Miss tanzania ajiuza zanzibar baada ya kuachika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miss tanzania ajiuza zanzibar baada ya kuachika

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 10, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Habarini za mchana wana ndugu,....
  nimefika zanzibar nikaona mambo ya kunishtukiza ambayo kama
  waelimshaji wa jamii tunaitaji kurekebishana......
  Mshiriki wa miss tanzania 2007/8 Ailiekuwa MISS RUKWA
  UPENDO NSAMULI aliekuwa akiishi pale tandale .....mwezi wa saba alipata
  bahati ya kuolewa na kijana mmoja wa bara ambaye hapa zanzibar anajiita predeshe wa congo na kufunga suruali zake kifuani....shuguli za sendoff zilifanyika paale msasani club kwa shuguli kubwa kabisa.....baadaye anandugu wakaelekea zanzibar kumkabidhi mtoto wao kwa predeshe wa congo....gafla mtoto akaanza kujirusha huku predeshe akiwa ofisni kutafuta maisha huku watu wakimega mkate wa bwana....kiliimuuma sana wakati akiwa anajitayarisha kueleka dar kwa wazazi wa mtoto gafla akiwa kazini mwanamke akakomba kila kitu akaelekea kwa marafiki zake......hivi sasa anaishi kwa marafiki zake huku jioni wakizunguka na malaya wa BONGO wanaoishi zanzibar wakitafuta market.....baya zaidi binti huyu anasiktisha sana ukimwangalia kwa kweli jamani ni mzuri mungu amempa macho ya wizi sura ya lundenga...yaani acha tu...jamaa ameamua kumkatia RB ...BAADA YA KUAMBIWA NA MARAFIKI ZAKE WATU WANAENDELEA KUUMEGA MKATE WAKE KWA SIKU DOSE MARA 5*7 MKULU AMEAMUA KUWA MPOLE NA KUKUBALI MATOKEO.....
  KWAKO MH LUNDENGA.....
  DHUMUNI LA MISS TANZANIA SI KUWATONGOZA NA KUWAFUNDISH A UMALAYA WATOTO WETU KAMA WANAVYOKUJA KUARIBIKA...NILISHATOA MADA YA UCHAFU UNAOFANYIKA KAMBINI MISS TANZANIA NAJUA KILA MTANZANIA ANAELEWA NINI MAANA YA KUWA MISS....HAKIKA KUANZIA KWENYE KAMBI NI KUUZANA TUPU WAKIONGOZWA NA DALALI WAO LUNDENGA...HAWA WATOTO BAAYA ZAIDI WAMEKUWA WAKIDANGANYWA NA WAKINA LUNDENGA HUYU NDIE JAJIMTARAJIWA NA NDIO MAANA UNAKUTA WENGINE BADA YA KUSHINDWA NA HUKU WAMESHAFANYWA WANAKUW KAMA MACHIZI NA KUANZA KUROPOKA MAGAZETINI.....LUNDENGA HILI NI ZAO LAKO.....NA NYIE WANAWAKE ACHENI KUJIRAHISISHA OVYO MATOKEO YAKE HATA UKIMALIZA MASHINDANO WE NI WA KUCHAPWA TU....NDIO MAANA WENYE MACHO TULICHEKA KUONA NDOA YA HUYU BWANA MAANA TULIKUWA TUKIMUHESABIA SIKU...MPAKA HATIMAE....JAMANI HAWA WANAWAKE WANASHIKWAGA NA KIDUDU MTU.AMA JINI MAHABA ONA WEMA SPETU NAE YALE YALE...MMMMHHHHH MH RAIS TUNAOMBA UANGALIE VIZURI HAYA MASHINDANO
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Unaweza ukawa na point lakini umeiweka kivyako vyako tu. Utaeleimishaje kama text yote in nukta moja tu. Tuisomeje?

