it is not fair. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

it is not fair.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sika, Nov 11, 2009.

 1. sika

  sika Member

  #1
  Nov 11, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana JF mi nina swali naomba mawazo yenu.Hivi kwa nini sisi wanaume hatupendani na kujaliana wenyewe kwa wenyewe? hivi punde nilichomoka ofisini na kwenda bank ya NMB kwenya ATM nikakutana na bonge la foleni kama mbagala,niaamua kuingia ndani ili nisaidiwe kule ndani nikamfuata kijana mmoja wa lika langu ili anisaidie aka nitosa, nikarudi kwenye que yangu na baada ya muda akaja dada mmoja hivi masharaa akaona foleni ndefu akaamua kwenda ndani kutest zali mungu mkubwa akaenda kwa jamaa aliyenitosa mm na kusaidiwa na yuleyule mshikaji aliyenitosa mm,sasa wandungu tuasaidiane hiv kwa nini sisi wanaume hatujaliani wenyewe.
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hahhaaaaa,mie nilidhani ni wanawake tu,kumbe hata wanaume hawapendani.
  lakini wanasema like poles repel & unlike poles attract each other
   
 3. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Critically looking, this will not explain! we are not poles but human Beings. Binadamu siku zote, Tunapenda kutoa ''msaada'' kwa kutarajia malipo baadae. do you agree with me?
   
 4. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  HEheheeee
  Hapa ninapoishi wanaume ni wambeya kuliko wanawake
  ukitaka jambo lako lisambae haraka we mweleze mwanume utashangaa ukifika mtaa wa pili limefika
  ndugu halo halo pole limekukuta
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  na wewe brother next time ukienda nenda kwa mwanamke ukaombe akusaidie utasaidiwa bila matatizo yoyote
  pole sana + -
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu, kwanza usilaumu kwmb hukusaidiwa, inawezekana jamaa aliangalia uzito wa suala lako akaona ni mdogo, mwenzio kaeleza shida nzito akasaidiwa, hata hv ni kweli like poles haziwezi kuvutana hata siku moja! pamoja na hayo si vizuri mwanaume kutegemea sana misaada, fuata taratibu timiza shida yako, ndy maana ukakuta foleni nje, waliopanga ni binadamu kama ww wana haraka pia, SIPENDI SANA WATU WANAOPENDA SHORTCUTS!!!!!!!!!!!!! I HATE THIS.....!!!! kama uliona huyo cc alikunyima haki yako....akampa mweingine, ungeenda kwa bosi wake direct ukamueleza!
   
 7. Q

  Quiet Member

  #7
  Nov 11, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hayo ni maradhi fulani ambayo wanakuwa nayo wengi wa wanaume. wakikutana na wanawake na kulegezewa sauti basi utawakuta wanasahau majukumu yao na uadilifu wa kikazi. ulipaswa kumfuata na kumueleza kwamba alivyofanya sio vizuri.

  quiet
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...aaah, utawaweza Bankers bana, wao kila kitu wamo kwenye uwekezaji waje wavune interests!
   
 9. sika

  sika Member

  #9
  Nov 12, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  nakubaliana n wewe vivian. dah nilikasilika sana hadi nikaghaili zoezi hilo.
   
 10. sika

  sika Member

  #10
  Nov 12, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa mkuu nimekusoma,ila nilikuwa natakiwa nirudi kazini faster ndo maana nikaona nitest shortcut mzee,ila sio mbaya next time nitafuata utaratibu.
   
Loading...