Hivi hii ni kwlei? mnaionaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hii ni kwlei? mnaionaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jeff, Nov 13, 2009.

 1. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  "MEN FALL IN LOVE THROUGH SEX BUT WOMEN FALL IN SEX THROUGH LOVE"
  Nimefikiria nimeona nililete kwenu wadau mnipe mawazo,hivi mnalionaje hili? ni kweli huwa tunafall in love after having sex? au huwa tunafall kwa binti baada ya kumuona tu na ndio mana unamfuatilia ili uwe nawe,sex comes after kumpata au?
  Hasa we Nyamayao ebu tuelezee unamaanisha nilivyoelewa?
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Signature ya nyamayao nafikiri ataielezea vizuri
   
 3. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  haya na tumsubiri nyamayao atuambie,na wengine semeni muonavyo
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,679
  Trophy Points: 280
  Nyamayaoooooooooo! Signature yako hii! Fafanua!
   
 5. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mimi nadhani maana yake ni kuwa wanaume mara nyingi wanakuwa hawana upendo wa dhati wa kutoka moyoni mpaka kwanza avutiwe na tendo la ndoa.Mara nyingi wanaongozwa na tamaa na sio upendo.
  Wanawake ni tofauti anampenda mtu bila kuwega vigezo vya kufurahishwa na tendo la ndoa.Lakini ule upendo wake wa dhati unamfanya wakati mwingine afanye sex na mafisadi wa mapenzi na hatimaye anaumizwa.
  Kumbukeni kuwa mapenzi is not all about sex.
  hayo ni mawazo yangu tumsubiri Nyamayao
   
 6. GP

  GP JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mi labda nikianza, kwa eksipiriensi niliyonayo, wanawake wanaweza kumpenda mtu bila kujali uzuri au ubaya wa sura au chochote kile, wapo wanawake classic lakini ukionyeshwa mpenzi wake wa kiume unaweza ukadhani ni utani, wanamapenzi ya ukweli balaa. mfano mdogo demu akimtosa mshkaji ni AGHALABU SANA kukumbushia enzi, yani huwa wanaheshimu sana mahusiano. but kwa wapwa kidogo ni ngumu, ukimtosa demu then baada ya mwaka ukimuona anapendeza lazima ujaribu kuchombeza tena!!.

  ukija kwetu mabinamu, sometime unaweza kumuona demu mzuri sana, figa namba nane, lakini baada ya kummega ukaona chini maji mengi, au kitu sio tight basi hapo penzi hupungua kabisaaa!, yani kwa ufupi baada ya kufanya mambo yetu yaleee ndio tunatoa tathmini kwamba demu kiwango au vipi, wakati kwa wabeijing ni tofauti kidogo, hata kama humfikishi kama kakupenda kakupenda tuu!.
  nawasilisha.
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  "MEN FALL IN LOVE THROUGH SEX BUT WOMEN FALL IN SEX THROUGH LOVE"


  kwa mtazamo wangu naona wanaume wengi wana fall in love baada ya sex, unaweza kukuta mdada mzuri mrembo lakini wakija kwenye mambo ya sex yupo kama hayupo hapo kuna uwezekano wa man kukatisha mahusiano, hapo mnapotongoza mnaongozwa na matamanio zaidi, kwa wanawake wengi ukitakata a fall ni kumuonyesha love ya kikweli, hata kama kwenye mambo mengine utakuwa zero lakini atapenda ile true love inayotoka kwako....cjui kama nimeeleweka.
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,679
  Trophy Points: 280
  Nimekugongea thenks kwa sababu ya hiyo red! You have said it quite well.
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ndio maana na mimi nakupendea hapo! if yu no wara ai mean!
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,679
  Trophy Points: 280
  Hehehe! Umeanza ki-br? Mchumba bana! Yeah! I knoo wora ya seying.
   
 11. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hey! guyz i lav tha beibe the way shez u know wora am sayin n she should reciprocate de same to me u gat me?. I don give a dem to tha bichz n players.

  I love ya ma beibe n u know its for rly.

  Im auri of here....

  Thanks BLURAY for the ENGLISH.
   
 12. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ziondaughter,lakini wanaume huwa 2nafall in love hata kabla ya sex,kwani ninapomfuata binti ina mana nimempenda,sex comes baada ya kuwa na huyo binti na 2meshakubaliana mambo kadhaa,mpaka anakubali kunipa penzi
  au hapo unasemaje?
   
 13. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  AAAAAAH nimekuelewa Nyamayao,nahisi kama ni kweli lakini sina uhakika sana kwani hata kama hajui si atajifunza? cha msingi kwanza awe mrembo hayo mengine anaweza kuyajua tukiwa kwenye mechi za kirafiki mara kwa mara
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kakaangu kusema ukweli kabisa wa moyoni hao wanaume unasema wanapenda kwanza ni wachache saaaaaaaaaaana.Wengi ni tamaa na sio kupenda japo wenyewe watadhani wanapenda.
  Na kama kweli ulipenda kwanza kwa nini baada ya tendo tu la sex umuacheee?Wanawake wengi wanaachwa baada ya sex.na wanaume wanasema hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia,unadhani hii wanamaanisha nini?
   
 15. GP

  GP JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kila mmoja kuna kitu anakipenda mazee!, lakini sex is the next and important thing.
   
 16. GP

  GP JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaaaaa, hapo umenena, ntatafuta kitufe cha senksi badae.
  ila mie wifi yako nilimpenda kikweli kweli toka moyoni, huwezi amini baada ya kunikubali tulikaa miezi 3 ndio nikala tunda, halafu lilikua tamu balaa upendo ndio ukawa mara 100% (sore, OT)
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,679
  Trophy Points: 280
  Access vipi? (Sore, OT)
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ZD uliyoyaandika ni ya kweli kule si kupenda ni kutamani lkn huwa kwa sababu ya usanii basi utasema NAKUPENDA kweli kweli, ukishamega sasa ile tamaa inakuwa imekwisha, unajikuta unasema aah kumbe demu mwenyewe wa kawaida tuu, na mambo mengi tu, unajikuta hata ile hamu ya kuwa naye haipo tena ndo hapo U turn inapotokea
   
 19. GP

  GP JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ahhaaaaaa, teh teh kama kawa!, ACCEPTED (sore, OT)
   
 20. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa.na kama wakifanikiwa kufunga ndoa anajua hawezi tena kumuacha mkewe anaishia nyumba ndogo na vimada.
   
Loading...