Kila mtu na kiatu chake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mtu na kiatu chake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 18, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,486
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Kila mtu na kiatu chake  [​IMG]Watu wengi hudhani kwamba mwanaume akiwa mrefu basi na uume wake huwa mrefu hiyo si kweli.
  Ingawa ni kweli kwamba kila mwanaume ana size tofauti ya uume kama wanaume wanavyotofautiana size ya miguu.

  Katika kituo cha utafiti cha Masters and Johnson walipima uume wa wanaume 300 na kupata vipimo ambavyo vilionesha mwanaume ambaye alikuwa na uume mrefu sm 14 (5.5 in) alikuwa na kimo urefu wa sm 170 na mwanaume aliyekuwa na uume mfupi sm 6 (2.25in) kuliko wote alikuwa na kimo urefu sm 180.
  Pia urefu wa uume hauna uhusiano na rangi ya mtu.


  NB: Hata hivyo sikubaliani na hizi data kwani wanaume wa kijapan, korea na China wengi ni wadogo sana huwezi kulinganisha na Africa naamini hata size ya bunduki zao zitakuwa tofauti.

  Je, uume ukisisimuliwa huwa na urefu kiasi gani?
  Asilimia kubwa ya uume (karibia zote) huwa na urefu sawa zikisisimuliwa na kuwa tayari kwa ajili ya tendo la ndoa.
  Uume ambao huwa mfupi kawaida husisimka na kuongezeka asilimia 100, wakati ule mrefu husisimka na kuongezeka kama asilimia 75 hii ina maana kwamba hata mwanaume mwenye uume mdogo ana built in compensation factor ili kufikia kiwango kinachotakiwa na kuwa sana na wale wenye bunduki ndefu na wanaume wote kuonekana wanauwezo wa kuwafikisha mwanamke pale anatakiwa kufika.


  Je mwanamke yeye inakuwaje.
  Kawaida uke huweza kuchukua uume wowote na size yoyote kama umesisimuliwa inavyotakiwa.
  Kawaida uke wa mwanamke ambaye hajazaa ni wastani wa ireful wa sm 7.5 na mwanamke ambaye amewahi kuzaa huwa tofauti kidogo.
  Na akiwa amesisimka uke wa mwanamke huweza kuongezeka urefu hadi sm 10, hii ina maana kwamba uume wowote unaweza kuingia labda itokee huyo mwanaume ana uume ambao umezidi sm 10.

  Uke una uwezo wa ajabu kupanuka hasa pale kikiingia kitu chochote kirefu kuliko kawaida.
  Utafiti unaonesha kwamba uke huweza kuongezeka size mara 150 au 200 zaidi ya size ya kawaida baada ya kusisimuliwa.
  Hii ina maana kwamba mwanamke akisisimuliwa vizuri huweza ku accommodate uume wa aina yoyote.
  Ila jambo la msingi ni maandalizi na si shughuli yenyewe kwani maandalizi mazuri hupelekea uume na uke kusisimka kiasi kinachotakiwa.

  Na mwanaume kama una kiatu kirefu na kikubwa hakikiksha unamuandaa vizuri mke wako ili aweza ku-accommodate kiatu chako kwani anauwezo wa kuongeza size yake mwenyewe maradufu na kinyume chake ni kutesana na kuumizana
   
 2. i

  iceberg Member

  #2
  Nov 22, 2009
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  DUH!! Hii kali!
   
 3. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Watu wengine bwana! Mna mawazo kweli kweli. Sasa ni hizi commercials za kuongeza uume zina kazi gani kama viatu vyote viko sawa?
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  no comment!
   
Loading...