Does men's shoes shows something to women? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Does men's shoes shows something to women?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kisoda2, Nov 13, 2009.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Women can determine what type of a man are you, by looking at your shoes you are wearing at the first time you meet with them. This happened, if not all but 70% of women/ladies they do glance men’s shoes at their first time meet.

  So, guys what is take in this? Is it true type of men can be seen through what type of shoes they wear?
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Does women's shoes mean something to men?
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hahahahahahaha, sasa Kimbweka mbona unauliza swali kabla hujajibu swali? limekugusa nini? pole!

  kuhusu 'viatu' sijui!
   
 4. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Swafiiii.
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  I need to know on ourside either! (men) hahaha ila kusema kweli mimi kuna viatu demu akipiga unaendana na mguu wake dah inanigusa sana sijui kuna siri gani hapo wadada
   
 6. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Natumai mj1,ZD na FL1 mtuelezee juu ya hili,maana unakuta na mdada unamungelesha,hakujibu kitu mpaka kwanza aangalie kwenye ngwala zako umejikomelea vidundo gani.
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Labda demu akiona jamaa kapiga lindula linauzidi urefu wa mguu anajua huyu msela hana lolote, akiona kavaa saftey buty anajua huyu fundi, akiona kapiga raba huyu bishoo au brazaman, akiona kapiga moka huyu ofisa fulani au wadada mnasemaje leteni mambo mtuchanganulie
   
 8. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Pamoja mkuu.
   
 9. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
 10. bht

  bht JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hahaaaaaa.....kweli sana Kimbweka ndo tunathaminisha kihivo..lol!!!
   
 11. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Mzee watoto wa mujini wanasema kwa haraka haraka vitu vinavyoonesha au tuseme vinavyokutoa mtoto wa kiume unapokuwa umekula pamba ni KIATU na pili MKANDA KIUONONI.

  Fanya utafiti....ukitaka kugundua mtu choka fulani angalia KIATU NA MKANDA....hapo unaweza kufanya conclusion.

  Hahaha....ebana huu ni msemo wa mtaani ila kama una ukweli vile!Nyinyi mnasemaje?Swali juu ya swali....!?
   
Loading...