Simpendi mno shemeji yangu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simpendi mno shemeji yangu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nduka, Nov 13, 2009.

 1. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Huyu mdogo wake na hanei wangu, huwa anapenda kufuatilia issue zangu kila kukicha. Mara kwa mara ugomvi wetu na dada yake yeye ndio chanzo au kichocheo, kosa hanei wangu akiliona dogo akilijua yeye litakuwa kubwa, ka kosa kidogo hata dada yake akisamehe yeye anaendelea kuninunia hadi nimuombe msamaha na yeye. Ningeweza kumpotezea lakini kwa bahati mbaya hanei kwao wamezaliwa wawili tu na huyo mdogo wake wanapenda sana. Njia zote za kumkwepa huwa zinaleta ugomvi kati yangu na dada yake. Kuna watu waliambia labda kwa kuwa hana relation ya maana ndio maana ana tym ya kutufuatilia sisi, wengine wakasema na yeye ananitaka hivyo kuondoa dhahma nimmege, kummega ni out of options maana nampenda sana dada yake akiniacha naweza data.Nimejitahidi kuficha chuki yangu lakini naona kama ninajiumiza tu, sasa sijui nimtafutie mpwa mmoja amuweke busy asitusmbue.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Nov 13, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Huyo anataka kumegwa, lakini usimmege bora mtafutie mtu wa kumuweka bize hatawasumbua.
   
 3. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  sasa Burn...kumbe ulikuwa wanirusha roho bureeeeee...sawa tu. back to business kwani lazima upende ukoo wote?? huna lazima ya kumuomba msamaha.
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ndiyo shem wako lkn, vumilia
   
 5. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ina maana na shemeji nae unaishi naye kwenu? Sasa hapo pagumu. Ndio maana wakasema 'kila munu ave na kwavo'. Huwezi kupata amani kama una wanawake wawili ndani kwako, na wote wanataka wawe kwenye level moja.

  Aondoke huyo shemejiyo, lau kama dadake hataki, basi umuulize kama anataka uwaoe wote!
   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  sasa yeye kinachomnunisha ni nini, mbona hayamuhusu hayo yenu? kwani na nyie ishu zenu ni mpaka na yeye azijue? kwani mnashindwa kuzimaliza wenyewe.......
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Acha kuyumbishwa 'kimapenzi', Jiwekee msimamo wako, uusimamie na wao wautambue na kuuheshimu. "samaki mkunje angali mbichi!"
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  halafu kakosewa mwingine aombwe msamaha mwingine, khaa ndoa hizi.....huyu bwana mie sioni hata sababu ya kumuendekeza, ugombane na dada yake anune yeye? eeh
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Shishi mimi ni muafrika asilia usijali kunanafasi za kupenda zaidi ya kingi muswati kwenye moyo wangu ila yako ni namba wani. Back to biziness kwa hao unaweza sema ni muhimu kuwa nao karibu wote kwakuwa wamezaliwa wawili tu, halafu dingi alitangulia mbele za haki wanaishi na mama yao tu, halafu wanapenda sana unaweza kudhani ni mapacha, nisipokuwa na amani na mdogo mtu hanei naye namuona hana raha kabisa, ndio maana nikimuuzi tu, hata tukiyamaliza ataniambia alimuhadithia mdogo wake kwa hiyo nimuombe msamaha pia.
   
 10. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  nakwambia tena ananuna hapatoshi kabisa hapakaliki...we Burn bwana! mmm kupenda gani huku !
   
 11. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mzee moskwito mimi ni mtu mwenye misimamo kuliko hittler, ila nimekuja gundua kwenye suala la mapenzi nikijifanya na misimamo namna hii naweza kupoteza tunda langu na maisha yangu yakawa mizarabo. mkuu umeshawahi kupenda wewe?
   
 12. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Lahaula!!!! sasa itakuwa mambo yenu yote anahadithiwa pia? mmmm mbona hapo pana tabu tu huoni wee hutokuwa na siri za kwako ni kila mnachofanya usipomridhisha kuleeee anakwenda kuhadithia pia uombe msamaha!!!! agggggggggggh jamani!

  noooo hapo sasa umeni let down kabisa....mmmmmm. hata mapacha wana siri zao sembuse wao ni dada tu! mbona una kazi nyingi tu!!! basi lazima hata mama mzazi ahadithiwe pia.
   
 13. GP

  GP JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hapo mkuu kuna namna!.
  huyo mai hanei wako lazima anamtumia huyo shemeji yako kukuspai na kukupima moyo wako kama ni wa kubabaikia mashori ama vp, stuka mkuu mtego huo!!.
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  duu...hiyo kali!....sasa nyie hamna cri zenu/mambo yenu binafc?...
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Biblia imeandikwa kuwa mwanaume atamwacha Baba yake na mama yake na ataambatana na mkewe(kwa maana kuwa wataacha familia zao).
  Sasa wewe Chagua moja kuilinda ndoa yako au kumuendekeza shemeji.By the way sijui anakaa kwako? kama ndivyo fukuza.Tumia hata wazazi kuwaelezea ukweli na uwe muwazi kuwa huipendi tabia hiyo.
  Mfivha maradhi kilio humuumbua,hivyo take care ,hali hiyo si nzuri kwa vile mkeo anapaswa kukupenda wewe kwanza na sie mdogo wake,na ndio maana alikubali mkataba wa kuja kwako.
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama naweza kumuhadithia yote maana na hanei wangu anamiakili sana, ila huwa anatabia kumuhadithia yale makaraha ya burn, mfano kuchelewa kurudi, au kumaliza mshahara tarehe 4 na vitu kama hivyo. Usibaki chini maidia maana hawa watu maisha yao yote wamekuwa pamoja sitegemei ani trust mimi zaidi ya mdogo wake, ninacho kasirika hiyo tabia ya huyo dogo kushika bango kabisa hata kama dada kalegeza kamba.
   
 17. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ahahahahah yaani kumbe hii ni my honey...lo! nilikuwa sijaelewa! mmmmmmnh! haya twende kazi!
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...doooh, hakuna exceptions ndugu yangu, msimamo ni msimamo tu popote pale. Una macho yako lakini kuangalia hutaki, yanini kujitia upofu? ...ukaribu wao "usikupofue!" hila unayotendewa.

  ...:) mkuu, nilishapenda na kutendwa ndio maana leo hii "...nikiona au kusikia unyasi nashtuka!"
   
 19. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa ya moto ni ..............=mmege
   
 20. GP

  GP JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  this will be a mistake of the year!, DONT EVER TRY.
   
Loading...