Wadau Hebu Tusaidiane Hii Ikoje,Mwanamme Anaweza Kuwa Hivi Kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau Hebu Tusaidiane Hii Ikoje,Mwanamme Anaweza Kuwa Hivi Kweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Junius, Nov 11, 2009.

 1. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Hapa kichwa kimeniuma kidogo sijuwi nani ni nani au huyu jamaa ndo anashughulikiwa na wenzake?
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Aisee ile ya terehe 05/11/2009 inasikitisha sana. Nategemea atakuwa ameshapata pesa za kutosha kurudi kwao Shinyanga. Misukuma/Minyamwezi akili zetu kwa kweli zinatisha wakati mwingine.

  Ya tarehe 03/11/2009 nasikia tena Ngosha anapiga wanawake. Wewe Ngosha utapigaje Mwanamke? Zinakutosha kweli wewe? Utampigaje mtu mzima? Kama kweli unafahamu kupigana, si nenda kwenye ulingo utapigana na ulipwe....... Sasa anataka hadi hela ya kusomesha English.
   
Loading...