ushauri wapendwa si mimi ni ...

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,373
ni mahusiano na urafiki wa familia zao ndio uliopelekea yeye na mwenzi wake kuwa wife & husband mwaka mmoja na nusu sasa

Mwanaume alikuwa anasoma urusi -mwanamke akiwa TZ anafanya kazi kutokana na ukaribu wa familia zao na maelewano ..ndipo wakaamua wafanye muunganiko kati ya sistery and brother
mahusiano ya muda mfupi yakafanyika na ndoa takatifu ikafungwa
Sasa ndani ya nyumba mme hashikiki ni mlevi kupindukia anarudi usiku wa manane akirudi home bibie hapewi haki yake na akipewa ni kwa ugomvi na masimango
eti we Q sio choise yangu ni family ndo zilituunganisha imekuwa kama wimbo wa Taifa
Q anauliza je aondoke katika hii ndoa ya masimango au afanye nini
 
Ukipata mwanaume alikwenda soma Urusi lzm uvumilie Pombe, wanakuwa walevi kupindukia. Mpe pole huyo dada si aliapa kwenye shida na raha so shida ya kwanza ndo hiyoooo amwombe mola wake.
 
ni mahusiano na urafiki wa familia zao ndio uliopelekea yeye na mwenzi wake kuwa wife & husband mwaka mmoja na nusu sasa

Mwanaume alikuwa anasoma urusi -mwanamke akiwa TZ anafanya kazi kutokana na ukaribu wa familia zao na maelewano ..ndipo wakaamua wafanye muunganiko kati ya sistery and brother
mahusiano ya muda mfupi yakafanyika na ndoa takatifu ikafungwa
Sasa ndani ya nyumba mme hashikiki ni mlevi kupindukia anarudi usiku wa manane akirudi home bibie hapewi haki yake na akipewa ni kwa ugomvi na masimango
eti we Q sio choise yangu ni family ndo zilituunganisha imekuwa kama wimbo wa Taifa
Q anauliza je aondoke katika hii ndoa ya masimango au afanye nini

Huyo aliyesoma urusi ni vigumu sana kmbadili! Warusi wanakunywa pombe sana! Ingekuwa hawajaoana angeachana nae sasa hakumsoma hiyo tabia mpaka wakafunga ndoa?
 
Urusi balaa! kuna jamaa anakunywa safari kumi kwa saa moja na nusu......yani anakunywa kama maji vile.

Seriously, pole zake lakini wanahitaji kuongea. sisi tutamdanganya tu hapa
 
Nilihisi ni wewe maana una mawazo sana!

umejuaje masanilo kama mie siko happy niko full shangwe ni huyu mwanamama mwenzangu aliyeingia kwenye ndoa kichwa kichwa
sasa sijui mwanaume alidhani atamkuta kama asali au alitegemea nini?
 
Huyo aliyesoma urusi ni vigumu sana kmbadili! Warusi wanakunywa pombe sana! Ingekuwa hawajaoana angeachana nae sasa hakumsoma hiyo tabia mpaka wakafunga ndoa?

MIE NADHANI KUNGEKUWA NA SHERIA KAMA NDOA IMEKUSHINDA KAMA HII UNAKATA KONA
NDO MWANZO WA KUPATA bp,shell,caltex na ma EPA juu
 
Ni kiasi cha kwenda na kuwaeleza wazazi juu ya tabu hii then wataamua! Unajua ni rahisi kuambiwa amvumilie mlevi kuliko yule aliyetamka kabisa kuwa si choice yake. Otherwise Yeye ndie mvaa kiatu so anajua wapi kinambana zaidi so blahblah za vumilia azipime kwanza na situation yenyewe!!
 
Hapa MJ1 wazazi hawana nafasi kwa hali ilivyo sababu hata chanzo cha kufika hapo ni mahusiano ya hao wazazi.Huyu dada hapo ni yeye mwenyewe kusuka au kunyoa kwa vile huyu bwana hana upendo.eidha aondoke aendelee na misha yake au avumie yote na kutafuta mbinu pengine atakuja kubadilika badae.Hapa hata tukimshauri vipi at the end of the day yeye ndio mwenye hatima ya ndoa yake.
 
Ni kweli wazazi ndio chanzo but suidhani kama walitegemea haya so hata asipowashirikisha wote basi aanze na mamake mzazi!
 
May be,wazee nao huwa wanakuwa na busara zao.
By the way ,kwa uzoefu wako niambie hakuna mbinu ya kumwachisha mtu pombe? kwa sababu mimi nahisi huyu baba pombe ndiyo inamfanya akose hata haya ya kumweleza mkewe si choice yake,angekuwa hanyi angekuwa na akili ya ziada ya kutengeneza mambo,mara nyingi huwa tunasema humu kuwa mambo mengi kwenye ndoa huwa yanaanzia kichani.Mimi naamini upendo huwa unakua,unakufa,unapungua na kuongezeka.inategemea umechezaje mchezo.Ingekuwa si cha pombe mbona wangependana tu!
 
FL1 ukienda kusoma urusi utakuwa unapiga mswaki na Vodka. Huyo alieolewa na huyo jamaa wa urusi hapo ni bora afungashe maana hataweza kuwa mtumwa wa ndoa. sometimes you need to set your love free rather kuteseka kwenye ndoa kama hizo. Achane na huyo fisadi kwenye ndoa huo ndo ushauri wangu. Mi nilishamshuhudia engineer mmoja huku arusha yaani ni mlevi hata sokomoko ni cha mtoto kazi kujisifu tu nimesoma kwa Vladmir vodka
 
Mara nyingi ili mtu aache pombe lazima imuadhiri na kumuabisha, kuna jamaa angu alikunywa akalewa kupindukia huko zanzibar vijana wa kihuni wakamvunjia mayai mat***ni kuanzia siku hiyo bia anaziona kituo cha polisi. Alisha acha siku hizi anakunywa fanta orange
 
May be,wazee nao huwa wanakuwa na busara zao.
By the way ,kwa uzoefu wako niambie hakuna mbinu ya kumwachisha mtu pombe? kwa sababu mimi nahisi huyu baba pombe ndiyo inamfanya akose hata haya ya kumweleza mkewe si choice yake,angekuwa hanyi angekuwa na akili ya ziada ya kutengeneza mambo,mara nyingi huwa tunasema humu kuwa mambo mengi kwenye ndoa huwa yanaanzia kichani.Mimi naamini upendo huwa unakua,unakufa,unapungua na kuongezeka.inategemea umechezaje mchezo.Ingekuwa si cha pombe mbona wangependana tu!

Darling siku zote mlevi anayerudia the same kashfa huwa anasema lililo moyoni mwake so si pombe.

Ajikite kwenye maombi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom