updated uongo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

updated uongo!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kilambi, Nov 23, 2009.

 1. K

  Kilambi Member

  #1
  Nov 23, 2009
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  miaka ile ya 90' ukimdate binti cha anadai ana boyfriend ila kwa sasa (wakati huo) yuko masomoni nje ya nchi! siku hizi (2000's)hawa mabinti wa dot com wao wanadai wana maboyfriend ila relationship sio nzuri....mkishakubaliana hutamsikia tena akimzungumzia huyo boifrendo labda hadi siku ukifanikiwa kumfumania!.....jamani msinishambulie sana, na uzee wangu huu nilijaribu kujikumbushia tu kuona kama uwezo wa kuuza lugha bado upo ( japokuwa sikudhamiria kufanya kweli) , katika tamasha la fiesta jumamosi iliyopita, nilifanya hivyo kwa mabinti wawili na response ilikuwa zinafanana...tulikaa na jamaa yangu wa karibu kujadili hili naye akadai ameshakutana nalo...sasa tukabaki kujiuliza.... huuuu ndio uongo mpya au??je wa miaka ya 80 kurudi nyuma walikuwa wanatumia uongo gani
   
Loading...