  Unaweza ukataka tuelewe kihivyo lakini sio rahisi. Hata mademu ambao hawakushiriki umiss wanaachika kesho yake. Halafu mademu nao wengi mno . Mtu ni fm4 failure , anajiingiza kwenye mambo hayo halafu asimegwe ? Vocha tu ya tigo anamegwa sembuse rav 4 ?
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Nov 10, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh mbona imekaa kama udaku vile? Kwa nini umeweka jina au umetumwa na pedejee wa congo umharibie binti wa watu? Nilitegemea kuikuta hii kwenye global publishers na si hapa!
   
 4. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2009
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  huna la kufanya kama mtu anafanya jambo lake kwa amani .....mwashe,rukusa....tutamega wapi kama wasipotuuzia...kuwa uyaone wewe,kuoa sio kuondoa tamaa ya ngono mwilini....take care
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Angeweka na picha basi ingekuwa Shigongo type!
   
 6. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  :cool: Hivi hapo ni aje...mana nimeona kama sijaelewa....:rolleyes:
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  kaka umehamia huku??
  Ngoja nikufate pm..
  Haha ha...
   
 8. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani wakati mwingine tunapaswa kujiuliza ni kwanini watu wanaoana , Ndoa nyingi za siku hizi Tanzania nazifananisha na Ndoa za kitamaa , watu wanaoa ili kutaka kupata kuwa na familia au pia kutaka kuhalalisha kuwa na mtu wa kufanya nae tendo la ndoa , pia wapo watu ambaye wamepata line ya kukamata vijisenti na wana hitaji kuwaonyesha ndugu na jamaa kwamba wanauwezo wa kuoa.
  Matokeo yake ndoa nyingi hazidumu kama uonavyo kwa sasa..!
   
 9. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mkuu,
  Hebu kuwa fair kwa Lundenga, tuseme yeye anahusika na umalaya wa mshiriki wa Miss Tanzania yeyote...unataka tuamini kuwa Ma-Miss wote kabla ya kushiriki miss tanzania wanakuwa mabikira na Lundenga ndo anaanza kuwafundisha umalaya wakishatoka hapo.
  Halafu Mkuu,hivi hawa Ma Miss huwa anawatafuta nani tokea wanapoanza mchakato wa kushiriki mashindano hayo katika ngazi za kikanda,mikoa hadi taifa wanakokutana na Lundenga.
  Tuseme huko koote wanakotokea Lundenga ndo anakuwa "kungwi' au "nyakanga" wa kuwafundisha huo umalaya "mabikira" hao?
  Hivi unataka tuamini hapa huyo mrembo wako na wengine wanaotajwa kuwa ni malaya wenye mtandao mkubwa wa ngono...kabla ya ushiriki wa Miss Tanzania walikuwa watoto wazuri,wamelelewa vizuri na hawakuwa na tabia na vitendo vya kihuni na umalaya?
  Kwa wale walokuwa wanamfahamu mshindi wa mwaka 2006-7 wa Miss Tanzania,wanaweza kukubaliana nami katika hili kwa alikuwa na tabia ya uhuni na umalaya kabla kushiriki mashindano hayo hata katika ngazi za chini, na kupata kwake umaarufu kukaweka wazi tabia yake hiyo.
  Mkuu, kama wewe na huyo "Pedeshee" wako au "papaa" nanihii sijuwi mnakisa na huyo mke wenu basi malizaneni wenyewe,msimuingize Mzee wa watu na kuchafua bure wakati mabinti na wapenzi wenu wanashiriki mashindao ya u-miss wakiwa tayari watu wazima wanaojuwa wanalolifanya.
  Kadhalika, ni mabinti ambao tokea huko wanakotokea tayari wanakuwa na tabia tofauti zikiwemo hizo za ufuska ingawa siyo wote.
   
 10. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ebu wamuone mwenzao miss england soldier by day. hawa hata mi naona kama vile ...... hivi huwa wanafanya nini baada ya ushindi au ndio kwenda zenji na kufanya bia.....
   
