Ni wazo tu jamani..... msinijie juu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wazo tu jamani..... msinijie juu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Nov 9, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni wazo tu ndugu zanguni msinitafune

  Mara nyingi tunaambiwa uwezo wa kumdhibiti mwanamme uko mikononi mwa mwanamke mwenyewe kwa maana ya mahaba, vionjo na ubunifu wake hasa katika suala zima la malove dovey! Lakini pia ninaamini kuwa uwezo wa mwanamme kumdhibiti mwanamke wake uko mikonoi mwake yeye kwa maana ya mahaba na shughuli nzito ampayo mwandani wake!

  Sasa inapofikia mwanamme kutoka nje ya mahusiano -kuwa na nyumba ndogo huwa tunaanza kunyooshewa vidole wanawake kuwa tumeshindwa kuwadhibiti either kwa kuwa hatuwapi mapenzi ya kutosha so mnakwenda nje kuyatafuta!

  Swali je inapofikia mwanamke kutoka nje ya mahusiano/ kutokuwa na hamu na mwenzi wake/kuwa mchoyo wa penzi kwa maana ya kukutana kimwili na mwenzake e.t.c tuichukulie kuwa ni failure yenu kuturidhisha au? Maana si huwa mnasema mwanaume anao uwezo wa kukupa mambo kiasi kwamba wengine wote unawaona si mali kitu? au huwa ni majigambo tu?
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kutoka nje ni HULKA TU MTU!

  kuridhishana ni state of oneself mind.i mean kila kitu kinaanzia kwenye brain.ukiamua kuridhika unaridhika tu.ukiamua kuto ridhika ni the same case!
   
 3. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Na haya maamuzi yatakuwa yamechangiwa na nyie wote wawili,yani kwa makusudi mmeamua kuharibu mahusiano yenu.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,925
  Likes Received: 23,565
  Trophy Points: 280
  MJ1 are you planning to cheat? Naona kama unaanza kutafuta kakisingizio flani if you understand what I mean.
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante sasa kwa maana hiyo sababu ya kutoka nje kwa wanaume si mwanamke aliye naye ka ma inavyozoeleka kusemwa- ni uamuzi wake mwenyewe na hali ya kutoridhika ni maamuzi au?
   
 6. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kuna dada mmoja aliwahi kuniambia kuwa mwanaume kutoka nje kunategemeana sana na pesa. Mwanaume mwenye pesa (relatively) is likely to cheat kuliko yule ambaye ni choka mbaya!! Hii ni kwa sababu ili utoke na binti wa nje unahitaji vijisenti kwa ajiri ya kinywaji, kuku wa kuchoma, air time kwenye simu yako ili uwasiliane na mtoto, hela ya hotel (chumba) na kisenti kidogo cha 'rushwa' kwa mabinti wapenda pesa.
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  HApo ndipo ninapopataka mimi. Haya mambo ya eti bwana fulani kaamua kuwa na nyumba ndogo kwa vile mkewe hamridhishi mie siyaelewi. Ndo mana nikauliza hivyo kwa sababu kwa hali ya kawaida kama mwanamke anafikishwa kunako kwa maana ya kuwa mziki wa mwenzake unamdatisha si ina maana hatakuwa anawatamani mwengine? kwa hivo akitoka nje ina maana mumewe/bf wake ameshindwa kumdatisha vilivyo au siyo?
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  And why would you say that?....... ni wazo tu
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Sijui kama hili lina ukwlei kiasi gani? .Ila ninachojua kama mwanaume ni masikini anaenda kwa masikini mwenzie na tajiri hivyohivyo,at the end of day wote wame-cheat.siku hizi watu wanafanya zinaa hata kwa 500/= au bure kabisaaa.Na wanawake wanajirahisi sana.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,925
  Likes Received: 23,565
  Trophy Points: 280
  Thanks Lord. No comment!
   
 11. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  We nigaz wives wetu wakitoka nje basi ujue hata huko anakoenda ni tamaa tu sio kwamba hatuwarithishi.... we what we do and we do what we like....
   
 12. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2009
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  mwanamme mwenye nyumba ndogo na mwanamke mwenye nyumba ndogo wote wanasukumwa na mawazo mamoja! japo kuwa jamii yetu inamhukumu vibaya mwanamke kuliko mwanamme kwenye suala hili!

  naweza sema kwa mwanamke kuwa na nyumba ndogo labda kuna athari kubwa zaidi kwa kuwa kunaweza kupelekea mtu kubambikiziwa mtoto.

  but apart from that wote kundi moja.............na wote huamua tu bila ya kuwa na sababu za msingi
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  MJ1 ukweli ni kwamba case zote hazifanani,kuna makundi ya watu tofauti.
  1.kuna watu wanatoka nje kwa sababu hawaridhishwi kwenye tendo
  2.wengine waume zao wapo busy(ukiangalia tamthilia ya Desperate housewives kuna dada alijitafitia kiserengeti kwa vile mumewe alikuwa busy sana)
  3.wengine wanalipiza kisasi kwa vile amemfumania mumewe
  4.Wengine wameshawishiwa/wamdanganywa na marafiki
  5.na wengine ni tamaa ya pesa
  6.na wengine ni tabia zao mbaya tu(hulka)

  Labda ifanyike research fulani kujua takwimu za hali hii ilikubaini matatizo ya kina mama kutoka nje ya ndoa.
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwa maana hiyo basi tuache hasa sie wanawake kuchukiana utakuta mtu kamchukua mume wa mwenzie anamponda mtaani kuwa yeye kashundwa kumenzi mie ndo nimemchukua kumbe inawezekana ni hulka yake tu.

  Halafu na nyie kina baba mnaocheat muache tabia ya kuwasimulia vimada wenu mambo ya wake zenu utasikia mara oh hanitengei chakula mara oh ni mvivu hakizungushi kama wewe n.k matokeo yake yule hakawii kuyatumia maneno yako kama fimbo ya kumuattack mkeo!
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hapa tupo pamoja!
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  xpin swali lako la kizushi mwenzio umenivunja mbavu hapa
   
 17. N

  Nwaigwe JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 779
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 80
  Mfululizo wa hizi threads zako ni kama zina maudhui mamoja MJ..nionavyo mimi majibu mengi yalishatolewa kwenye nyingi ya thread zako za mahusiano, just a matter of reviewing. good luck
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  wanaume kweli kama mnafanya hivyo na kama mmeamua kucheat mambo kati yako na mkeo yabaki ndani si vyema kusema siri za mkeo kwa mwanamke mwenzie haya sio maadili hata kidogo
   
 19. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Lakini katika hayo yoote mwisho wake hakuna sababu inayohalalisha kutoka nje.Yote ni dhambi tu.Na kama Geoff alivosema ni maamuzi ya mtu mwenyewe,kwani kila jambo lina solution.Na hakuna cha kusema eti shetani alinidanganya.ni wewe mwenyewe umeamua kufanya dhambi.
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  naam,
  umenena dada-ake-mimi.
  unatumia bia gani wewe?:D
   
Loading...