Nifanyeje? Nimpendaye hanipendi!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,489
79
Jamani Nifanyeje? Nimpendaye hanipendi! Tena kaniambia hana 'feelings' na mimi hata 'kidogo'
 
Jamani Nifanyeje? Nimpendaye hanipendi! Tena kaniambia hana 'feelings' na mimi hata 'kidogo'

...achana nae...si kila ukionacho ni halali yako.
Tafuta atayeweza angalau kukusikiliza na kukuelewa :eek:.
 
unaweza kutwambia kama hapa duniani yuko yeye peke yake ?
asiyekupenda achana nae simple !
 
Huyu ni mke/mme au just boyfriend & girlfriend?
Kama mke/mme jitahidi tafuta njia ya kumfanya aanze kukupenda waone hata wataalamu/washauri wa mambo ya ndoa ili ujue chanzo cha tatizo nini na utatue.
Lakini kama ni GF/BF basi achana nae tafuta ambaye mtapendana kwa dhati
 
Mapenzi hayana formula..... unampenda mtu sana naye anakupenda lakini mjue kuna vipindi vya ups and downs... hiki siyo kipindi cha kuambiayana maneno makali ya kuumizana.Vuta subira , wimbi baya litapita na mambo yatakuwa bien tena.

Lakini kama ni uhusiano usio wa ndoa, kama mtu amethubutu kabisa kukutamkia hakupendi...wala usipoteze muda wako..just move on with your life.Better things are waiting for you somewhere else.
 
Maisha haya hayana muda wa kupoteza. Asiyekupenda kuna anayempenda. Ni kupoteza muda kuendelea kuwa king'ang'anizi
 
Huyu ni mke/mme au just boyfriend & girlfriend?
Kama mke/mme jitahidi tafuta njia ya kumfanya aanze kukupenda waone hata wataalamu/washauri wa mambo ya ndoa ili ujue chanzo cha tatizo nini na utatue.
Lakini kama ni GF/BF basi achana nae tafuta ambaye mtapendana kwa dhati

Heeee!

Ushauri mwingine jamani...!..ZD, Unamaanisha mitishamba na waganga nini?
 
unaweza kutwambia kama hapa duniani yuko yeye peke yake ?
asiyekupenda achana nae simple !

Mdowans tu ikishindikana mrichmond kama na ihiyo huwezi mfanye kama ccm dar walivyomfanya Mengi hahahaaa hadi mzee wa watu jasho na misuli ya shingo ikamtoka
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom