Umewahi kukumbwa na mikasa yoyote ndani ya mahusiano...

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
img_2391.jpg
 
Pole mummy, lakini mbona matapeli wengi tu,tuwe makini na haya mambo, kuna rafiki yangu alitambulishwa kabisa kwa wazazi wa mwanaume sijui kilitokea nini jamaa alisepa, hakuna kilichoendelea tena.
 
Si Vibaya tukashea exprience Nikianza na mie mwenyewe FL1 msiniulize ilikuwaje ?
It was sad And bad times to me Ni pale nilipovishwa engagement ring na jamaa kumbe alishaoa long time ago na ana watoto
img_2391.jpg

eeh!
 
Geoff nimecheka mpaka machozi yamenitoka mbona umeshangaa ??
haya mambo yapo hasa nyie mnaoacha wake zenu migombani ama vijijini hahahah
...something i didn't expect!lol.
sina comments bwana
 
pale bfrnd aliponiacha bila mie kujua sababu, yaani cjui kisa/sababu hadi leo! halafu jana nimekutana nalo supermarket.........
 
Mi nilipo kubaliana na mwenzangu kuwa tutaoana nimekusanya wazee mjomba tukaonekane kwao mchumba wangu akanitosa mbele ya wazazi wake nikagaili kuoa sasa nataka nijaribu 2012
 
mi mam sapu alikuwa ananiambia ohoo nakupenda hakuna mfano! nikaenda mahali kikazi mwezi mmoja tu kurudi ni 'mjamzito', kuuliza nani anayewajibika na ujauzito huo nikapewa jibu 'asiye kuwepo na lake halipo'
 
Mi nilipo kubaliana na mwenzangu kuwa tutaoana nimekusanya wazee mjomba tukaonekane kwao mchumba wangu akanitosa mbele ya wazazi wake nikagaili kuoa sasa nataka nijaribu 2012
..........KHA!
jamani jamani.
yaani hivi hivi KAKUTOSA?!
 
Mi nilipo kubaliana na mwenzangu kuwa tutaoana nimekusanya wazee mjomba tukaonekane kwao mchumba wangu akanitosa mbele ya wazazi wake nikagaili kuoa sasa nataka nijaribu 2012

hahahahah hehehe binamu yake Xpin pole na maswahiba kwa hiyo unaona wanawake wote ni taperi??
 
ndio baby, kuna cku alinitafuta eti tuweke mambo sawa anajutia kosa na aniambie ni kwanini ilitokea vile, nikamwambia umechelewa sana...kweli cjui tatizo mpaka leo.

vipi,
kitandani ulikuwa vizuri baibe?!?!
 
Wanaume hawa jamani yaani nyie acheni tu. Nilikuwa na ex bf wangu tulipendana kweli, ikafika kipindi nikaenda kusoma nje ya nchi. Mara ya kwanza mawasiliano yalikuwa mazuri baada ya muda mwenzangu akaaza lawama, mara oh we umeenda huko najua utanipiga kibuti tu. Usipotuma sms siku moja mwenzangu anapata sababu, ohh hujatuma sms ushaamua kuniacha.

Ikafika kipindi akaacha kabisa mawasiliano, na mie nikaona isiwe shida nami nikachuna.
Mungu jalia nikamaliza masomo na kurudi home, baada ya kurudi tukaonana na kipindi hicho kumbe tayari alikuwa kaoa.

Tulivyoonana tu, mara tena akaanza kuleta za kuleta. Ohh unajua nisamehe mie bado nakupenda, naomba turudiane. Mie nikamwambia mbona umeoa? Akajibu nilioa kwa kuwa rafiki na ndugu walisema kwamba mwanamke akitoka nje ya nchi sio wa kumsubiria, eti anaweza kusubiri halafu mie nikamtosa. Nikamwambia usicheze na ndoa ilimradi ulioa we endelea na ndoa yako na tubaki marafiki tu.
 
lol!pole sana mama pretty,
wa kwako umenigusa zaidi na zaidi!sasa vipi,hukufukiria KU-REINSTATE RELATION?
 
geoff hebu acha kushangaa hebu tupe mkasa wowote hata kama uliwahi kumpa mimba denti ukamtosa thema tu ;)
Mh!wewe dada yani acha tu!kwenye malavidavi kuna MICHARUKO!mimi niliwahi kumpenda binti mmoja KI-MCHARUKO!hivi unajua kupenda ki-mcharuko?
gharama zake ni kubwa sana mazee!
 
hahahahah hehehe binamu yake Xpin pole na maswahiba kwa hiyo unaona wanawake wote ni taperi??

Yeah hamuaminiki tena ni mlokole pure kila mtu alikuwa anajua na mega pale siku ya kiama nihalalishe mambo nikatoswa hivi hivi tukarudi na bahasha zetu. Dawa sasa hivi nikumega tu mpaka kitumbo kijae
 
Mh!wewe dada yani acha tu!kwenye malavidavi kuna MICHARUKO!mimi niliwahi kumpenda binti mmoja KI-MCHARUKO!hivi unajua kupenda ki-mcharuko?
gharama zake ni kubwa sana mazee!

leo unachekesha jukwaaa hahaha
ila kupenda kimcharuko sijui mwenzio
 
Back
Top Bottom