je ingekuaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je ingekuaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sika, Nov 11, 2009.

 1. sika

  sika Member

  #1
  Nov 11, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mambo vip wana JF,hivi mmeshawahi kujiuliza kama kiungo mb.. cha mwanaume kingekuwa kama ufutio wa penseli je ni wangapi wangekuwa na vifutio mpaka sasa.nawakilsha na tujadili.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mmmh no comment
  FL1
   
 3. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kuna haja ya kufanya mchujo humu
   
 4. sika

  sika Member

  #4
  Nov 11, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  wa kwanza kuchujwa uwe wewe au unasemje mnyamwanga wewe.
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Hujafanya busara kumtusi SINKALA,
   
 6. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  FL1 toa maoni yako usiseme no comment
   
 7. sika

  sika Member

  #7
  Nov 11, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee sijamtusi sinkala kuna kabila moja linaitwa wanyamwanga ni wenyeji wa mkoa wa mbeya na sinkala ni mmoja wao,sinkaLA TAFADHALI naoomba uwaambie wana JF kwamba sijakutusi.
   
Loading...