Wapwa ni muda sasa toka mpwa Kaizer atoe thread ya get tugedha ya Mikumi sasa umefika muda muafaka wa kukutana wapwa na ku analyse cost za huko tutakako enda kama nilivyo pendekeza initial cost...
Niko na wadada/wamama walioolewa hapa ofisini. Wameanzisha thread ya mashambulizi hapa wanasema Wanaume wengi ni kero kwelikweli!.
Eti hawaendi kuoga mpaka waambiwe, au kulazimishwa au...
JF napata experience na wife yaani simu ya mkononi mara nyingi iko chumbani, ndani ya begi, etc? huwezi kumpata on time hata kama issue ni very urgent lazima upige kama mara tatu na kuendelea...
Wadau nimekuwa nikipata utata nikiona walioolewa wanavyovaa pete. wengine inaanza engagement ring then wedding Ring, wengine Wedding Ring then engagement. Ni kipi kinatakiwa kianze? Au hakuna...
Mimi ni mwanamke niliyeolewa na nina mda wa miezi nane sasa katika ndoa. Huyu bwana tuliyeona kwa kweli niliunganishiwa na ndugu yangu ambaye alikuwa rafiki yake hapo zamani. So it means I dont...
hivi wana JF hii misemo yetu ya 'kimatumbi'
m.f 'mficha uchi hazai' inamaana kweli hasa katika kizazi cha sasa?
Mbona watu wengi (hasa -she-) wanatembea huku 'nyuchi' zao zikiwa 'bwerere'...
miaka ile ya 90' ukimdate binti cha anadai ana boyfriend ila kwa sasa (wakati huo) yuko masomoni nje ya nchi! siku hizi (2000's)hawa mabinti wa dot com wao wanadai wana maboyfriend ila...
Jamani kuna,,,,
Watu wabaya dunia hii..,kuna watu wakiona ndoa za wenzao wanatumia kwa garama zao zote waone wenzao wamekorofishana ......jamani mbona hivyo walimwengu...sasa kwa wale wenye...
Wana ndugu embu tusaidiane kwa hili
kuna watu wengi wanapoteza haki zao bila kujua
kama mnavyojua kuna wanaume wengi wanaoa kwa malengo fulani labda mwenzio ana pesa zaidi yake sasa mwingine...
...wala sishangai... yalishanikuta hayo. Kina mama mjichunge sana hao ma hause girls mnaowafunga ndani, wengine walitu/wanawa-abuse (vitoto vya kiume) na kutuachia psychological scars for life...
9 Things You Don't Know About Kissing
1. There are tons of nerve endings...
In your lips (100 times more than in your fingertips!) that stimulate desire. That's why smooching before, during...
Friday night was a disaster. Never mind that I went out with Anne and Michelle, two perfectly civilized, professional women. There was drama at the bars we visited! Here are five types of people I...
Mmmmmhhhhh hili sijui
yakheeeeeee yamekukuta haya???nakuja tena
wanandugu kuna hili swala la artificial love unakuta mtu ana mahusiano
na mwenzie zaid hata ya miaka miwili huku ana madhumuni...
Watu wengi tumeumbwa na hali ya kutoridhika na tunachopata
swala hili limekuwa tatizo kubwa sana katika jamii na kufika hata
watu waliokuwa wastaarabu kuitwa MAFISADI...huku kwenye
mahusiano...
Kuna rafiki yangu ambaye ameoa hivi karibuni,mkewe
kajifungua mtoto wa kike...
Tatizo sasa ni kuwa yeye baba mtoto alitaka kumpa
mtoto jina la mama yake ambalo ni mwajabu.....
Mama mtoto hataki...
Kila mtu na kiatu chake
Watu wengi hudhani kwamba mwanaume akiwa mrefu basi na uume wake huwa mrefu hiyo si kweli.
Ingawa ni kweli kwamba kila mwanaume ana size tofauti ya uume kama wanaume...
Nyie wazazi,jamani embu badilikeni kidogo mbona hivi
yaani damu zenu sikuzote zilikuwa wapi mpaka mmeanza kuparamia watoto
wa wenzio...leo hii unamkuta mzee mtu mzima akiwa na katoto kadogo...
wakulu, hebu nisaidieni jamani, kuna pozi zingine nikimpa my wife anazikataa-mara anaumia, au haiskilizii poa. zingine anapenda kila siku wakati mm hata sizikubali! humu ndani tupo jinsia zote...