona vidogo lakini mara nyingi ndio huzaa mambo makubwa.So be careful enyi wanandoa wote.
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  umenena ZD zamani mie nilikuwa nagombana sana na mwenzangu yaani yeye masaa mengi alikuwa anapenda Mipira ,Miziki ya Kina Tupac ,sijui Snoppy ukirudi kwenye mieleka utasikia ma Bukati ,undertaker yaani nilikuwa natamani kupasuka ikabidi aninunulie kideo chumbani ila baadae nikawaza hebu na mie nijaribu kupenda kile anachopenda mwenzangu ..now days hata kama hayupo lazima niwachi mieleka ,mipira ndo mpaka usiseme maisha yanaenda Ukija kwenye hizo snoppy angalau naweza kusikiliza na kuangalia video
   
 9. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Ulijuaje?? Mi imenikumba juzi wakati nataka kucheki mechi ya Liverpool na Blackburn ilikuwa tabu kwa kweli ilibidi ni-apply ubabe kidogo maana Ma-1st lady yeye mbovu sana wa hivi vi-tamthilia..!!! Mtu alilalamika mpaka basi na mzigo nikanyimwa usiku huo!!
   
 10. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  For the sake of harmony and in oder to accomodate ur selfishness ( wote wewe na FL wako mko selfish) invest in a second TV.
  Kuna couple moja, tena watu wazima sana walikuwa wanagombea vitu kama hivi, bwana anataka kusikiliza habari, mke anataka tamthilia ilibidi kuwashauri kununua TV ya pili na ugomvi kwisha!
   
 11. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Unajua vera,unaweza kukuta huo uwezo wa tv 2 kapo nyingi hawana,sasa nao wafanyaje?isitoshe hili la tofauti lipo hata kwenye vyakula.kwa mfano mimi sipendi makande sasa kama mwenzangu ndio ugonjwa wake ,dah inaweza kuwa ngumu kweli.
   
 12. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Hata mimi nilikuwa na wazo hilo maana mkuu mtu alivyosala sikuamini kuwa ni kwa ajili ya TV tu au alikuwa na mambo mengine!!!! - Kaushauri kazuri sana!!!
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hapa hapawajawahi zungumzwa lkn panaleta sana ugomvi hasa kukiwa na TV moja tu ya kuangalia. Kila mtu anapenda program zake, wanaume wengi tunapenda mpira, mieleka, sometimes kuna vipindi km fear factor etc, haha nakumbuka wife alipenda sana kuangalia TWAARAB mie mpira unanipita, nikapiga akili nikagundua udhaifu wake uko wapi, nikajidai naishobokea twaarab hasa mijimama yenye kuzungusha kiuno na ule mtindo wao wa kutikisa makalio, hohoo nikasifia kimtindo aaaaaaaaah kilichofuata hapo ni kuzimwa kabsa TV tehe, nikamwambia tuangalie tu mpira, basi toka siku hiyo hapendi tena kuangalia taarab nikiwepo
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  ZD,
  Unajua watu ambao ni maskini sana mara nyingi kugombea kama hivi inakuwa nadra.Wengi wenye hizi hulka za umimi ni wale ambao wameshafikia level fulani - siyo lazima wawe matajiri.Fikiria maskini wa kikweli achague chakula aseme ati hawezi kula makande au ugali! Maskini wa kweli atakachokuta kama rizki atakula na kushukuru tu.Akianza kuchagua ujue basi anaweza kumudu angalau kilo ya mchele!

  Back to the TV thing - ikiwa basi couple haina uwezo kununua TV ya pili, inawezekana kabisa kupeana zamu kama watoto wadogo lol! Leo zamu yangu kuchagua vipindi vyangu, kesho ya kwako.Ikiwa siku ya mwenzio kuna kipindi chako basi itabidi ku negotiate na kutoa trade-offs... inawezekana kabisa.
   
 15. Sydney

  Sydney Senior Member

  #15
  Nov 11, 2009
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama mtu hupendi kitu hata ukijilazimisha kwa kiwango gani, kuna wakati utaboreka kimoyo moyo tuu, na utajiuliza maswali bila majibu, mi nadhani cha muhimu ni kupeana muda tuu hata kama TV ni moja ndani ya nyumba, ni kujipanga tu this time nani anaangalia chake na nexttime mwingine anaendelea, kwa utaratibu huu nadhani mambo ndani ya nyumba yatakuwa swafii.. hata mikwaruzano midogo midogo haitakuwepo.
   
 16. m

  mtuporimtupori Member

  #16
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Du kumbe tuko wengi, na mimi yalinikuta last weekend wakati nataka kuangalia mechi ya Arsenal na Wolverhampton, mamsap aling'ang'ania kuangalia akina Zembwela. Ikabidi next day tununue tv nyingine.
   
 17. m

  mtuporimtupori Member

  #17
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  Kaka hii si mchezo, nimecheka mpaka basi!
   
 18. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  haaaa heeeeeeeeeeee
  wee mama mbavu zanguuuu kweekweekweeeeeeeee

  Duuuuuuhhhhh
   
 19. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  You made me laugh loudly in the office
   
Loading...