Nimegoma....

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
559
26
Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na kumshauri aendelee nao tu maana inaonekana kanichoka

Je niendelee na msimamo wangu?? nishaurini vyema
 
Kwa hiyo unapogoma unakula lipi? maana sidhani kama ni suluhisho unless kama nawe unakula la nje!

Kaeni muyazungumze pengine chanzo cha kutoka kwake ni wewe loh (najua mtanishambulia)
 
kama kweli unataka aendelee nao (ukiwa ni msimamo wako) then mwambie afungashe virago aende huko. ila kama bado unaishi nae nyumba moja then msamehe tu, ila don touch her before kupima pale angaza
 
Hivi ni kweli hizi story au unataka kutuchangamsha akili zetu? ndio ndoa baadhi zilivyo hivi?
 
si nchezo mpwa!.
ujue kitendo cha kulala na mtu kitanda kimoja sometimes MITEGO tupu mpwa, unaweza toka job na hasira zako unasema leo simpi tundi wala nini, ukifika muda wa kulala kila mtu kampa mgongo mwenzake, mara unashangaa shori wako kakuletea upaja kiunoni, mara mikono inaelekea ikulu ikipapasa, alaaa, hapo hapo unamrukia fasta, fanya nchezo nini na kumega!!.
 
Ulivyomueleza kuhusu hao jamaa reaction yake ilikuwaje? Aliruka? Alishtuka? Au alichukulia easy? Na amechukuliaje reaction yako ya kumfungia vioo?
 
Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na kumshauri aendelee nao tu maana inaonekana kanichoka

Je niendelee na msimamo wangu?? nishaurini vyema

Mimi nadhani ungeomba ushauri kabla ya kuamua!!! Maadam uliamua huoni kwamba ndio atakudharau ukianza tena kuomba?

Je mmepima ukimwi?

Wewe je umetulia?
 
Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na kumshauri aendelee nao tu maana inaonekana kanichoka

Je niendelee na msimamo wangu?? nishaurini vyema

kaka ,pole sana na matatizo.

kosa ulilofanya: ulimchunguza mkeo bila ya kuwa na maamuzi mkononi. (yaani je nikimfuma kama ananiendea kinyume nitachukua hatua gani?)
hapa hakuna ushauri bali kuna maamuzi , na muamuzi ni wewe, je unaweza kumsamehe na kuishi nae katika hali kama hiyo au huwezi?.
kama ni mimi basi nisingelichunguza kama nishajua siwezi kumuacha
 
Ndugu pole sana kwa mswahibu yanayo kukuta... Mambo ya mke na mume ni mambo nyeti sana na yanataka uangalifu sana kwenye kutoa uhamuzi.

Kumuwacha au kuendelea kuwa naye ipo juu yako na yake. Na wakati mwingine inategemea na aina ya ndoa yenu.

Kama mmeoana serikalini (Bomani) ni kiasi cha kwenda uko na kutengua uhamuzi wenu wa kuishi pamoja kama mke na mume.

Lakini haya mambo ya kuachana ni magumu kidogo, yanaitaji kuwepo na ushahidi wa kweli kuhusu hizo tuhuma zako dhidi ya mke wako.

Mnaweza kwenda kuonana na viongozi wenu wa dini, au ukoo ili mje kupata suluhisho la kudumu.

Msiwachane ipokuwa kwa haki.
 
hujasema ulipomwambia alibehave vipi, what did she say, do? what did u see in her body language??? hakuna haja ya kumchunia kama bado mnaishi nyumba moja! are u ready to live with her after what you've found out???sababu gani zimemtuma kutafuta nje??? get answers to all this pertinet issues before u make a decision kama utaendelea kuwa naye ama la!
 
kaka ,pole sana na matatizo.

kosa ulilofanya: ulimchunguza mkeo bila ya kuwa na maamuzi mkononi. (yaani je nikimfuma kama ananiendea kinyume nitachukua hatua gani?)
hapa hakuna ushauri bali kuna maamuzi , na muamuzi ni wewe, je unaweza kumsamehe na kuishi nae katika hali kama hiyo au huwezi?.
kama ni mimi basi nisingelichunguza kama nishajua siwezi kumuacha
Bravooooooo,
ndio maana waswahili tunasema,"Utamu wa pipi mate yako"
 
hujasema ulipomwambia alibehave vipi, what did she say, do? what did u see in her body language??? hakuna haja ya kumchunia kama bado mnaishi nyumba moja! are u ready to live with her after what you've found out???sababu gani zimemtuma kutafuta nje??? get answers to all this pertinet issues before u make a decision kama utaendelea kuwa naye ama la!

Alistuka sana
 
Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na kumshauri aendelee nao tu maana inaonekana kanichoka

Je niendelee na msimamo wangu?? nishaurini vyema

Na wee tafuta mnyonge ummegee............
 
sure Nguli sitanii hapa kuna washauri sio mchezo nasubiri dondoo
mj1,fl1

aha aha aha bona umemtaja FL1 mbele? au yeye ndio mtaalam wa mada hizo? haya na tumsubiri
lakini na mimi nasema kama mtayamaliza basi pitia angaza kwanza kabla hujala tena hilo tunda
 
Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na kumshauri aendelee nao tu maana inaonekana kanichoka

Je niendelee na msimamo wangu?? nishaurini vyema

...ushauri mzuri, mwache aendelee nao nawe uendelee na maisha yako. Hakuna sababu yeyote ya maana yeye kutembea nje ya ndoa yako. Njemba wawili kwa mke wa mtu ni 'wengi' kusema eti ni bahati mbaya.

Hiyo ni tabia!'
 
Mimi nimeuliza unapoendelea na mgomo we unakula wapi? au unawezakukubali kufa na njaa?

...Lol,

'Kula lazima, kufumaniwa hiari...'

inaonekana ndoa za kileo 'lazima' mmoja ana cheat,
kama sio Mke basi Mume, almuradi 'usaidiwe' tu...!
 
Hadi mke wako anacheat labda wewe hukusimama sehemu yako kama mume, hebu jitizame wapi ulikosea.
Watu hata hawaogopi gonjwa jamani, ukimwi ulivyotapakaa huu, bado mtu unaujasiri wakucheat.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom