NGULI JF-Expert Member Mar 31, 2008 4,803 637 Nov 11, 2009 #3 George_Porjie said: duh, yani hapo kuzimu bila tiketi! Click to expand... Si kweli Atakaye kufa hapo ni nani?
George_Porjie said: duh, yani hapo kuzimu bila tiketi! Click to expand... Si kweli Atakaye kufa hapo ni nani?
GP JF-Expert Member Feb 5, 2009 2,049 160 Nov 11, 2009 #4 Nguli said: Si kweli Atakaye kufa hapo ni nani? Click to expand... yule anayenyosha mkono kuomba dryer 'bastola', which means akiishika vibaya lazima itamlipua kichwani.
Nguli said: Si kweli Atakaye kufa hapo ni nani? Click to expand... yule anayenyosha mkono kuomba dryer 'bastola', which means akiishika vibaya lazima itamlipua kichwani.
NGULI JF-Expert Member Mar 31, 2008 4,803 637 Nov 11, 2009 #5 George_Porjie said: yule anayenyosha mkono kuomba dryer 'bastola', which means akiishika vibaya lazima itamlipua kichwani. Click to expand... Anayetoa bastola kuna % kubwa atakufa, mpokeaji akikosea akapul driga kimakosa mtoaji ataanza kufa.
George_Porjie said: yule anayenyosha mkono kuomba dryer 'bastola', which means akiishika vibaya lazima itamlipua kichwani. Click to expand... Anayetoa bastola kuna % kubwa atakufa, mpokeaji akikosea akapul driga kimakosa mtoaji ataanza kufa.
GP JF-Expert Member Feb 5, 2009 2,049 160 Nov 11, 2009 #6 Nguli said: Anayetoa bastola kuna % kubwa atakufa, mpokeaji akikosea akapul driga kimakosa mtoaji ataanza kufa. Click to expand... No, MPWA UNAIJUA DRYER?, ile hua inakua inaelekezwa kichwani kwa mtumiaji. anyway labda macho yango hayajakaa fresh, wacha nikachukue mawani
Nguli said: Anayetoa bastola kuna % kubwa atakufa, mpokeaji akikosea akapul driga kimakosa mtoaji ataanza kufa. Click to expand... No, MPWA UNAIJUA DRYER?, ile hua inakua inaelekezwa kichwani kwa mtumiaji. anyway labda macho yango hayajakaa fresh, wacha nikachukue mawani