 11. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sisi wengine hatumjuwi hebu tuwekeeni pix yake akipita mitaani kwetu tumjuwi au biashara yake anaifanyia mashamba?hapa zanzibar kumekuwa na misemo mingi mmoja ambao umenijia kwa sasa ni ule unaosema kikongwe hasahau MKONGOJO wake, sasa na huyo binti kuna uwezekano anatokana na familia ya aina hiyo au amekulia katika jamii yenye hulka hizo za kuuza mili yao.
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  ila hii ilitakiwa ikae kule celebrity
  labda ndo choice ya maisha aliyochagua na wengine mala nyingi huwa wanajitahidi kuficha hulka zao kwa kipindi ili wafanikishe wanachokitafuta
   
 13. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Boss una ushahidi wa haya uyasemayo?????? Tupe vitu vya uhakika
   
 14. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Ipo tofauti kubwa kati ya mshiriki wa Miss Tanzania na Miss Tanzania
   
 15. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ieleweke kwamba waandaaji wa hawa mashindano hutoa ahadi kedekede za uwongo kwa mamiss hawa kiasi kwamba vichwa vyao hujaa upumbavu kiasi cha kujiona wao sio sehemu tena ya jamii. Hilo utake usitake. Sasa inapotokea kwamba Miss huyo hakupata ahadi zile ambazo zimetolewa, ama ushirikiano, ndipo pale maneno na kashfa kutolewa kwenye vyombo vya habari dhidi ya waandaji wa shindano.Na ikitokea Miss huyo kashinda U-miss TZ akienda kushiriki nchi za nje akapata ka nafasi kidogo nako mambo hubadilika na kuwadharau wale waliomfikisha pale alipo kwa hiyo ni kama vicious cycle fulani ambayo inajitafuna yenyewe kwa yenyewe.

  Pia kuna hawa wanaojiita mapedeshee na wadhamini mbuzi kwa kiasi kikubwa wamekuwa ndio chanzo cha kuharibu hawa mabinti. Halina ubishi hilo ingawa nje unaweza kuona jamaa kama anajitolea sana katika masuala ya jamii chini ya kapeti mambo yanafanyika tena kwa uficho mkubwa.

  Ma -Miss hawa wanatumika kama chombo cha burudani na kama nilivyosema kwamba kutokana na ujinga waliojazwa na kujiona kwamba wako juu, inabidi na maisha yao watakayoishi yaendane na kile wanachodai kuwa wako juu. Sasa mambo yakibana inabidi watafute na vyanzo vingine vya kipato.

  Ukweli ni kwamba hawa mamiss wanamegwa sana na sio siri. Unaweza kumkuta miss mmoja amemegwa na wanaojiita mapedeshee mbuzi karibu kumi hivi suala hapo ni pesa mbuzi na umaarufu kama vile watoto wa wakubwa na nini. Unaweza kuwaona kama wako juu lakini wanaowamega wanasema ni walaini na wanamegwa kukwelikweli. Je unajua kuwa lipo kundi moja linalojiita Group 7 sijui lenye watu maarufu jijini Dar na wana Kaunta maalum pale Rose Garden ambao kazi yao ni hiyo? Wao ni kumega Ma Miss kwa kwenda mbele. Wapo wa akina Liyumba na Mutie(RIP) ambao wao walikeep low profile mpaka watu wakaja kujua ni moto wa kuotea mbali.

  Bottom line Miss Tanzania ni chafu inabidi isafishwe kimaadili. Asilimia kubwa ya wasichana huharibikiwa mara baada ya kushiriki kwenye mashindano hayo ingawa wapo wengine waliojitahidi kuficha makucha yao ingawa nyuma ya pazia ni wachafu kupindukia na hata vyanzo vyao vya kipato vinatokana na kujiuza nchi za nje kama vile China, Arabuni, Thailand, Ulaya na Afrika ya kusini ambako wanadai wanaenda kufanya mambo ya mitindo. Lingine ambalo sitaweza kuliongea kwa kirefu ni matumizi ya madawa ya kulevya uliokithiri.

