When a woman is fed up...

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
When a woman is fed up.......

Hii adhabu kali kweli iliwahi kumpata BURN (ACCESS DENIED)

Attachments

  • woman is fed up.bmp
    486.8 KB · Views: 531
Serenfetiikishafika mahala pake hat ahuo uzio wa seng'enge utauona?? wengine huogelea nchi kavu baada ya kunywa

nilitaka kuandika serengeti ....batans zikateleza
 
Omba yasikukute mpwa, nilijaribu kila mbinu hawa watu ni balaa wakikaza imekula kwako.

Mpwa ikilazimu ntatumia style ya jogoo. Nang'ata kisogoni mwenyewe anaachia. Kuliko kukosa ile kitu, bora lawama!
 
Burn ulitumia mbinu gani? yakitusibu tujue namana ya kujinasua vile inatiaga hasira sana kunyimwa.
 
Du unaweza jikuta mbele ya jaji masati na usiku mnalala geto moja na babu seya wa mivalo.
 
Burn ulitumia mbinu gani? yakitusibu tujue namana ya kujinasua vile inatiaga hasira sana kunyimwa.

Mpwa nilitumia diplomasia ya seifu na karume, unamualika sehemu dina kisha unamtoa auti(mimi nilimpeleka kwa jide) mkirudi unaanza kuomba vitu lazima atoe, ukitumia mbinu ya mpwa xpin unaweza kuishia mbele ya masati na kwa kuwa wewe si zombe lazima akuachie mvua kadhaa.
 
Thats good man, nafikiri hakuna hasira kali kama ya kunyimwa access.
 
Mm niliwaambia tunako elekea kubaya wanawake itafika kipindi hawamuhitaji mwanaume tena.
 
Ndio maana mimi huwa siwapendi kabisa wasagaji, maana hawa ndio kichocheo cha hii movement..ni hatari pia kwa kizazi cha binadamu wanaweza kusababisha tukapotea kama dinasauras
 
Na hapa mijini siku hizi kumezuka tabia ya kina dada kusagana sijui hamtuoni wanaume? na kuna ka dj ka redio maarufu cha kike nacho nasikia ni kataalamu ka haka ka mchezo.
 
Ndio maana mimi huwa siwapendi kabisa wasagaji, maana hawa ndio kichocheo cha hii movement..ni hatari pia kwa kizazi cha binadamu wanaweza kusababisha tukapotea kama dinasauras

Na Vipi Kuhusu Mashoga? wao ndo wanakiendeleza Kizazi???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom