Kuna aina tofauti!ya "TUNDA" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna aina tofauti!ya "TUNDA"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 10, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,449
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Kuna aina tofauti!  [​IMG]Aina za tendo la ndoa
  Kuna wakati wanandoa hujikuta wanahitaji kuwa na tendo la ndoa ambalo ni perfect, kama tetemeko la ardhi, kama fireworks na kufika kileleni kwa mpigo na raha ya ajabu.

  Hata hivyo hii haina maana kwamba kila mtakapoamua kupeana mwili kati ya mume na mke wako mara zote mtajisikia hivyo na wala haina shida kwani jambo la msingi ninyi wawili ni kuhakikisha mpo connected kupitia sex.

  Kuna wakati itakuwa just functional sex, huna mood ila mume wako au mke wako anataka, unampa.
  Kuna wakati maisha yanaweza kuwapa wakati mgumu, mkawa na wakati mrefu wa kuomboleza na mnaweza kupeana faraja (comfort sex) na mkapeana faraja kwa zawadi ya tendo la ndoa na kila mmoja kujisikiaraha ajabu na zaidi kuwa na mtu muhimu kama wewe.

  Utakuwa umepiga hatua kubwa sana au umefanikiwa sana katika ndoa kama utafahamu kuwa kuna aina mbalimbali za sex na wakati mwingine haitajalisha kama utafika kileleni au la kwani lengo ni kuhakikisha mke wako au mume wako yupo connected katika feelings zake na wewe.

  Ubarikiwe na Bwana!
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  mhhh! kumbe! Elimu huwa haina mwisho.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,449
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Haswaaaaaaaaa hasa ukiwakuta wanawake waliofundwa vilivyo we....wanasoma nyakati tu..yaani wanaupa kutokana na mwelekeo leo amekasirika unashngaa kawahi kbla ya muda wake wa kawaida
   
 4. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Thanks mkubwa!
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ama kwa hakika huu ni ujumbe uliotimia. Yaani ukiangalia, hakuna sababu yeyote ya kutembea nje ya ndoa bana,

  ...si kila wakati ni krismasi!!!
   
 6. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Well said mkuu.Kuna jamaa yangu alienda kwa mwalimu wake kumpa taarifa kwamba anaoa.Moja ya vitu alivyoambiwa na huyo mwalimu ni hili kuwa tendo la ndoa laweza kutuliza hali ya mambo ndani ya nyumba.Na hili lina effect sana kama wife atakuwa analijua kwani wanaume wengi maisha uwa yanatuchanganya sana,sasa akifika nyumba ukamuwashia video atazame na ukawa unabadilisha chanel kama vile umeweka dstv,atatuliza akili na kuanza kufikiri upya.
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  yaani ilivyowekwa heading ya Tunda na picha ya matunda kimtizamo nikaanza kuwaza labda hayo matunda yanaongeza hamu ya perfomance kuna 6 by 6 by

  asante Pdidy
   
 8. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Na iwapo haupo ndani ya ndoa?
   
Loading...