Mficha uchi 'hazai'

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
hivi wana JF hii misemo yetu ya 'kimatumbi'

m.f 'mficha uchi hazai' inamaana kweli hasa katika kizazi cha sasa?

Mbona watu wengi (hasa -she-) wanatembea huku 'nyuchi' zao zikiwa 'bwerere'????? Mbona tunawaona wakiwa watupu lakini wengi wao hawajazaa?

Je, tuendelee kuamini misemo kama hii?
 
Wewe unafikiria nini leo?
I mean of all methali hii tu ndo inakusumbua kichwa?????
 
Inaamaana...
Ukitaka kuzaa mtoto...
Kwanza muonyeshe mtu uchi wako...
Usiufiche fiche??
Umeelewa????
 
Inaamaana...
Ukitaka kuzaa mtoto...
Kwanza muonyeshe mtu uchi wako...
Usiufiche fiche??
Umeelewa????
sasa mbona wapo weeeeeeeeeeengi wanaziachia na tunaziona lakini hawazai hao 'watoto'
 
oya!!
vipi kijana? ni methali hiyo!! inaweza tumika maeneo mbali mbali kutokana na mazingira ya mazungumzo!!
kwa mfano: kama unataka kitu, fanya bidii, na kuwa "practical", usikae ndani tuu!!
maana yako pia ina leta maana ila wengi wanachukulia msemo huu kama methali!!
 
Inaamaana...
Ukitaka kuzaa mtoto...
Kwanza muonyeshe mtu uchi wako...
Usiufiche fiche??
Umeelewa????

LOL!, LOL!,.....and then, that will be it? unapata mtoto?

What's the age range in here? you guys are so silly!
 
oya!!
vipi kijana? ni methali hiyo!! inaweza tumika maeneo mbali mbali kutokana na mazingira ya mazungumzo!!
kwa mfano: kama unataka kitu, fanya bidii, na kuwa "practical", usikae ndani tuu!!
maana yako pia ina leta maana ila wengi wanachukulia msemo huu kama methali!!
ooooooooooh, lkn embu inyambue basi maneno yake kwa undani? mbona sikusemea 'mtaka cha uvunguni sharti ainame'? si ni kweli nilazime uiname hata kiduchu! sasa hii mficha uchi hazai imekaaje?
 
Back
Top Bottom