  Hili la Miss Rukwa ni mfano mdogo tuu! Na pia inawezekana yakawa ni maisha ya mtu binafsi. Kikubwa ni mabadiliko ya kitabia mara baada ya kuingia katika hako kashindano.Wito wangu kwa waandaaji wa mashindano haya kushirikisha asasi mbalimbali za kidini pamoja na wadau wa tamaduni mbalimbali na wawakilishi kama vile wazazi n.k Hii itawajenga Ma-Miss hao kimaadili ukiachilia lile la ujuzi,mtazamo , uelewa na uwezo wa kuishirikisha jamii katika masuala mbalimbali kiuchumi , kisiasa na kiutamaduni. Nidhamu ni kitu muhimu na cha msingi katika mafanikio ya kitu chochote kama wadhamini hao wanadhamini mashindano hayo kwa malengo ya kuwatumia Ma-Miss hao katika masuala ya ngono na ushahidi ukatolewa basi mashindano ya Miss Tanzania yavunjwe kabisa.
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  HII NI HATARI KUBWA KWA VIZAZI VIJAZO...HAPA NI TALALILA TUPU KUHUSU UKIMWI....HAWA WASICHANA NI NOMA JAMANI NOMA...WAKO RADHI HATA KUHONGA NAMKUMBUKA WEMA ALIKUWA ANAKAHONGA KWELI KIJANA MMOJA NA ALIPOMWACHA YULE KIJANA NA SHULE BASI...TATIZO NAHISI HATA KAMA WANAKUJA NA TABIA ZAO...BASI KAMATI YA MASHINDANO WAJIHESHIMU WASITUMIE MASHINDANO KAMA SEHEMU YA KUPATIA UMAAUFU KUWAUZA WATOTO WADOGO...MI NAKUMBUKA MASHINDANO FULANI NDUGU YANGU WALIFADHILI ALIRUDI ANASEMA LOH....KAMBI ILIKUWA BAGAMOYO PARADISE HATARI TUPU ALIYOdithi MENGINE AYASEMEKI...NI HATARI TUPU
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Heeeeeeeeeeeeee wametoka nae wapi na haka kabinti...jamani binti anagawa "tigo" si mchezo...kama mtu anaemjua yuko zanzibar jaribu kumpata uone....ni atari kwake mbele ni bikira .....mmmmh pole predeshe tatizo lenu mnaona vimependeza zanzibar na hamjui vimeundwa BARA....loh
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Kama ameolowa akaachika bado ni bahati pia...ma miss wengi wanaishiwa kulaliwa na kukimbiwa...ndoa kinondoni cementry...anyway ipo siku atakuwa embu tupewe umri wake pia....
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Yawezekana damu bado inachanganya...unajua hata ukiweka oil kwenye gari lazima uwashe uweke resi likikubali hapo mswano sasa jamaa labda kabeba likiwa on test bila kuuliza amemaliza ama lah...pole bibie ndio ukubwa ila badilika kama kweli
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Miimi kwa macho yangu nilishamwona live Lundenga akiwauza hawa mamiss pale rejency jamani hili sio ficho ila nyuma yake wako wengi inasemekana hata mawaziri wa serikali na watu wengine wanamtumia huyu bwana kuwatafutia futari ya usiku....ilo analijua hata mwenyewe na labda nielekeze kuna kipindi mzazi wa mmoja wa watoto aliekuwa ashiriki alimtokea na kumtukana sasa Hashim alipoanza mchukua mwanae wakidai wanaenda mazoezi anamrudisha usiku...siku akarudishwa na Range Rover saa sita usiku....mama asbh akaamka na kupelekwa kwa uncle hashim...hili analijua mpaka kesho na hatolisahau..lingine hutumiwa na hawa wadhamani...haswa ndugu zangu wakina kavishe...D minja...na wengine wengi tu kutoka ATCL. na kampuni nyinginezo......sijuinini anachopata ila uncle hashim ipo siku kama si duniani utaulizwa mbinguni kuwapeleka watoto wa watu jehanamu...najua kichwa chochote cha miss kitakachokufa lazima umechangia ufu wake...anyway nisikuhukumu...lisemwalo lipo kama alipo linakuja tuwaachie watanzania uncle@@@@@@@@
   
Loading...